Parvovirus Infection/Parvo (new)

Ufahamu Ugonjwa wa Canine Parvovirus Unaoweza kupoteza maisha ya Mbwa wako ndani ya muda mfupiMbwa ni mnyama kama wanyama wengine ambao huweza kupata magonjwa mbalimbali ambayo hupelekea kufa au kuwapa vilema vya maisha.Mbwa ni kama binadamu yoyote tu ambaye akishambuliwa na magonjwa basi anaweza kuwa dhaifu na kupelekea kupoteza maisha au kupona lakini pia ni wanyama kama binadamu tu wengine ambao hata wakipatwa na baadhi ya magonjwa basi wanaweza kustahimili na kupona kabisa.Basi leo tutaangalia baadhi ya magonjwa yanayowapata viumbe hivi vinavyopendwa sana na rafiki mkubwa wa binadamu.Kama ilivyo kwa…

Utambuzi wa Magonjwa ya Ng’ombe (new) I Mshindo Media.

 MAGONJWA YA NG’OMBE. Sifa za mnyama mwenye afyai. Mchangamfu wakati wote macho maang’avu huku mkia na masikio vikimsaidiakufukuza inziii. Kula na kucheua, kunywa maji vizuri kila sikuiii. Kuonyesha ushirikiano na kutembea pamoja kwenye kundiiv. Kutembea vizuriv. Anastuka na kukimbia anapostuliwa na mnyama hatari anapomkaribia kama vilembwa mwitu, fisi, chui, simba.vi. Mwili wake una uwezo mkubwa wa kukibadili chakula anachokula kutoa mazao yakutosha kama vile maziwa.vii. Anaonekana mwenye nguvu na kwa wale wanaoendelea kukuna wanaongezekauzito kwa muda mfupiviii. Kwa mnyama anayekamuliwa mara kwa mara kupiga kelele za kumtafuta mtotowake,kiwele huwa kimejaa…

UGONJWA WA MAFUA YA KUKU I Mshindo Media (new)

#UFAHAMU UGONJWA WA MAFUA YA KUKU Ni ugonjwa unaoitwa infectious coryza huenezwa na bacteria. anaeitwa (hemophilus paragallinarum). Ugonjwa huu hushambulia kuku aina zote. Na usipo kuwa makini kwenye usafi wa banda na vyombo , kuruhusu watu kuingia ovyo bandani au kuku wa jirani kuja kuingia kwenye banda lako; ugonjwa huu unaweza shambulia kuku wako kwa kila wiki. #DALILI ZA UGONJWA HUU _Kuvimba uso chini na nyuma ya macho. _Kupumua kwa shida na kukoroma _Kutoka makamasi puani, _ Mdomoni kuwa na hali ya mterezo _Macho kuvimba _Kushindwa kula. _Kupiga chafya ,…

MAGONJWA YA MIFUGO HATARISHI KWA AFYA YA BINADAMU/ZOONOTIC DISEASES I Mshindo Media

MAGONJWA YA MIFUGO (WANYAMA) HATARISHI KWA AFYA YA BINAADAMU :  Zoonotic Diseases: Disease Transmitted from Animals to Humans. A zoonosis (zoonotic disease or zoonoses -plural) is an infectious disease that is transmitted between species from animals to humans (or from humans to animals) Vijidudu vingi viletavyo magonjwa ni Host specific yaani husababisha aina moja au mbili ya wanyama kama Theileria parva: ng’ombe tu na cowdria ruminantia: wanyama wote wanaokula majani (ruminants) Vijidudu vingine huleta athari kwa kundi (makundi) kubwa la wanyama akiwemo binaadamu kama vile Salmonella sp Escherichia coli na Mycobacyterium tuberculosis Yafuatayo ni baadhi ya magonjwa…

