Usafi wa mabanda ya kuku na magonjwa ya virus (new)

Related image

DAWA MABANDA KABLA YA KUINGIZA KUKU
·         

Ondoa mbolea na vitu vyote vilivyotumika(mifuko ya chakula,makopo n.k) na kuitupa mbali kabisa na mabanda·         

Anza kusafisha dari 

harafu kuta na kumalizia na sakafu·         

Lowesha vyombo vya kunyweshea maji na

kulishia chakula na vifaa vyote vinavyotumika ndani ya mabanda kwenye dawa aina ya virutec kwa muda wa nusu saa harafu suuza na maji ya kawaida kabla ya kupiga dawa ya kuulia wadudu warukao na watambaao ndani nan je ya banda

           Kumbuka; Kuweka virutec kwenye footbath mlangoni kabla ya kuleta vifaranga

Magonjwa yamegawanyika katika makundi mawili

1.Magonjwa ya bacteria

  1.   Fowl Tyfoid
  2.   Paratyphoid
  3. Colibacillosis
  4.   Infectious coryza(Mafua)
  5.   Coccidiosis
  6.   Mycoplasmosis

 2. Magonjwa ya virusi

Newcastle (Mdondo)

Gumboro

UgonjwaDaliliChanjo/Tiba
Newcastle Disease(Mdondo)Vifo vingi vya ghaflaKuharishaHutokea wakati wowote baada ya wiki mbiliChanjo siku 7 rudia baada ya siku21 na baada ya wiki 12
GumboroVifo vya ghaflaKukunja mbawa chini kujikusanya pamojaKuharisha nyeupeUgonjwa hutokea kuanzia wiki ya 2 mpaka 18Canjo siku ya 10 mpaka 14Rudia siku ya 28 na 42 kwa kuku wa mayai
Avian Leukosis ComplexMarecks humpata kuku kuanzia umri wa wiki tatu lakin mara nyingi ni wiki ya 12-24Dalili ni;kupooza mabawa,miguu kuvimba na kufa na kuvimba miguu maini wengu na figoTiba ni Fruquin 1ml/2lita kwa siku tatuNutrivet 5g/20lita
TyphoidVifo vya kuku mmoja mmojaTiba ni Fruquin 0.5-1ml/lita kwa siku tatuNutrivet 5g/20lita

………………………………………………………………………………………………………………………………………..

Share Now

Related posts