LISHE YA KUKU:Ili kuku waweze kuishi, kukua vizuri, kunenepa na kutaga mayai mengi ni lazima wale chakula kingi na chenye ubora unaotakiwa. Uwingi na ubora wa lishe ya kuku unaweza kuainishwa katika makundi ya vyakula kama ifuatavyo:1.   Vyakula vya kutia nguvu2.   Vyakula vya kujenga mwili3.   Vyakula vya kuimarisha mifupa4.   Vyakula vya kulinda mwili5.   Maji.MAKUNDI YA VYAKULA:Vyakula vya kutia nguvu: Vyakula vya mifugo vifuatavyo vinawekwa katika kundi hili;a. Pumba za mahindi, pumba laini za mpunga, na, pumba laini za…
Category: Chakula
CHAKULA CHA VIFARANGA WA KIENYEJI (new) I Mshindo Media
JINSI YA KUCHANGANYA CHAKULA CHA VIFARANGAÂ WA KIENYEJIÂ Â MIEZI MIWILI YA MWANZO. Unga wa dona wa nafaka kama mahindi au mtama 40kg Pumba za mtama au mahindi au uwele 27kg Mashudu ya alizeti au ufuta, au pamba au karanga n.k. 20kg Unga wa mifupa au chokaa ya kuku (DCP) 2.25kg Dagaa au mabaki ya samaki (sangara fish meal) 10kg Chumvi ya jikoni 0.5 Virutubisho (Broiler premix) 0.25 JUMLA = 100kgs. Huu mchanganyiko ni wa vifaranga kuanzia siku 1 hadi miezi miwili. JINSI YA KUCHANGANYA CHAKULA CHA KUKU WA KIENYEJI, .…
JINSI YA KUZALISHA AZOLLA KWA CHAKULA CHA KUKU (new)
Habari Ndugu Mfugaji popote pale ulipo na mfuatiliaji wa website yetu, Jifunze jinsi ya kuzalisha azolla kwa chakula cha kuku na Mshindo media.Kwa maeneo mengi sana hapa nchini imekuwa changamoto hupatikanaji pamoja na bei za vyakula vya kuku, na watu wengi wamekuwa wakipata wakati mgumu na kufanya ufugaji kuwa na changamoto nyingi na hata kuhahirisha kufanya ufugaji. Bali sasa vitambue vyakula ambavyo mfugaji unaweza zalisha katika mazingira yake kwa lengo la kulisha kuku wake.Vifuatavyo ni vyanzo vya chakula ambavyo vyaweza tumika kulisha kuku. – MMEA WA AZOLA. Huu ni mmea ambao hukua ndani…
JIFUNZE KUTENGENEZA CHAKULA CHA KUKU NG’OMBE,NGURUWE NA KUKU KWA TEKNOLOJIA YA HYDROPONICS (new) I Mshindo Media
SEHEMU YA KWANZA Tumerahisisha zaidi maelezo na kuifanya iakisi mazingira harisi ya mfugaji wa kitanzania Hydroponic ni nini? Ni mbinu ya kukuza mimea kwa kutumia mchanganyiko wa virutubisho vya madini katika maji bila kutumia udongo. Mchakato huu huchukua siku 6 hadi tisa kukamilika. Kilo moja ya mbegu huzalisha wastani wa kilo 6 hadi kumi za majani na mizizi. Faida za Teknolojia hii i. Malisho huzalishwa ndani ya muda mfupi katika eneo dogo.mfano eneo la 4X3 mita huweza kutoa malisho sawa na ekari 2. ii. Chakula hiki hulika chote kwa mifugo.…
JINSI YA KUTENGENEZA CHAKULA CHA SAMAKI (new)
Mfugaji anaweza kupunguza gaharama za kununua chakula kwa ajili ya samaki, kwa kutengeneza chakula mwenyewe kwa kutumia malighafi ulizo nazo katika eneo lako. Tumia resheni rahisi ambayo itakupatia chakula cha kutosha na kwa gharama nafuu. Mahitaji 1. Pumba ya mahindi sadolini 1. 2. Pumba ya ngano au mpunga sadolini 1. 3. Dagaa sadolini 1. 4. Kilo moja ya soya. 5. Robo kilo ya mashudu ya pamba au alizeti. Namna ya kuandaa 1. Changanya malighafi hizo kwa pamoja. 2. Saga hadi zilainike. 3. Kanda kama vile unga wa kutengenezea chapati. 4. …
