Ratiba ya Chanjo kwa kuku (new) I Mshindo Media.

1.     SIKU 1.   Baada ya vifaranga kutotoleshwa ndani ya siku moja wapewe glucose kwa muda wa masaa mawili. Glucose huchanganywa katika maji na kupewa vifaranga hawa na baada ya hapo vifaranga wapewe mchanganyiko wa vitamins mfano ni  AMINOVIT na OTC plus. Pia hii huchanganywa na maji. Vifaranga wawekwe katika eneo lenye joto wastani na safi. Baada ya hapo siku ya pili na kuendelea vifaranga wapewe. 2.       SIKU YA 7. vifaranga wapatiwe chanjo ya NEWCASTLE (KIDERI). chanjo hii huchanganywa na maji safi katika eneo lenye kivuli kIsha kupewa vifaranga kwa muda wa…

CHANJO YA NDUI (FOWL POX) new I Mshindo media

MSHINDO MEDIA Wanakupatia huduma ya kuchanja kuku wako chanjo ya NDUI (Fowl Pox)  bule kupitia website yetu hapa .Usisubiri kuku wako waugue ndiyo uwachanje Chanjo ya Ndui.Tuwahi mapema kuwachanja kuku wetu NDUI ili wawe na afya nzuri na tupate manufaa ya kufuga kuku.Huduma zetu ni za uhakika na popote tutakufikia. FAHAMU MAANA YA NDUI YA KUKU…….. Ndui ni ugonjwa unaosababishwa na virus aina ya AvipoxVirus ambao hushambulia zaidi kuku na jamii yote ya ndege, katika umri wowote wa kuku ndui inaweza ikampata kuku. Virusi hivi vya Ndui husambaa kwa njia nyingi ikiwemo……

JIFUNZE UGONJWA WA NDUI YA KUKU NA TIBA YAKE (new) I Mshindo Media

NAMNA YA KUTIBU UGONJWA WA NDUI YA KUKU KWA KUTUMIA DAWA ZA ASILI. DALILI ZA UGONJWA WA NDUI.· Ugonjwa wa ndui utaona kuku wako wamepata mapele kwenye kichwa yenye rangi ya kahawia, mapele hayo yanaweza kuziba mpaka macho kufanya kuku wako wasione kabisa na kusababisha kuku wako wakashindwa kula hivyo wakadhoofika kabisa na hatimaye kufa. Ugonjwa huu huwapata kuku wa rika zote lakini huathiri sana vifaranga. Mara nyingi magonjwa ya virusi ni magonjwa ambayo hayana tiba lakini yana kinga. Wape chanjo kuku wako hasa vifaranga wanapokua wamefikia umri wa siku…

KUPUNGUZA MLIPUKO WA MAGONJWA KWA KUKU (new) I Mshindo Media

Bila kupoteza muda banda lakuku linalofaa linatakiwa liwe na yafuatayo:- Banda liruhusu hewa ya kutosha kuingia na kutoka pia mwanga wa kutosha.Kama umeezekea bati hakikisha pawe na miti karibu na banda ili irahisishe mzunguko wa hewa maana bati huchemka sana wakati wa mchana.*Lisiruhusu jua kupenya ndani ya banda wakati wa mchana.waweza weka kuta ndefu za banda ziwe mashariki magharibi.*weka majivu ndani ya banda au tumia dawa za kuua wadudu kama utitiri,siafu,utitiri waweza tumia Akheri powder,ultra vin,seven nk*banda walau liwe na kuta fupi zenye kina cha mita 1.8 KUPUNGUZA MLIPUKO WA…

HIZI NDIZO DAWA ZA ASILI KWA KUKU (new) I Mshindo Media

Madawa ya Asili yatokanayo na Mimea yanayosaidia katika Tiba na Kinga za Maradhi mbalimbali ya Kuku . Sehemu za mimea zinaweza kuwa: Majani, Magome, Mbegu, Maua au Matunda .  Umuhimu wa kutumia tiba zenye asili ya mimea:  â€¢ Hupatikana kwa urahisi.  â€¢ Ni rahisi kutumia. • Gharama nafuu. • Zinatibu vizuri zikitumika vizuri  â€¢ Hazina madhara.  C. Baadhi ya Mimea inayotibu Maradhi ya Kuku:  1. Mwarobaini (Majani, Mizizi, Magome): Hutibu magonjwa yafuatayo:  â€¢ Typhoid. • Kuzuia Kideri.  â€¢ Kuhara.  â€¢ Mafua. • Vidonda. 2. Shubiri Mwitu (Aloe vera):  Chukua majani…