FAHAMU MAGONJWA YA KUKU,DALILI NA TIBA ZAKE I Mshindo Media

Magonjwa ya kuku ni maradhi yanayoathiri afya ya kuku na kusumbua wafugaji wengi wa kuku, hasa wafugaji wadogowadogo. Kuku, kama walivyo viumbehai wengine, hupatwa na magonjwa mbalimbali. Kwa kuwa kuku ni mifugo ya binadamu, hivyo ni jukumu la mfugaji kutatua tatizo linapotokea ambalo hujumuisha afya ya mfugo wake – kuku. Makala hii inaelezea baadhi ya magonjwa ya kuku yanayowakabili wafugaji wengi na baadhi ya njia za kupunguza au kujilinda na magonjwa haya 1. Ugonjwa wa Mdondo: Ugonjwa huu huathiri kuku katika umri wowote na unapoingia kwenye kundi huweza kuua idadi kubwa ya kuku hao hadi kufikia asilimia tisini. Ndege wakubwa hustahimili kidogo kuliko wale wadogo kwasababu…

Contagious ecthyma (new) I Mshindo Media

Ugonjwa huu una majina mengi ya kitaalamu: contagious pustular dermatitis, contagious ecthyma, infectious labial dermatitis, ecthyma contagiosum, thistle disease and scabby mouth. –huu ugonjwa unaowapata mbuzi na kondoo, husababishwa na virusi vinavyoitwa parapox virus. Virusi hivi huishi kwenye mazingira kama kuta za banda, vyombo vya chakula, kwenye malisho n.k na huweza kukaa mwezi, mwaka na zaidi.  Uenezwaji Virusi hawa humpata mnyama kupitia sehemu zilizo wazi kwa kuumia kama kidonda na mara nyingi huwapata mbuzi sababu wanapenda kula miba inayo pelekea kupata majeraha sehemu za mdomo. -pia watoto wa mbuzi wanao…

AFRICAN SWINE FEVER/HOMA YA NGURUWE I Mshindo Media

Homa ya nguruwe (African swine fever) ni ugonjwa unaosababisha vifo vingi kwa nguruwe duniani kote. ugonjwa huu unasambaa kwa haraka sana. Dalili za ugonjwaUgonjwa huu hushambulia na kuvuruga mfumo wa mzunguko wa damu, njia ya kupitisha chakula na njia ya kupumulia. unaweza kuziona dalili zake kuanzia siku tano hadi kumi na tano. Ugonjwa ukiwa mkali sana nguruwe wanaweza kufa hata kabla ya ugonjwa kuonekana.  Dalili za haraka ni nguruwe kukosa hamu ya kula na kupata homa kali kwa bahati nzuri mfugaji wa nguruwe anaweza kugundua vifo vya ghafla kwenye nguruwe…

ZIJUE DALILI ZA MNYAMA MGONJWA I Mshindo media

Mnyama mgonjwa hutambulika kwa dalili kuu zifuatazo: Badiliko la tabia – Mnyama mgonjwa hana uchangamfu. Wanyama wengine huwa wakali hawapendi kusogelewa, hulia ovyo ovyo. Kama ni mbwa hubweka kupita kiasi.Mwenendo –  Kutembea bila mpangilio, kupenda kulala chini, kulala chini bila kuamka, huchechemea au kuvuta miguu, kukimbia ovyo bila kufukuzwa ZIJUE DALILI ZA MNYAMA MGONJWAHali ya mwili –  Kudhoofu/Kukosa nguvu, Kukonda: mbavu, mifupa kuonekana, manyoya kunyooka au kusimama.Ulaji wa chakula –  Kupungua kwa hamu ya kula, Kutotaka kula kabisa (Anorexia) Kula vitu visivyo vya kawaida, kama mifupa, udongo, manyoya (Kuku) watoto wadogo. Kutapika mara kwa…

FAHAMU KUHUSU UGONJWA WA KIDERI/MDONDO

Kideri ni ugonjwa wa namna gani?Ugonjwa wa Kideri (ama wengine huuita Mdondo) ni ugonjwa wa ndege wenye kuambukiza kwa kasi,ambao huathiri jamii nyingi za ndege wafugwao kama kuku, kanga na ndege wengine. Ugonjwa wa Kideri unaweza kuua kundi lote la ndege uliowafuga ikiwa hawajachanjwa dhidi ya ugonjwa huo na ukitokea mlipuko wa ugonjwa huo, unaweza kuteketeza kuku wote kijijini mwako na hata vijiji vya jirani. Kwa hivyo, ni muhimu kuchanja kundi lako landege/kuku! Dalili za ugonjwa wa Kideri hutofautiana kutegemeana na: Aina ya virusi Aina ya ndege/kuku Umri na afya…