UFUGAJI WA NGURUWE NA FAIDA ZAKE (new) I Mshindo media

Utangulizi Nguruwe ni mnyama ambaye hutumika kama chakula / mbonga na pia ni zao la biashara kwa mfugaji, mjasirimali na mfanyabiashara.  NGURUWE HUTEGEMEA SANA MAMBO YAFUATAYO 1 . Banda imara ni rafiki kwake 2. Usafi ni muhimu sana katika banda la Nguruwe 3 Mchaganyo bora wa chakula 4. Tiba bora na kinga 5. Maji na Lishe ( access ya vyakula Muhimu kwake )  CHANGAMOTO  KATIKA UFUGAJI WA NGURUWE KUNACHAGAMOTO ZAKE LAKINI ZAWEZA KUTATULIWA KWA KUFATA MAMBO KADHAA. Katika ufugaji wa nguruwe kuna chagamoto ya vifo vya nguruwe wachanga ambao hupunguza faida ya biashara ya nguruwe kwa kupunguza…

DAWA ZA ASILI ZA KUTIBU MAGONJWA TOFAUTI YA KUKU (new) I Mshindo Media

DAWA ZA ASILI ZA KUTIBU MAGONJWA TOFAUTI YA KUKUZipo dawa tofauti za asili zinazopatikana kirahisi kwenye mazingira ya vijijini ambazo zina uwezo wa kutibu magonjwa ya kuku. Katika mada hii taelezea baadhi ya dawa hizo. Dawa ya kutibu Homa ya Matumbo “Fowl Typhoid” ni Kitunguu swaumu Kuandaa•Chukua robo kilo ya vitunguu swaumu•toa maganda.•Kisha twanga•changanya na maji kiasi cha lita moja•chuja na kuwapa maji yake kwa muda wa juma moja.……………………………………………………………………………………………………………………………………….

Kanuni za Ufugaji Bora wa Kuku wa Kienyeji (new)

Kaya nyingi hapa nchini hujihusisha na ufugaji wa kuku kwa lengo la kujipatia chakula na kipato. Mazao yatokanayo na ufugaji wa kuku ni pamoja na mayai, nyama, mbolea na manyoya kwa ajili ya matumizi mbalimbali. Mifumo ya ufugaji kuku ambayo hutumika hapa nchini ni huria, nusu huria na shadidi. Ufugaji wa kuku utakuwa endelevu na wenye tija kwa kufuata kanuni za ufugaji bora zifuatazo:- • Kufuga kuku kwenye banda bora • Kuchagua kuku bora wa kufuga • Kutunza na kulisha kuku kulingana na hatua mbalimbali za ukuaji • Kudhibiti na kutibu magonjwa ya kuku • Kutunza kumbukumbu BANDA LA KUKU Kuku huhitaji banda bora ili…

Mbinu za Utunzaji wa Vifaranga vya Kuku (new)

Kuna vitu vya msingi katika uleaji wa vifaranga vya kuku. Uleaji huu hutofautiana kati ya vifaranga wa kuku wa mayai, kienyeji na kuku wa nyama katika chakula na chanjo kwa ujumla MATAYARISHO ·         Banda liwe imara kuepuka wizi na wanyama wasumbufu kama ngoja, paka, mbwa, mwewe, na kecheche. ·         Banda liwe linaweza kuingiza hewa ya kutosha na kavu isiyo na unyevunyevu. ·         kabla ya kuingiza safisha banda nje na ndani kwa kutumia dawa ya kuua vijidudu vya magonjwa. Paka chokaa kuta za ndani na hakikisha banda haliwi na joto Kali, baridi kuingiza, mbua…

Uleaji wa vifaranga vya kuku (new)

