Gharama Katika Ufugaji Kuku wa Nyama (new) I Mshindo Media.

GHARAMA  UFUGAJI WA KUKU WA NYAMA  Katika ufugaji inawenzekana umekuwa ukiona Miradi ya watu jinsi ilivyo mikubwa. Unapenda sana kutembelea katika miradi mbalimbali, pia na wewe unawazo la kufuga lakini unashindwa kujua ni mtaji sh ngapi utakao tosha kuanzia mradi wa ufugaji kuku. Ndugu sio lazima wewe kuanzisha mradi Mkubwa kama unayo iona ya wengine. Hao mpaka kufikia hapo wamechukua muda kidogo na wamekutana na changamoto nyingi. Hivyo hata kwa mtaji mdogo kabisa unaweza azisha mradi wako wa ufugaji kuku na baada ya muda nawewe utakuja kutembelewa katika mradi wako.Katika…

UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI NA MASOKO YAKE (new) I Mshindo media

Biashara ya Ufugaji wa Kuku wa kienyeji na Masoko yake  Kuna usemi flani unatumiwa na watu wengi sana. unasema; “kazi ndio msingi wa maendeleo ya mtu yeyote” . Hata mimi nakubaliana na usemi huu kwani ni kweli kabisa kazi ndio msingi wa hatua yoyote ya maendeleo ya mtu yeyote chini ya msingi mkuu ambao ni Mungu. Kinyume chake, asiyefanya kazi (ya kuajiriwa/kujiajiri) basi atabaki kuwa maskini na mtu wa shida ya kipato, mahusiano mabaya na wanadamu wenzako, kuwa tegemezi nk. Kwa kuwa tunatamani sana kutoka katika kongwa hili la umasikini…

Kanuni za Ufugaji Bora wa Kuku wa Kienyeji (new)

Kaya nyingi hapa nchini hujihusisha na ufugaji wa kuku kwa lengo la kujipatia chakula na kipato. Mazao yatokanayo na ufugaji wa kuku ni pamoja na mayai, nyama, mbolea na manyoya kwa ajili ya matumizi mbalimbali. Mifumo ya ufugaji kuku ambayo hutumika hapa nchini ni huria, nusu huria na shadidi. Ufugaji wa kuku utakuwa endelevu na wenye tija kwa kufuata kanuni za ufugaji bora zifuatazo:- • Kufuga kuku kwenye banda bora • Kuchagua kuku bora wa kufuga • Kutunza na kulisha kuku kulingana na hatua mbalimbali za ukuaji • Kudhibiti na kutibu magonjwa ya kuku • Kutunza kumbukumbu BANDA LA KUKU Kuku huhitaji banda bora ili…

VIOTA VYA KUKU /chicken nest (new) I Mshindo Media

Kiota ni sehemu ambayo kuku utaga mayai , kuatamia na kutotoa VIFARANGA Aina za viota (type of nest) 1.Kiota kilichotengenezwa na kuku mwenyewe  Ambapo kuku mwenyewe uchagua mahali pa kutagia na kuhifadhi mayai2.Kiota kilichoandaliwa na MFUGAJI Aina ya viota hivi uandaliwa na MFUGAJI katika njia stahiki ili kuweza kupata mazao imara MAHITAJI  YA MUHIMU KATIKA KIOTA Boksi la karatasi Mbao  Nyasi  Nguo ya Aina pamba Ukubwa wa KIOTA inatakiwa uwe unamwezesha kukaa na kujigeuza  Hii maana yake ni inatakiwa uwe na sentimita 35 upana sentimita 35 na urefu sentimita 35…

