Mwongozo Wa Ufugaji Bora wa Samaki Kwenye Bwawa (new)

URUTUBISHAJI WA BWAWA LA SAMAKI KWA MBOLEA NA (MAJIVU) PAMOJA NA USAFIRISHAJI WA VIFARANGA WA SAMAKI. Kutegemea aina ya udongo, majivu ya moto huweza kutawanywa bwawani kabla ya kuingiza maji ili kupunguza Tindikali ya udongo na kuua baadhi ya wadudu walio maadui wa samaki waliopo katika eneo la bwawa.Mbolea huweza kutawanywa bwawani kabla ya kuweka maji ili kusaidia kujenga mazingira ya maji kutuama (yaani Kushikamanisha udongo).Vinginevyo, mbolea huwekwa eneo maalum (Uzio) mara baada ya maji kuingizwa bwawani ili kulirutubisha na Kuliwezesha liwe na vijimea na vijidudu vidogo vidogo vitakavyokuwa chakula…

JINSI YA KUTENGENEZA CHAKULA CHA SAMAKI (new)

 Mfugaji anaweza kupunguza gaharama za kununua chakula kwa ajili ya samaki, kwa kutengeneza chakula mwenyewe kwa kutumia malighafi ulizo nazo katika eneo lako. Tumia resheni rahisi ambayo itakupatia chakula cha kutosha na kwa gharama nafuu. Mahitaji 1.     Pumba ya mahindi sadolini 1. 2.    Pumba ya ngano au mpunga sadolini 1. 3.    Dagaa sadolini 1. 4.    Kilo moja ya soya. 5.     Robo kilo ya mashudu ya pamba au alizeti. Namna ya kuandaa 1.     Changanya malighafi hizo kwa pamoja. 2.     Saga hadi zilainike. 3.     Kanda kama vile unga wa kutengenezea chapati. 4.    …

UFUGAJI BORA WA SAMAKI I Mshindo Media (new)

MBINU MUHIMU WAKATI WA UANZISHAJI UFUGAJI WA SAMAKI SIFA ZA ENEO LA KUFUGIA SAMAKI UTENGENEZAJI WA BWAWA LA SAMAKI Zipo namna mbalimbali za utengenezaji wa bwawa la samaki, kulingana na aina ya bwawa lenyewe, Hali ya uchumi, wingi wa samaki watakaofugwa pamoja na aina ya samaki watakaofugwa.Zifuatazo ni Aina za mabwawa ya kufugia samaki. 1.Bwawa la kuchimba udongo bila kujengea “Earthen Pond”. UANDAAJI NA UPANDIKIZAJI WA VIFARANGA AU MBEGU ZA SAMAKI KATIKA BWAWA LAKO Kabla ya kuvisafirisha vifaranga kutoka kwenye bwawa wanaloishi ni vema vikatolewa na kuwekwa kwenye vibwawa vidogo…