Fahamu zaidi ufugaji wa mbuzi (new) I Mshindo Media

Mbuzi na kondoo ni wanyama ambao wanaweza kufugwa kwa gharama nafuu pia ni wavumilivu wa ukame na maradhi tofauti na ngo’mbe kwa kua wana umbile dogo wanaweza kufugwa katika eneo dogo na nguvu kazi ndogo na hata kwa wenye kipato kidogo. Katika makala hii Mkulima Mbunifu inangazia kuhusu ufugaji wa Mbuzi. Makala kama hii inaweza kua umeshasoma, ila kwaajili maombi ya wasomaji wa jarida hili tutatilia mkazo uzalishaji, ukuzaji na lishe. Uzalishaji Mbuzi wenye afya huingia joto mara kwa mara, na huweza kuwa na watoto wapatao watatu kila baada ya miaka miwili.…

Contagious ecthyma (new) I Mshindo Media

Ugonjwa huu una majina mengi ya kitaalamu: contagious pustular dermatitis, contagious ecthyma, infectious labial dermatitis, ecthyma contagiosum, thistle disease and scabby mouth. –huu ugonjwa unaowapata mbuzi na kondoo, husababishwa na virusi vinavyoitwa parapox virus. Virusi hivi huishi kwenye mazingira kama kuta za banda, vyombo vya chakula, kwenye malisho n.k na huweza kukaa mwezi, mwaka na zaidi.  Uenezwaji Virusi hawa humpata mnyama kupitia sehemu zilizo wazi kwa kuumia kama kidonda na mara nyingi huwapata mbuzi sababu wanapenda kula miba inayo pelekea kupata majeraha sehemu za mdomo. -pia watoto wa mbuzi wanao…