JINSI YA KUCHAGUA MATETEA YANAYOWEZA KUATAMIA MAYAI (new) I Mshindo Media

Yaweza kutokea baadhi ya kuku wakawa watagaji wazuri wa mayai lakini hawapendi kuatamia. Katika hali hiyo ni vyema wakachaguliwa kuku (mitetea) wengine ili kuatamia mayai yao kwa uanguaji mzuri. UTARATIBU UFUATAO UTATUMIKA Tafuta mtetea aliyefikia umri wa kutaga au kuku aliyekwishawahi kutotoa. Tafuta mawe matatu ya mviringo au viazi mbatata vya ukubwa wa yai au vibao vilivyochongwa kwa umbile la yai au mayai yasiyo na mbegu (mayai viza, au ya kuku wa kisasa). Muwekee kuku huyo mayai bandia yasiyopungua matatu kwenye kiota wakati wa usiku na umfungie humo usiku kucha…

Aina za Kuku na faida zake (new) – Mshindo Media.

Understand this first, Mshindo Media is around your Project The chicken is a type of domesticated fowl, a subspecies of the red junglefowl. They are one of the most common and widespread domestic animals, with a total population of 23.7 billion as of 2018, up from more than 19 billion in 2011. There are more chickens in the world than any other bird or domesticated fowl. Lifespan: 5 – 10 yearsScientific name: Gallus gallus domesticus Order: Landfowl Higher classification: Red junglefowlPhylum: ChordataMass: Sebright chicken: 620 g, Booted Bantam: 850 g, Ermellinata di Rovigo: 3.4 – 3.9 kg AINA ZA KUKU. *KUKU…

JINSI YA KULEA VIFARANGA VYA KUKU (new) I Mshindo media

JINSI YA KULEA VIFARANGA VYA KUKU Karibu mpenzi msomaji wa MSHINDO MEDIA , leo hii napenda kuwaletea soma la jinsi ya kulea vifaranga vya kuku, hivyo tusiache kua nasi ili kujifunza mengi zaidi. Na tutaanza na jinsi ya kujenga nyumba ya vifaranga, hivyo ukitaka kujenga nyumba ya vifaranga nilazima uzingatie yafuatayo. Nyumba ya vifaranga nilazima ijengwe karibu na nyumba ya muangalizi hii ni kwaajiri ya kuweza kuwa karibu kwa uangalizi zaidi. Nyumba ijengwe hatua 20 au zaidi mbali na nyumba ya kuku wakubwa hii nikwaajili ya kupunguza maambukizi ya magonjwa. Nyumba ya vifaranga…

KANUNI SAHIHI YA ULEAJI WA VIFARANGA VYA KUKU (new)

Habari za wakati huu ndugu wasomaji na wafuatiliaji wa blog yetu,leo tutaangalia namna ya kulea vifaranga. Zifutazo ni hatua mbali mbali za maandalizi na mapokezi ya vifaranga. 1.MAANDALIZI YA BANDA Banda ni jambo la kwanza kwa mfugaji yoyote.banda la kuku huweza kujengwa kwa matofali,mbao,au hata miti na matope. mfano wa banda la matofali lenye dirisha kubwa. Banda la kuku linatakiwa liwe safi wakati wote. 1.Sifa za banda la kuku Lipitishe mwanga wa kutosha Lisiwe na nafasi ya wadudu hatari na hata wanyama kupita Liwe karibu na makazi ya mfugaji Sakafu…

MABANDA BORA YA KUKU (new) I Mshindo media

MABANDA BORA YA KUKU Ujenzi wa mabanda bora ya kuku ni miongoni mwa mambo ya msingi kabisa katika ufugaji bora wa kuku wawe ni wa asili au wale walioboreshwa. Hata hivyo si kila mtindo wa ujenzi unafaa, kwahiyo ujenzi huo ni lazima uzingatie mahitaji halisi ili ufugaji huo uweze kutoa matokeo bora yanayotarajiwa na mfugaji. Mambo muhimu katika ujenzi wa banda la kuku ni; 1.      Liingize hewa safi wakati wote. 2.      Liwe kavu daima. 3.      Liwe nafasi ya kutosha. 4.      Liwe la gharama nafuu lakini la kudumu. 5.      Lizuie kuingia wanyama na wadudu hatari kwa…

Banda Bora la Kuku (new) – Mshindo Media.

