Utambuzi wa Magonjwa ya Ng’ombe (new) I Mshindo Media.

 MAGONJWA YA NG’OMBE. Sifa za mnyama mwenye afyai. Mchangamfu wakati wote macho maang’avu huku mkia na masikio vikimsaidiakufukuza inziii. Kula na kucheua, kunywa maji vizuri kila sikuiii. Kuonyesha ushirikiano na kutembea pamoja kwenye kundiiv. Kutembea vizuriv. Anastuka na kukimbia anapostuliwa na mnyama hatari anapomkaribia kama vilembwa mwitu, fisi, chui, simba.vi. Mwili wake una uwezo mkubwa wa kukibadili chakula anachokula kutoa mazao yakutosha kama vile maziwa.vii. Anaonekana mwenye nguvu na kwa wale wanaoendelea kukuna wanaongezekauzito kwa muda mfupiviii. Kwa mnyama anayekamuliwa mara kwa mara kupiga kelele za kumtafuta mtotowake,kiwele huwa kimejaa…

Dume Bora kwa Uzalishaji Ng’ombe wa Maziwa (new) I Mshindo Media.

Dume Bora kwa Ufugaji Ng’ombe wa Maziwa. Tunaangalia uchaguzi wa dume mzuri kwa uzalishaji wa ng’ombe wa maziwa, pamoja na aina ya malisho ambayo mfugaji anaweza kuyatumia kuweza kukabiliana na changamoto ya malisho kwa ng’ombe. Wafugaji wengi wamekuwa wakipata ng’ombe wanaozalisha kidogo na kwa kiwango cha chini kutokana na kuangalia ukubwa wa gharama ya mbegu wakidhania kuwa ndiyo upatikanaji wa ng’ombe bora. Vinasaba husaidia kwa kiwango kikubwa katika kupata ng’ombe mzuri wa maziwa. Kuwepo kwa ongezeko la uzalishaji wa maziwa hutegemeana na vitu viwili ambavyo ni kuboresha mifugo kwa kufanya…

Chakula Bora cha Ng’ombe wa Maziwa (new)- Mshindo Media.

Wape ng’ombe wako lishe kamili, yenye nguvu, protini, na vitamin pamoja na maji ya kutosha. Kulisha ng’ombe kwa kutumia aina yoyote ya malisho haitoshi kukuhakikishia ng’ombe anakuwa na afya nzuri na kutoa maziwa ya kutosha. Kama ilivyo kwa binadamu, ng’ombe anahitaji mlo kamili. Malisho ni lazima yawe na uwiano sahihi wa viungo. Mifugo inahitaji chakula kitakachowapa nguvu, protini, madini, na vitamin ili kujenga miili yao, kuzalisha maziwa, na kuzaliana. Wanyama wadogo wanahitaji virutubisho vya kutosha, ili wakuwe na kuongeza uzito. Ng’ombe wa maziwa wanahitaji virutubisho zaidi ili kuweza kuzalisha maziwa…

FAHAMU AINA YA NG’OMBE BORA WA MAZIWA (new)

Fahamu ni aina gani ya ng’ombe wa maziwa ni bora zaidi kufuga kwa lengo la kuzalisha.  Uzalishaji wa maziwa ni biashara nzuri sana na ya kuvutia ambayo huwa na faida nyingi na humfanya mfugaji kuridhika hasa kwa yule anayependa kazi hii. Hata hivyo, ni lazima kuanza kwa kuweka msingi imara hata kabla ya kufikiria ni aina gani ya mbegu utaichukua kwa ajili ya kufuga. Ni vizuri kufahamu kuwa, usimamizi ni moja ya jambo muhimu sana ambalo likifanyiwa uzembe linaweza hata kumbadilisha ng’ombe wa maziwa kuwa na uzalishaji duni kama ngo’mbe…