DAWA ZA ASILI ZA KUTIBU MAGONJWA TOFAUTI YA KUKU (new) I Mshindo Media

DAWA ZA ASILI ZA KUTIBU MAGONJWA TOFAUTI YA KUKUZipo dawa tofauti za asili zinazopatikana kirahisi kwenye mazingira ya vijijini ambazo zina uwezo wa kutibu magonjwa ya kuku. Katika mada hii taelezea baadhi ya dawa hizo. Dawa ya kutibu Homa ya Matumbo “Fowl Typhoid” ni Kitunguu swaumu Kuandaa•Chukua robo kilo ya vitunguu swaumu•toa maganda.•Kisha twanga•changanya na maji kiasi cha lita moja•chuja na kuwapa maji yake kwa muda wa juma moja.……………………………………………………………………………………………………………………………………….

Jinsi shubiri mwitu (Aloe Vera) inavyotibu magonjwa ya kuku (new) I Mshindo media

Shubiri mwitu (Aloe VERA) ni mmea ambao umekuwa ukitumika kwa kutibu magonjwa mbalimbali ya binadamu na mifugo. Mmea huu unatumika sasa kutengeneza sabuni, dawa za binadamu na wanyama na mambo mengine mengi. Na kwa sababu ya madawa mengi ya kiwandani kushindwa kutibu baadhi ya magonjwa kwa sababu wadudu wametengeza ukinzani, ipo haja kubwa ya kuweka umuhimu kwenye madawa ya asili yatokanayo na mimea. Mmea wa aloe vera unauwezo wa kutibu magonjwa ya kuku hasa coccidiosis na kwa kiasi fulani Newcastle disease. Tafiti zilifanyika kwa kutumia mti huu kutibu ugonjwa coccidiosis…

BAKTERIA KWA KUKU (new) I Mshindo Media

Bacteria Ni vimelea ambavyo havionekani kwa macho yakwaida , bakteria wengi uishi katika mimea na wanyama waliohai au waliokufa  Bakteria wanaosababisha homa upatikana katika miili ya kuku KUPITIA vinyesi vyao , mucus , chakula , maji  Aidha bakteria upatikana sehemu zenye mazingira machafu (unyevunyevu na joto)  Magonjwa muhimu yanayosabishwa na bakteria ni !  Homa kali ya matumbo  Kipindupindu cha kuku Kuhara Choo cheupe Mafua makali NB:Ni vema uhakikishe unakiga kuku wako DHIDI ya magonjwa ya bakteria kwa kusafisha banda na vyombo vya chakula Magonjwa mengi ya BAKTERIA uwa na dawa/tiba…

HIZI NDIZO DAWA ZA ASILI KWA KUKU (new) I Mshindo Media

Madawa ya Asili yatokanayo na Mimea yanayosaidia katika Tiba na Kinga za Maradhi mbalimbali ya Kuku . Sehemu za mimea zinaweza kuwa: Majani, Magome, Mbegu, Maua au Matunda .  Umuhimu wa kutumia tiba zenye asili ya mimea:  â€¢ Hupatikana kwa urahisi.  â€¢ Ni rahisi kutumia. • Gharama nafuu. • Zinatibu vizuri zikitumika vizuri  â€¢ Hazina madhara.  C. Baadhi ya Mimea inayotibu Maradhi ya Kuku:  1. Mwarobaini (Majani, Mizizi, Magome): Hutibu magonjwa yafuatayo:  â€¢ Typhoid. • Kuzuia Kideri.  â€¢ Kuhara.  â€¢ Mafua. • Vidonda. 2. Shubiri Mwitu (Aloe vera):  Chukua majani…