SOMO:KULEA VIFARANGA Unayapata hapa kupitia Website yako pendwa Hapa SEHEMU YA 1: BANDA BORA LA VIFARANGA Habari ya uzima ndugu mfugaji! Huu ni mwanzo wa somo la kulea vifaranga , tutajifunza ujenzi wa banda la vifaranga, vitu vya muhimu katika banda la vifaranga, kujiandaa kupokea vifaranga, chanjo na dawa, sababu za vifo kwa vifaranga , lishe bora kwa vifaranga, na jinsi ya kudhibiti vifo nk. Mwanzo huu ,sehemu ya kwanza tutajifunza ujenzi wa banda la vifaranga/ vitu vya muhimu katika banda la vifaranga Nyumba Ya Kulelea Vifaranga Ukipenda kujenga nyumba ya vifaranga itafaa…

Jinsi ya kulea vifaranga/kuku wa kienyeji (new) I Mshindo Media

MAFUNZO MBALI MBALI RAHISI NA HALISI KWA MFUGAJI  ULISHAJI 👉Lisha kuku muda mmoja kila siku, usibadilishe badilishe ratiba 👉Usibadilishe badilishe chakula 👉Usiwapunje wala kuzidisha chakula 👉Wawekee vyombo vya kutosha 👉Maji yawepo muda wote 👉Vyombo vya maji visafishwe kila siku   UOKOTAJI WA MAYAI  👉Panga ratiba maalumu ya kuokota mayai, mfn SAA 7:30/Am, saa 10:30 Am, saa 1:30 Pm, saa 4:30 Pm, funga report. 👉Safisha viota vya kuku, kuondoa vinyesi kila asubuhi na ongeza matandazo mayai yasipasuke 👉Okota mayai na yaweke kwenye Trey upande uliochongoka utazame chini, na upande butu uwe juu 👉Weka mayai sehemu salama isiyo na joto jingi 👉Mayai ya kutotolesha…

UJENZI WA MABANDA YA KUKU I Mshindo Media

MANUFAA YA KUWAJENGEA KUKU BANDA LA KISASA 1. Hulinda kuku dhidi ya Hali mbaya ya Hewa 2. Huepusha kuku kudonoana 3. Huwa epusha kuku dhidi ya wezi na wanyama wakali 4. Huepusha kuku kuwa na huzuni ENEO Unapochagua eneo la kujenga banda la kuku, hakikisha kuwa banda hilo halitizami upepo unapotokea, ni lazima liwe karibu na nyumbani, na lisiwe sehemu ambayo maji yanatuama VIFAA Mfugaji ni lazima alenge kutumia vifaa imara na vya kudumu ili maradi kuhakikisha banda lina kaa mda mrefu SAKAFU Sakafu ya nyumba ya kuku inaweza kutengenezwa…

UJENZI WA MABANDA YA KUKU (new) I Mshindo Media

UJENZI WA MABANDA YA KUKU MANUFAA YA KUWAJENGEA KUKU BANDA LA KISASA 1. Hulinda kuku dhidi ya Hali mbaya ya Hewa 2. Huepusha kuku kudonoana 3. Huwa epusha kuku dhidi ya wezi na wanyama wakali 4. Huepusha kuku kuwa na huzuni ENEO Unapochagua eneo la kujenga banda la kuku, hakikisha kuwa banda hilo halitizami upepo unapotokea, ni lazima liwe karibu na nyumbani, na lisiwe sehemu ambayo maji yanatuama VIFAA Mfugaji ni lazima alenge kutumia vifaa imara na vya kudumu ili maradi kuhakikisha banda lina kaa mda mrefu SAKAFU Sakafu ya…

BANDA LA KUKU WA KIENYEJI (new) I Mshindo Media

UFUGAJI WA KUKU: BANDA LA KUKU WAKIENYEJI Sifa za banda bora la Kuku. Banda bora la kuku linatakiwa kuwa kama ifuatavyo: Liwe jengo imara • Pasiwe na sehemu zilizo wazi kwenye msingi na kati ya ukuta na paa. • Banda lijengwe na vifaa vinavyopatikana katika mazingira yako ili liwe na gharama utakayoweza kumudu. • Unaweza kutumia matofali ya udongo, udongo, miti, fito,n.k. Ukitumia fito au mabanzi ondoa maganda ili kuthibiti mchwa. • Jengo mara litazuia maadui kama panya, vicheche, paka, nyoka na wezi kuingia ndani ya banda na kuwadhuru au kuwaiba kuku. Liwe rahisi…

