Ratiba ya Chanjo kwa kuku (new) I Mshindo Media.

1.     SIKU 1.   Baada ya vifaranga kutotoleshwa ndani ya siku moja wapewe glucose kwa muda wa masaa mawili. Glucose huchanganywa katika maji na kupewa vifaranga hawa na baada ya hapo vifaranga wapewe mchanganyiko wa vitamins mfano ni  AMINOVIT na OTC plus. Pia hii huchanganywa na maji. Vifaranga wawekwe katika eneo lenye joto wastani na safi. Baada ya hapo siku ya pili na kuendelea vifaranga wapewe. 2.       SIKU YA 7. vifaranga wapatiwe chanjo ya NEWCASTLE (KIDERI). chanjo hii huchanganywa na maji safi katika eneo lenye kivuli kIsha kupewa vifaranga kwa muda wa…

Gharama Katika Ufugaji Kuku wa Nyama (new) I Mshindo Media.

GHARAMA  UFUGAJI WA KUKU WA NYAMA  Katika ufugaji inawenzekana umekuwa ukiona Miradi ya watu jinsi ilivyo mikubwa. Unapenda sana kutembelea katika miradi mbalimbali, pia na wewe unawazo la kufuga lakini unashindwa kujua ni mtaji sh ngapi utakao tosha kuanzia mradi wa ufugaji kuku. Ndugu sio lazima wewe kuanzisha mradi Mkubwa kama unayo iona ya wengine. Hao mpaka kufikia hapo wamechukua muda kidogo na wamekutana na changamoto nyingi. Hivyo hata kwa mtaji mdogo kabisa unaweza azisha mradi wako wa ufugaji kuku na baada ya muda nawewe utakuja kutembelewa katika mradi wako.Katika…

UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI NA MASOKO YAKE (new) I Mshindo media

Biashara ya Ufugaji wa Kuku wa kienyeji na Masoko yake  Kuna usemi flani unatumiwa na watu wengi sana. unasema; “kazi ndio msingi wa maendeleo ya mtu yeyote” . Hata mimi nakubaliana na usemi huu kwani ni kweli kabisa kazi ndio msingi wa hatua yoyote ya maendeleo ya mtu yeyote chini ya msingi mkuu ambao ni Mungu. Kinyume chake, asiyefanya kazi (ya kuajiriwa/kujiajiri) basi atabaki kuwa maskini na mtu wa shida ya kipato, mahusiano mabaya na wanadamu wenzako, kuwa tegemezi nk. Kwa kuwa tunatamani sana kutoka katika kongwa hili la umasikini…

UFUGAJI WA NGURUWE NA FAIDA ZAKE (new) I Mshindo media

Utangulizi Nguruwe ni mnyama ambaye hutumika kama chakula / mbonga na pia ni zao la biashara kwa mfugaji, mjasirimali na mfanyabiashara.  NGURUWE HUTEGEMEA SANA MAMBO YAFUATAYO 1 . Banda imara ni rafiki kwake 2. Usafi ni muhimu sana katika banda la Nguruwe 3 Mchaganyo bora wa chakula 4. Tiba bora na kinga 5. Maji na Lishe ( access ya vyakula Muhimu kwake )  CHANGAMOTO  KATIKA UFUGAJI WA NGURUWE KUNACHAGAMOTO ZAKE LAKINI ZAWEZA KUTATULIWA KWA KUFATA MAMBO KADHAA. Katika ufugaji wa nguruwe kuna chagamoto ya vifo vya nguruwe wachanga ambao hupunguza faida ya biashara ya nguruwe kwa kupunguza…

CHANJO YA NDUI (FOWL POX) new I Mshindo media

MSHINDO MEDIA Wanakupatia huduma ya kuchanja kuku wako chanjo ya NDUI (Fowl Pox)  bule kupitia website yetu hapa .Usisubiri kuku wako waugue ndiyo uwachanje Chanjo ya Ndui.Tuwahi mapema kuwachanja kuku wetu NDUI ili wawe na afya nzuri na tupate manufaa ya kufuga kuku.Huduma zetu ni za uhakika na popote tutakufikia. FAHAMU MAANA YA NDUI YA KUKU…….. Ndui ni ugonjwa unaosababishwa na virus aina ya AvipoxVirus ambao hushambulia zaidi kuku na jamii yote ya ndege, katika umri wowote wa kuku ndui inaweza ikampata kuku. Virusi hivi vya Ndui husambaa kwa njia nyingi ikiwemo……

SABABU ZA CHANJO KUSHINDWA KUMLINDA MNYAMA (KUFANYA KAZI). I Mshindo Media new

Ushawahi kujiuliza Ama kusikia mtu akisema, “ Mbona nimechanja na Kuku wangu bado wakaugua na Kufa!”Ama Mganga/Daktari analaumiwa “Mbona Mbwa/paka wangu ameugua na Chanjo ulitoa?” Kabla ya kupata hayo majibu tujiulize kwanza CHANJO ni NINI? Chanjo ni maandalizi ya kibailojia ambayo hutoa kingamwili(ulinzi) dhidi ya ugonjwa fulani, Kinga hiyo huwa ya Muda fulani au Maisha yote. Chanjo kwa kawaida ni vijidudu(Antigen) hai ama mfu ambavyo vinavyosababisha ugonjwa huo ila huwa Vimefubaishwa ili kutokuleta madhara katika mwili na hutolewa katika kiwango ambacho huweza kuamsha kinga ya mwili dhidi ya ugonjwa husika.Mfano.…

List of dairy cattle breeds (new) I Mshindo media

This list is incomplete; you can help by expanding it.Dairy cattle are those primarily raised for their milk as part of dairy farming. Breed Country of Origin Output per Day Other Gallons Litres Ayrshire cattle Scotland 5 19 Can be used for foraging Brown Swiss Switzerland 8 30 Second largest amount of milk produced of any dairy cattle breed. Buša cattle Croatia 1 3.8 Canadienne cattle Canada 2.7 10.4 Very rare breed. Dairy Shorthorn England 7.6 29 Also called the milking shorthorn. Dexter cattle Ireland 2 7.5 Very small in size. Used in domestic farms. Guernsey…

Poultry Management and Care (new) I Mshindo Media

Poultry Guide1. Select your Poultry Niche The poultry industry is a broad niche. There are many sub-sectors in the poultry industry which you can tap into. When poultry farming is mentioned, a lot of people take that to mean chicken rearing or turkey rearing alone but poultry farming is a very wide business with different aspects. Below are niches in the poultry business: Egg production (Layers breeding)Meat production (Broilers breeding)Chicken breeding (Hatchery)Poultry feed productionPoultry equipment manufacturingEgg and meat processing, packaging and marketingPoultry marketing and consultancy So, you see that poultry…