UFUGAJI WA NGURUWE NA FAIDA ZAKE (new) I Mshindo media

Utangulizi Nguruwe ni mnyama ambaye hutumika kama chakula / mbonga na pia ni zao la biashara kwa mfugaji, mjasirimali na mfanyabiashara.  NGURUWE HUTEGEMEA SANA MAMBO YAFUATAYO 1 . Banda imara ni rafiki kwake 2. Usafi ni muhimu sana katika banda la Nguruwe 3 Mchaganyo bora wa chakula 4. Tiba bora na kinga 5. Maji na Lishe ( access ya vyakula Muhimu kwake )  CHANGAMOTO  KATIKA UFUGAJI WA NGURUWE KUNACHAGAMOTO ZAKE LAKINI ZAWEZA KUTATULIWA KWA KUFATA MAMBO KADHAA. Katika ufugaji wa nguruwe kuna chagamoto ya vifo vya nguruwe wachanga ambao hupunguza faida ya biashara ya nguruwe kwa kupunguza…

AFRICAN SWINE FEVER/HOMA YA NGURUWE I Mshindo Media

Homa ya nguruwe (African swine fever) ni ugonjwa unaosababisha vifo vingi kwa nguruwe duniani kote. ugonjwa huu unasambaa kwa haraka sana. Dalili za ugonjwaUgonjwa huu hushambulia na kuvuruga mfumo wa mzunguko wa damu, njia ya kupitisha chakula na njia ya kupumulia. unaweza kuziona dalili zake kuanzia siku tano hadi kumi na tano. Ugonjwa ukiwa mkali sana nguruwe wanaweza kufa hata kabla ya ugonjwa kuonekana.  Dalili za haraka ni nguruwe kukosa hamu ya kula na kupata homa kali kwa bahati nzuri mfugaji wa nguruwe anaweza kugundua vifo vya ghafla kwenye nguruwe…

Nguruwe: Magonjwa Yanayoshambulia Nguruwe na Tiba Zake

Magonjwa yanayoshambulia nguruwe yana tiba pia ni mengi kama ilivyo kwa wanyama wengine yanavyotokea lakini kuna magonjwa katika ufugaji wa nguruwe lazima uyajue pamoja na tiba zake kwakua ndio yanayo jitokeza mara kwa mara ANAPHRODISIAS Pale nguruwe anaposhindwa kuingia kwenye joto.hapa nguruwe anakua haingii kwenye joto hii inaweza kusababishwa Na uzito mdogo kutokana na kuwalisha chakula kisicho tosha au kisicho na virutubisho, uzito ulio zidi, upungufu wa madini, minyoo kwenye utumbo, magonjwa sugu. LEPTOSPIROSIS Dalili ya ugonjwa huu ni homa, kuhara,kukojoa damu na kupolomosha mimba kwa hatua ya mwisho na…