SIFA ZA BANDA BORA LA KUKU (new) I Mshindo media

SIFA ZA BANDA BORA LA KUKU Ukiamua kufuga katika banda kwa njia mbili zilizoelezwa awali utatakiwa kujenga banda lenye sifa zitakazokidhi mahitaji ya msingi ya kuku. Banda bora la kuku linatakiwa kuwa kama ifuatavyo: Liwe jengo imara ❖ Pasiwe na sehemu zilizo wazi kwenye msingi na kati ya ukuta na paa. ❖ Banda lijengwe na vifaa vinavyopatikana katika mazingira yako ili liwe na gharama utakayoweza kumudu. ❖ Unaweza kutumia matofali ya udongo, udongo, miti, fito,n.k. Ukitumia fito au mabanzi ondoa maganda ili kuthibiti mchwa. ❖ Jengo mara litazuia maadui kama…

Banda Bora la Kuku (new) – Mshindo Media.

UJENZI WA BANDA BORA YA KUKU : MANUFAA YA KUWAJENGEA KUKU BANDA LA KISASA 1. Hulinda kuku dhidi ya Hali mbaya ya Hewa2. Huepusha kuku kudonoana3. Huwa epusha kuku dhidi ya wezi na wanyama wakali4. Huepusha kuku kuwa na huzuni ENEOUnapochagua eneo la kujenga banda la kuku, hakikisha kuwa banda hilo halitizami upepo unapotokea, ni lazima liwe karibu na nyumbani, na lisiwe sehemu ambayo maji yanatuama VIFAAMfugaji ni lazima alenge kutumia vifaa imara na vya kudumu ili maradi kuhakikisha banda lina kaa mda mrefu SAKAFUSakafu ya nyumba ya kuku inaweza kutengenezwa…

Mchanganyiko wa Chakula cha kuku (new) | Mshindo Media.

LISHE YA KUKU:Ili kuku waweze kuishi, kukua vizuri, kunenepa na kutaga mayai mengi ni lazima wale chakula kingi na chenye ubora unaotakiwa. Uwingi na ubora wa lishe ya kuku unaweza kuainishwa katika makundi ya vyakula kama ifuatavyo:1.      Vyakula vya kutia nguvu2.      Vyakula vya kujenga mwili3.      Vyakula vya kuimarisha mifupa4.      Vyakula vya kulinda mwili5.      Maji.MAKUNDI YA VYAKULA:Vyakula vya kutia nguvu: Vyakula vya mifugo vifuatavyo vinawekwa katika kundi hili;a.       Pumba za mahindi, pumba laini za mpunga, na, pumba laini za…

Njia tofauti za kufuga kuku. Faida Na Hasara Zake (new) I Mshindo Media

Mambo yanayomfanya mfugaji kuamua atumie njia fulani ya kufuga ni pamoja na uwezo wa  kugharamia shughuli ya ufugaji wa kuku na ukubwa wa eneo alilonalo la kufugia. Katika sehemu hii utajifunza njia tatu za kufuga kuku ambazo ni:  1. Kufuga huria Kuku huachwa wenyewe kujitafutia chakula na maji. Njia hii inatumika zaidi kufuga kuku wa kienyeji. Mara chache sana mfugaji huwapatia kuku chakula cha ziada. Kwa ufugaji huu lazima kuwe na eneo kubwa la kutosha kuku kuzunguka na kutafuta chakula. Kuku hulala eneo lisilo rasmi kama vile jikoni, kwenye kiambata n.k.…