UGONJWA WA MAFUA YA KUKU I Mshindo Media (new)

#UFAHAMU UGONJWA WA MAFUA YA KUKU Ni ugonjwa unaoitwa infectious coryza huenezwa na bacteria. anaeitwa (hemophilus paragallinarum). Ugonjwa huu hushambulia kuku aina zote. Na usipo kuwa makini kwenye usafi wa banda na vyombo , kuruhusu watu kuingia ovyo bandani au kuku wa jirani kuja kuingia kwenye banda lako; ugonjwa huu unaweza shambulia kuku wako kwa kila wiki. #DALILI ZA UGONJWA HUU _Kuvimba uso chini na nyuma ya macho. _Kupumua kwa shida na kukoroma _Kutoka makamasi puani, _ Mdomoni kuwa na hali ya mterezo _Macho kuvimba _Kushindwa kula. _Kupiga chafya ,…

FAHAMU MAGONJWA YA KUKU,DALILI NA TIBA ZAKE I Mshindo Media

Magonjwa ya kuku ni maradhi yanayoathiri afya ya kuku na kusumbua wafugaji wengi wa kuku, hasa wafugaji wadogowadogo. Kuku, kama walivyo viumbehai wengine, hupatwa na magonjwa mbalimbali. Kwa kuwa kuku ni mifugo ya binadamu, hivyo ni jukumu la mfugaji kutatua tatizo linapotokea ambalo hujumuisha afya ya mfugo wake – kuku. Makala hii inaelezea baadhi ya magonjwa ya kuku yanayowakabili wafugaji wengi na baadhi ya njia za kupunguza au kujilinda na magonjwa haya 1. Ugonjwa wa Mdondo: Ugonjwa huu huathiri kuku katika umri wowote na unapoingia kwenye kundi huweza kuua idadi kubwa ya kuku hao hadi kufikia asilimia tisini. Ndege wakubwa hustahimili kidogo kuliko wale wadogo kwasababu…

Ugonjwa wa ndui dalili zake na namna ya kuepuka (new) I Mshindo Media

NDUI. NDUI ni maambukizi ya virusi yanayoenea polepole ambayo huathiri aina nyingi za ndege, pamoja na aina zote za kibiashara za kuku. Inatokea kwa fomu ya mvua na kavu. Fomu ya mvua ina sifa ya alama katika mdomo na njia ya juu ya kupumua. Fomu kavu inadhihirishwa na vidonda vya ngozi-kama ngozi ambayo inakua kwa scabs nene. Ugonjwa huo unaweza kutokea katika umri wowote wa ndege, wakati wowote. Vifo kawaida sio muhimu isipokuwa kuhusika kwa kupumua ni kali. NDUI inaweza kusababisha unyogovu, kupunguza hamu ya kula na ukuaji duni au…

Ufugaji wa Kuku: Ugonjwa wa Kideri / Mdondo Dalili na Kinga

Mdondo ni ugonjwa wa kuambukiza kwenye kuku na jamii zingine za ndege unaosababishwa na virus aina ya para-myxovirus. Ndege wanopata ugonjwa huu ni kuku, batamzinga, bukini, bata, kanga, kware and ndege wengine wasiofugwa na waliohifadhiwa. Dalili zake ni pamoja na kuharisha kinyesi cha kijani, mafua makali, kizunguzungu na hatimaye kifo. TEMEVAC inazalishwa kulingana na viwango vya ubora chini ya muongoza wa viwango vya ubora wa ISO 9001:2015 pamoja na viwango na miongozo ya Shirika la Afya ya Wanyama Duniani (WOAH). UGONJWA WA MDONDO/KIDERI  (NEWCASTLE DISEASE) Ugonjwa huu huathiri kuku katika…

MAGONJWA YA KUKU -MDONDO/KIDERI (NEWCASTLE DISEASE)

Ni ugonjwa unaowapata jamii ya ndege ambao unasababishwa na vimelea aina ya  paramyxovirus. Kuenea kwa Ugonjwa Ugonjwa wa Mdondo (Newcastle disease) huenea kupitia njia mbalimbali kama zifuatazo:-  Dalili za Mdondo/Kideri (Newcastle disease) 2. Kutoa udenda mdomoni.  3. Kukosa hamu ya kula.  4. Kuharisha kinyesi cheupe na kijani. 5. Kuhema kwa shida.  6. Kukakamaa viungo au kupooza hasa mabawa, shingo na miguu.  7. Kupunguza utagaji. 8. Vifo hutegemea kasi ya ugonjwa huweza kufikia hadi asilimia mia moja (100%).  Namna ya kudhibiti Mdondo/Kideri (Newcastle disease)