UJENZI WA BANDA BORA YA KUKU : MANUFAA YA KUWAJENGEA KUKU BANDA LA KISASA 1. Hulinda kuku dhidi ya Hali mbaya ya Hewa2. Huepusha kuku kudonoana3. Huwa epusha kuku dhidi ya wezi na wanyama wakali4. Huepusha kuku kuwa na huzuni ENEOUnapochagua eneo la kujenga banda la kuku, hakikisha kuwa banda hilo halitizami upepo unapotokea, ni lazima liwe karibu na nyumbani, na lisiwe sehemu ambayo maji yanatuama VIFAAMfugaji ni lazima alenge kutumia vifaa imara na vya kudumu ili maradi kuhakikisha banda lina kaa mda mrefu SAKAFUSakafu ya nyumba ya kuku inaweza kutengenezwa…

Banda Bora la Kuku (new) I Mshindo media

Banda bora la Kuku Manufaa ya kuwajengea kuku banda la kisasa1. Hulinda kuku dhidi ya Halimbaya ya Hewa2. Huepusha kuku kudonoana3. Huwa epusha kuku dhidi ya wezi na wanyama wakali4. Heepusha kuku kuwa ha uzuni ENEOUnapochagua eneo la kujenga banda la kuku, hakikisha kuwa banda hilo halitizami upepo unapotokea, ni lazima liwe karibu na nyumbani, na lisiwe sehemu ambayo maji yanatuama VIFAAMfugaji ni lazima alenge kutumia vifaa imara na vya kudumu ili maradi kuhakikisha banda lina kaa mda mrefu SAKAFUSakafu ya nyumba ya kuku inaweza kutengenezwa kwa sementi endapo mfugaji…

Ufugaji Bora wa kuku (new) I Mshindo Media.

MAMBO MUHIMU KUZINGATIA KATIKA UFUGAJI WA KUKU.Unapotaka kujikita katika suala la ufugaji wa kuku ipo haja kubwa ya kuweza kufikiria ni kwanama gani utaweza kuwa mfugaji bora wa kuku, Hii ni kwa wote, wafugaji na wanaotaka kuanza kufuga. Unapotaka kuanza ufugaji unatakiwa uanze na ufugaji mdogo hata kama una mtaji mkubwa. Kwa kufanya hivi itakusaidia kupata uzoefu katika nyanja zifuatazo: 1.  Utunzaji.Kwa kuanza na kiasi kidogo itakusaidia kujua ni ukubwa gani unafaa kwa kuku wangapi, ukiwa na kuku wangapi utalisha chakula kiasi gani, pia utapata uzoefu wa chanjo muhimu zinazohitajika…

MBINU ZA KUATAMIA MAYAI MENGI KWA NJIA ZA ASILI (new)

Kwa kawaida kuku huanza kutetea(Kutoa mlio wa ishara ya kutaga) anapofikisha miezi sita hadi minane. Hivyo ni vyema viota viandaliwe mapema wakiwa na umri wa miezi mitano. Kuku anapoanza kutaga akifikisha mayai matatu mfugaji anashauriwa kuondoa kila yai linalozidi hayo matatu kila siku linapotagwa na kuliweka alama ya tarehe au namba kwa kutumia penseli ili kumfanya kuku aendelee kutaga kwa lengo la kufikisha mayai 15 mpaka 20. Mayai yanayoondolewa yawekwe kwenye chombo kikavu kinachopitisha hewa ni vizuri pia kuweka mchanga ndani ya chombo hicho. Hakikisha ya fuatayo.Sehemu iliyochongoka iwe chini…

Sababu 10 Za Kuku Kupunguza Utagaji Mayai (new) | Mshindo media.

