MAMBO MUHIMU SANA KWENYE INCUBATORS (new) | Mshindo media

Incubators ni Mashine zinazo tumika kutotoreshea viumbe mbali mabali hasa Ndege.

AINA ZA INCUBATORS

Forced Air IncubatorStill Air Incubators

FORCED AIR INCUBATOR

Forced Air Incubators ni mashine yenye Feni kwa ajili ya kutawanya joto ndani ya incubators

STILL AIR INCUBATORS

Hii ni mashine siyo kuwa na fane 

IPI NZURI?

Inashauriwa kutumia/kununua Forced Air Incubators ndo bora kabisa na haitakusmbua na hatahivyo kwa incubator kubwa karibia zote ni Fored air, na mara nyingi ndogo ndo still air

AINZA INCUBATOR KWENYE OPERATION

Manual

Automatic

MANUAL INCUBATORS

Hizi hutumia mikono katika kugeuuza mayai na katika maswala mengine kama kucontro joto na kazalika

AUTOMATIC INCUBATORS

Hizi hujiendesha kama Computer, kila kitu hufanywa automatically so kazi za manual hupunguza sana, Ukiwa na Incubnator Automatic na ikawa na sehemu ambayo inajiongeza maji automatically basi inaweza hata kata wiki bila kuchungulia mashine yako na ikawa inapiga kazi bila tatizo.

NI IPI NZURI?

Kwa kweli kwa maisha ya sasa inahitajika Automati Incubators ambayo haitahitaji wewe kuwepo mara kwa mara katika ku contro mashine, Ingawa kuna wakati Manual inahitajika kuliko Automatic na kuna wakati Automatic inahitajika kuliko manual

NB: Automatic nyingi zina manual, yaani kuna sehemu ya kushft kwenda manual, ila manual karibia zote hazina sehemu ya kushift kwenda automatic

ILA ZOTE ZINAFANYA KAZI KWA UFANISI SAWA, TOFAUTI MOJA NI AUTOMATIC NA NYINGINE NI MANUAL.

MAMBO MUHIMU SANA KWENYE INCUBATORS

Aina ya incubators, Model of operation, Manufacturer, Nishati inazo tumia na nishati mbadala.

 MANUFACTURE

Incubator nyingi za nje ni nzuri sana, Kuna za Italy, Denmark, Uk, China, USA, India, South Africa Trukey na kazalika na bei zinatofautiana. Na utaona kwamba Incubator kama za Uk, South, USA, Italy ni very expensive compare na za kutoka China au India. Ila bei kutofautiana sana sio ishu na kama mnavyo jua China wao wna Policy yao kuhusu Internatinal Trade that is why.

Mashine nza Ndani ya Nchi nazo zipo nzuri na zipo zingine ni vimeo ila watengenezaji wanatakiwa kuwekeza zaidi kwenye Utafiti na si kujikita kwenye mauzo, inatakiwa kuboreshwa zaidi na zaidi ili ziwe na viwango vizuri

SOURCE OF ENERGY

Incubators karibia zote zinatumia Umeme kama source namba moja na jua, makaa ya mawe au gas kama source namba mbili, ingawa zipo za mafuta ya taa pia kama source No 1

ALTENATIVE SOURCE OF ENERGY

Kila aina ya mtengenezaji ana source yake ya altenative energy, zipo za Gas, zipo za umeme jua na zipo za mvuke wa maji na zipo za mafuta ya taa, na zipo za makaa yam awe.

ALTENATIVE SOURCE NZURI

Kwangu mimi Incubators ambazo altenative source of energy ni Mvuke wa maji nimetokea kuzipenda sanaHapa umeme ukikatika unaunga pipe kwenye Mashine na unakuwa na birika special na unaiweka jikoni maji yanachemka na mvuke unapita hadi kwenye incubators, ni source nzuri sana,  Hata jua nayo ni source poa

ILA BADO SOURCE YA JUA AU GAS INAKUWA NI ALTENATIVE NZURI SANA.

MATATIZO YA INCUBATORS

Incubators nyingi zina shida moja kubwa sana, Incubators inaweza ikaharibika na wewe usiwe na habari kabisa na mpaka uje kushutuka ilisha haribu mayai yote na hilo ni tatizo kubwa sana

MFANO:

Heating tube zinaweza kufa na wewe usijue kabisa, na ukija shtukia ilishaharibu kila kitu Humidity Tube inaweza kufa na wewe usijue na ukija shitukia ni balaa Eggs turning inaweza kufa na usitambue hata siku mbili Humidity sensor na temperature sonsor zinaweza kufa na wewe usijue chochoteNa mara nyingi kinaweza kufeli kifaa kimoja za vingine viakendelea na kazi bila shida ila ikawa ndo kama hivyo, Mfano Mashine inaweza kuwa imekufa Humidity tube, na hapo inaweza endelea kufanya kazi na some time ni vigumu sana kugundua. Na tofauti na mitambo kama gari, Incunator inapo haribika huku ukiwa umeweka mayai ni balaa tupu, kama huna mashine nyingine ndo inakuwa imeharibu mayai yote.

KUKATIKA KWA UMEME

Endapo umeme utakatika na ukatumia Gas, au mafuta ya taa au makaa yam awe kama source nyingine ni lazima ugeuze mayai kwa mkono, na hapa tatizo liko kwamba ile mashine haiwezi kukubali kugeka ni lazima ubonyeze sehemu ya kubadilisha kutoka automatic kwenda manual. HAPA NDO HUWA KUNA KAZI PEVU

Na Mwisho ni kuhusu uendeshaji wa Incubators, Mara nyingi uendeshaji nao ni tatizo kubwa sana hasa kwenye kurekebisha joto na unyevu lazima zitofautiane kulingana na maeneo au vipindi Fulani, Joto na wakati wa Baridi kali

…………………………………………………………………………………………………………………..

Share Now

Related posts