What things to consider when choosing to keep animals

Introduction Emphasis on integration  Organic livestock husbandry is based on the harmonious relationship between land, plants and livestock, respect for the physiological and behavioral needs of livestock and the feeding of good-quality organically grown feedstuffs. (IFOAMs Norms for Organic Production (2012); General Principle for Animal Management, p. 42)  Integration of animals into crop producing farms is fundamental for many types of organic farms. In temperate and arid zones, animal husbandry plays an important role in the recycling of nutrients, while it is often less emphasized in the humid tropics. The caring, training, and…

MAGONJWA YA MIFUGO HATARISHI KWA AFYA YA BINADAMU/ZOONOTIC DISEASES I Mshindo Media

MAGONJWA YA MIFUGO (WANYAMA) HATARISHI KWA AFYA YA BINAADAMU :  Zoonotic Diseases: Disease Transmitted from Animals to Humans. A zoonosis (zoonotic disease or zoonoses -plural) is an infectious disease that is transmitted between species from animals to humans (or from humans to animals) Vijidudu vingi viletavyo magonjwa ni Host specific yaani husababisha aina moja au mbili ya wanyama kama Theileria parva: ng’ombe tu na cowdria ruminantia: wanyama wote wanaokula majani (ruminants) Vijidudu vingine huleta athari kwa kundi (makundi) kubwa la wanyama akiwemo binaadamu kama vile Salmonella sp Escherichia coli na Mycobacyterium tuberculosis Yafuatayo ni baadhi ya magonjwa…

FAHAMU MAGONJWA YA KUKU,DALILI NA TIBA ZAKE I Mshindo Media

Magonjwa ya kuku ni maradhi yanayoathiri afya ya kuku na kusumbua wafugaji wengi wa kuku, hasa wafugaji wadogowadogo. Kuku, kama walivyo viumbehai wengine, hupatwa na magonjwa mbalimbali. Kwa kuwa kuku ni mifugo ya binadamu, hivyo ni jukumu la mfugaji kutatua tatizo linapotokea ambalo hujumuisha afya ya mfugo wake – kuku. Makala hii inaelezea baadhi ya magonjwa ya kuku yanayowakabili wafugaji wengi na baadhi ya njia za kupunguza au kujilinda na magonjwa haya 1. Ugonjwa wa Mdondo: Ugonjwa huu huathiri kuku katika umri wowote na unapoingia kwenye kundi huweza kuua idadi kubwa ya kuku hao hadi kufikia asilimia tisini. Ndege wakubwa hustahimili kidogo kuliko wale wadogo kwasababu…

MJUE SUNGURA NA UFUGAJI BORA I Mshindo Media

UTANGULIZI Kabla hujaamua kufuga sungura hakikisha ya kwamba umejitoa na una muda wa kuwahudumia wanyama waha, ufugaji wao si rahisi kama vile ukifuga paka au mbwa, sungura wanahitaji uangalizi na hasa kwenye usafi kwa sababu ni rahisi kwao kupata maradhi yatokanayo na mazingira mabaya na machafu.  MABANDA Kuna aina mbili za mabanda ya kufugia kwanza ni yale ya kuwafungia ndani muda wote bila kutoka nje na ya pili ni ile ya pili ni nusu nusu yaani wanakuwa na mabanda na wanaweza kutoka nje kwenye ua maalum, katika aina zote mbili ni muhimu…

Organic animal husbandry: Breeding, housing and feeding

Breeding in Organic Farming Principles and Methods Breeds are adapted to local conditions (General Principle under 5.4, Breeds and Breeding, IFOAMs Norms 2012).  Breeding animals which are strong and robust and adapted to the local conditions is a strategy which is important both for health promotion and disease prevention. Traditional breeds of farm animals may be a good starting point for organic animal breeding. Animals can be improved by selection of individuals specially adapted to their natural organic conditions. They can be crossbred with suitable new breeds, thus achieving animals with the desired positive aspects of both…

Animal health promotion, welfare and disease prevention (new)

Factors influencing animal health and wellbeing Health is a dynamic and ongoing process in all living individuals, which is coping with and responding to all the things we meet in the surrounding, which potentially could influence us. Disease causing germs, parasites and numerous stress factors are present in the lives of both humans and animals. All living organisms have an immune system which should be supported to cope with these germs. All forms of stress and pressure can disturb this.  Organic animal husbandry puts its focus on improving the living conditions…

Chakula na Malisho Bora kwa Ng’ombe wa Maziwa I Mshindo media

Kuna njia nyingi ambazo wakulima wanaweza kupata pesa kutokana na ufugaji wa ng’ombe wa maziwa. Unaweza kutengeneza pesa kutokana na kuuza samadi, ndama wako, na muhimu kabisa uzalizaji wa maziwa mengi.Kuwekeza kwenye ng’ombe wa maziwa kwanza unahitaji kuorodhesha gharama zote utakazokumbana nazo. Hizi ni pamoja na : Bei ya ng’ombe mwenye kutarajia ndama itategemea na kumbukumbu ya kuzalisha na maziwa. Mara tu ng’ombe anapopata  ndama na kuanza kukama maziwa, unaanza kutengeneza pesa. Kwa mfano, kama ng’ombe wako anatoa wastani wa lita 20 kwa siku, unaweza kuuza lita moja kwa KSH…