Kupungua kwa mayai yanayo zalishwa kwa siku katika shamba lako la kuku watagao mayai ni dalili moja wapo inayo onesha kwamba kunatatizo katika kundi lako la kuku. Kulingana na utafiti ulio fanywa na shirika la FAO una onesha kwamba kwa kawaida kuku aliye fikia umri wa miezi mitano au sita nakuendelea inatakiwa atage yai moja kila baada ya saa 24 hadi 26, kwa maana hiyo kila siku kuku wako inatakiwa atage yai moja. Kama vile tunavyo kuwa makini kufuatilia kinyesi cha kuku kugundua kama kuku anaumwa au anatatizo vivyo hivyo…

MAMBO MUHIMU SANA KWENYE INCUBATORS (new) | Mshindo media

Incubators ni Mashine zinazo tumika kutotoreshea viumbe mbali mabali hasa Ndege. AINA ZA INCUBATORS Forced Air IncubatorStill Air Incubators FORCED AIR INCUBATOR Forced Air Incubators ni mashine yenye Feni kwa ajili ya kutawanya joto ndani ya incubators STILL AIR INCUBATORS Hii ni mashine siyo kuwa na fane  IPI NZURI? Inashauriwa kutumia/kununua Forced Air Incubators ndo bora kabisa na haitakusmbua na hatahivyo kwa incubator kubwa karibia zote ni Fored air, na mara nyingi ndogo ndo still air AINZA INCUBATOR KWENYE OPERATION Manual Automatic MANUAL INCUBATORS Hizi hutumia mikono katika kugeuuza mayai…

CHAKULA CHA VIFARANGA WA KIENYEJI (new) I Mshindo Media

JINSI YA KUCHANGANYA CHAKULA CHA VIFARANGA  WA KIENYEJI   MIEZI MIWILI YA MWANZO. Unga wa dona wa nafaka kama mahindi au mtama 40kg Pumba za mtama au mahindi au uwele 27kg Mashudu ya alizeti au ufuta, au pamba au karanga n.k. 20kg Unga wa mifupa au chokaa ya kuku (DCP) 2.25kg Dagaa au mabaki ya samaki (sangara fish meal) 10kg Chumvi ya jikoni 0.5 Virutubisho (Broiler premix) 0.25 JUMLA = 100kgs. Huu mchanganyiko ni wa vifaranga kuanzia siku 1 hadi miezi miwili. JINSI YA KUCHANGANYA CHAKULA CHA KUKU WA KIENYEJI, .…

MWONGOZO WA KUKU WA MAYAI (new) I Mshindo Media

MWONGOZO WA KUKU WA MAYAI.  👉Kuku wa mayai, hawa ni kuku ambao vinasaba vyao huwawezesha kutaga mayai mengi kwa muda watakao fugwa  Zipo aina nyingi za kuku wa mayai hapa nitataja baadhi  👆Hy-line, Isa brown, Bavon brown, Lohman brown, Rhode Island n.k  Yapo mambo kadhaa ya kuzingatia kwa kuku wa mayai  👏ENEO 👉Idadi ya kuku kwa mita moja mraba ni kuku 7-8 ndio inayo shauriwa sana kitaalamu kwa ukuaji na kuzunguka  👉Vyombo vya chakula na maji  Belly drinker 1 kuku 60-80  Chicken /feeder drinker kubwa Lita 20 kuku 50-60  Chicken  drinker/feeder…

UFUGAJI WA BROILERS/ KUKU WA NYAMA (new) I Mshindo Media

MWONGOZO WA UFUGAJI WA KUKU WA NYAMA/BROILERS  Biashara ya kuku imejikita katika uwanja mpana sana kwa kutegemea aina za kuku, kwa maeneo mengi ya mjini Kuku wa nyama wamekua wakiuzika sana Japo kwa bei isiyo rafiki kwa mfugaji  👉Kwa maeneo mengi wafugaji wamekua wakifuga wakitarajia kuuza kuku kuanzia siku ya 28-30, au kama watachelewa sana basi wasizidi siku 35, japo wapo wengine ambao huuza mapema zaidi ya hapo au kwa kuchelewa kutokana na sababu tofauti tofauti.  👆Mambo ya kuzingatia ili broilers waweze kukua ipasavyo.  👉 Chakula 👆Kwa ukuaji wa haraka wa…