MAGONJWA YA MIFUGO HATARISHI KWA AFYA YA BINADAMU/ZOONOTIC DISEASES I Mshindo Media

MAGONJWA YA MIFUGO (WANYAMA) HATARISHI KWA AFYA YA BINAADAMU : 

Zoonotic Diseases: Disease Transmitted from Animals to Humans. A zoonosis (zoonotic disease or zoonoses -plural) is an infectious disease that is transmitted between species from animals to humans (or from humans to animals)

Vijidudu vingi viletavyo magonjwa ni Host specific yaani husababisha aina moja au mbili ya wanyama kama Theileria parva: ng’ombe tu na cowdria ruminantia: wanyama wote wanaokula majani (ruminants)

Vijidudu vingine huleta athari kwa kundi (makundi) kubwa la wanyama akiwemo binaadamu kama vile Salmonella sp Escherichia coli na Mycobacyterium tuberculosis

Yafuatayo ni baadhi ya magonjwa (Vijidudu) ya mifugo (wanyama) ambayo pia huwashambulia binadamu

 UGONJWACHANZOHUENEZWA NAUGONJWA KWA BINADAMUJINSI YA KUEPUKA
1Kimeta (Anthrax)Wanyama wenyevijiduduNyama ya mzoga/ wagonjwa– Homa– Kuharisha– VifoKutokula mizoga na wanyama wagonjwa
2Beef measlep (Tapeworms,tegu)Wanyama wenyevijiduduNyama– Tegu (Tapeworms)– Nyama ikaguliwe– Nyama ichemshwe na iokwe vizuri
3Rabies (Kichaa cha umbwa)Wanyama wenyevijiduduKuumwa na mbwa wenye kichaa– Hydrophobia– ParalysisChanjo kwa mbwa
4Echinococcus-Tegu mbwa (tapeworms)Wanyama wenyevijiduduMayai kupitia mikononi, chakula– Hydrated disease– Kuvimba ini, macho– Kuharibika ubongo– Mbwa wapewe dawa za minyoo– Kuondoa kinyesi cha mbwa mara moja
5Salmonellosis Vijidudu kwenye nyama, mayai na maji vijiduduKwenye nyama, mayai namaji– Typhoid– Kujiepusha kula mayai kutoka pathogen free flocks– Usafi wa mayai– Meat inspection
6Colibacillosis Vijidudu kwenye maji, vinyesi vya wanyama– Kuharisha– Kuchemsha maji, maziwa
7Mastitis (Kuvimba chuchu) Kunywa maziwa– Scarlet fever (Soar throat)– Mafundofundo shingoni– Kuchemsha maziwa
8Brucellosis (kutupa mimba) Kunywa maziwa– Homa ya vipindi– undulated fever– Malta disease– Kuchemsha maziwa
9Homa ya kasuku (Parrotfever) Avian chemydian Kuvuta hewa– Pneumonia– Kuharibu mimba (wanawake)– Kuvaa nose musk wakati wa huduma
Share Now

Related posts