JINSI YA KULEA VIFARANGA (new) I Mshindo Media

SOMO:KULEA VIFARANGAUnayapata hapa kupitia Website yako pendwa Hapa SEHEMU YA 1: BANDA BORA LA VIFARANGA Habari ya uzima ndugu mfugaji! Huu ni mwanzo wa somo la kulea vifaranga , tutajifunza ujenzi wa banda la vifaranga, vitu vya muhimu katika banda la vifaranga, kujiandaa kupokea vifaranga, chanjo na dawa, sababu za vifo kwa vifaranga , lishe bora kwa vifaranga, na jinsi ya kudhibiti vifo nk. Mwanzo huu ,sehemu ya kwanza tutajifunza ujenzi wa banda la vifaranga/ vitu vya muhimu katika banda la vifaranga. Nyumba Ya Kulelea Vifaranga Ukipenda kujenga nyumba ya vifaranga itafaa ujue …

Ufugaji Bora wa Kuku wa Kienyeji/asili (new)

KUKU WA ASILI Ufugaji wa kuku wa asili ni nyenzo muhimu katika kupambana na wimbi la umasikini kwa kuongeza kipato cha kaya.  Hata hivyo, pamoja na soko la uhakika, bado ufugaji kuku haujaweza kutumika ipasavyo kupambana na umaskini unaowakabili Watanzania wengi.  Ni mazoea kwa jamii nyingi hapa Tanzania kufuga kuku wa asili kama sehemu ya mila na desturi zao. Kuku wa asili amekuwa akifugwa bila ya kupatiwa huduma muhimu kama makaazi bora, chakula cha ziada, tiba, kinga za magonjwa mbali mbali.  Muhtasari huu unatoa muongozo wa ufugaji wa kuku wa…

Fahamu zaidi ufugaji wa mbuzi (new) I Mshindo Media

Mbuzi na kondoo ni wanyama ambao wanaweza kufugwa kwa gharama nafuu pia ni wavumilivu wa ukame na maradhi tofauti na ngo’mbe kwa kua wana umbile dogo wanaweza kufugwa katika eneo dogo na nguvu kazi ndogo na hata kwa wenye kipato kidogo. Katika makala hii Mkulima Mbunifu inangazia kuhusu ufugaji wa Mbuzi. Makala kama hii inaweza kua umeshasoma, ila kwaajili maombi ya wasomaji wa jarida hili tutatilia mkazo uzalishaji, ukuzaji na lishe. Uzalishaji Mbuzi wenye afya huingia joto mara kwa mara, na huweza kuwa na watoto wapatao watatu kila baada ya miaka miwili.…

MUHTASARI WA UFUGAJI KUKU I Mshindo Media (new)

1: Maandalizi ya banda la kuku, Fagia, deki kwa maji, pulizia dawa/disinfection (Th4, V rid,Farm guard nk).  Acha banda likae zaidi ya siku 7 baada ya kutoa kuku wakubwa kabla ya kuingiza kuku wengine.  Andaa vifaa vyote muhimu kwa ajili ya kupokea kuku wapya vikae bandani angalau siku 3 kabla ya kupokea vifaranga. Andaa sehemu ya kulelea vifaranga, weka vyanzo vya joto tayari kabla vifaranga hawajafika(Usikurupuke kuweka wakati vifaranga wameshafika).  2: Maandalizi ya chakula na maji  Hakikisha maji, chakula kwaajili ya kuku wako yapo bandani au sehemu ya karibu muda…

UFUGAJI BORA WA SAMAKI I Mshindo Media (new)

MBINU MUHIMU WAKATI WA UANZISHAJI UFUGAJI WA SAMAKI SIFA ZA ENEO LA KUFUGIA SAMAKI UTENGENEZAJI WA BWAWA LA SAMAKI Zipo namna mbalimbali za utengenezaji wa bwawa la samaki, kulingana na aina ya bwawa lenyewe, Hali ya uchumi, wingi wa samaki watakaofugwa pamoja na aina ya samaki watakaofugwa.Zifuatazo ni Aina za mabwawa ya kufugia samaki. 1.Bwawa la kuchimba udongo bila kujengea “Earthen Pond”. UANDAAJI NA UPANDIKIZAJI WA VIFARANGA AU MBEGU ZA SAMAKI KATIKA BWAWA LAKO Kabla ya kuvisafirisha vifaranga kutoka kwenye bwawa wanaloishi ni vema vikatolewa na kuwekwa kwenye vibwawa vidogo…