Fahamu uzalishaji Azolla kwa ajiri ya mifugo yako (new)
Azolla Production JIFUNZE KUZALISHA AZOLLA KWAAJILI YA MIFUGO YAKO Unaweza tazama video hiyo apo juu.…. FAHAMU AZOLLA Azolla ni aina ya blue green algae ambayo huweza kulimwa na kustawi vizuri katika mabwawa,mito, madimbwi na mitaro inayotuhamisha maji kwa muda mrefu kazi yake kubwa hufyonza nitrogen kutoka kwenye hewa pia hukua haraka sana katika maji yaliyotuamaFaida za Azolla1. Hutumika kuongeza nitrogen kwenye udongo kwa kutumika katika utengenezaji wa mbolea vunde au kuyafanya kama matandazo shambani2. Hutumika kama chakula cha mifugo kwasababu ina kiwango kikubwa cha protein 25%-30% hutumiwa na ng’ombe, mbuzi,…
Fahamu kuku wa nyama na mayai (new)
SIFA ZA KUKU BORA WA MAYAI NA NYAMAKuku waliotunzwa vizuri tegemea yafuatayo:- Vifo wakati wa kulea 3% – 5% Vifo wakati wa utagaji 1% kwa mwezi Umri wa kuanza kutaga wiki 19-20 UTARATIBU WA CHANJORudia chanjo ya New Castle kila baada ya miezi 3-4, chanjo ya Mareks hufanyika Hatchery kabla ya mfugaji kupewa vifaranga.KUMBUKA:Chanjo ya mareks unaponunua vifaranga ni vigumu kujua,unatakiwa kuzingatia kupata vifaranga sehemu zinazotambulikaUTARATIBU WA CHAKULAUmri (Wiki) Aina ya chakula0-3 Broiler Starter4-8 Broiler FinisherTIBA YA MINYOOHii hufanyika zaidi kwenye kuku wa mayai:Mara ya kwanza wapewe wiki ya 8 kurudiwa ya 18Baada ya…
Tengeneza chakula cha kuku mwenyewe (new) I Mshindo Media
UTENGENEZAJI WA CHAKULA CHA KUKU (broilers) Chakula hiki utengenewza kati namna ya kumsaidia kifaranga aweze kumeza vizuri na hivyo hutakiwa kuwa katika punje punje ndogo ndogo. Hata kama utanunua pumba, ni vema kuzipitisha kwenye mashine ili ziwe laini zaidi. Broiler starter Aina ya vyakula Kiasi (kgs) Unga wa dona wa nafaka kama mahindi au mtama 40 Pumba za mtama au mahindi au uwele 27 Mashudu ya alizeti au ufuta, au pamba au karanga n.k. 20 Unga wa mifupa au chokaa ya kuku (DCP) 2.25 Dagaa au mabaki ya samaki (sangara…
LISHE YA KUKU NA KUCHANGANYA CHAKULA (new) I Mshindo media
LISHE YA KUKU: Ili kuku waweze kuishi, kukua vizuri, kunenepa na kutaga mayai mengi ni lazima wale chakula kingi na chenye ubora unaotakiwa. Uwingi na ubora wa lishe ya kuku unaweza kuainishwa katika makundi ya vyakula kama ifuatavyo: 1.      Vyakula vya kutia nguvu 2.      Vyakula vya kujenga mwili 3.      Vyakula vya kuimarisha mifupa 4.      Vyakula vya kulinda mwili 5.      Maji. Makundi ya vyakula: Vyakula vya mifugo vifuatavyo vinawekwa katika kundi hili;a. Pumba za mahindi, pumba laini za mpunga, na, pumba laini za ngano.b. Nafaka kama vile mtama , chenga za mahindi ,chenga za mchele, uwele , na ulezic. Mimea ya…