UTANGULIZI Kabla hujaamua kufuga sungura hakikisha ya kwamba umejitoa na una muda wa kuwahudumia wanyama waha, ufugaji wao si rahisi kama vile ukifuga paka au mbwa, sungura wanahitaji uangalizi na hasa kwenye usafi kwa sababu ni rahisi kwao kupata maradhi yatokanayo na mazingira mabaya na machafu. MABANDA Kuna aina mbili za mabanda ya kufugia kwanza ni yale ya kuwafungia ndani muda wote bila kutoka nje na ya pili ni ile ya pili ni nusu nusu yaani wanakuwa na mabanda na wanaweza kutoka nje kwenye ua maalum, katika aina zote mbili ni muhimu…
Category: MBINU ZA UFUGAJI
Chakula na Malisho Bora kwa Ng’ombe wa Maziwa I Mshindo media
Kuna njia nyingi ambazo wakulima wanaweza kupata pesa kutokana na ufugaji wa ng’ombe wa maziwa. Unaweza kutengeneza pesa kutokana na kuuza samadi, ndama wako, na muhimu kabisa uzalizaji wa maziwa mengi.Kuwekeza kwenye ng’ombe wa maziwa kwanza unahitaji kuorodhesha gharama zote utakazokumbana nazo. Hizi ni pamoja na : Bei ya ng’ombe mwenye kutarajia ndama itategemea na kumbukumbu ya kuzalisha na maziwa. Mara tu ng’ombe anapopata ndama na kuanza kukama maziwa, unaanza kutengeneza pesa. Kwa mfano, kama ng’ombe wako anatoa wastani wa lita 20 kwa siku, unaweza kuuza lita moja kwa KSH…
ZINGATIA HAYA KABLA YA KUANZA MRADI WA UFUGAJI WA KUKU (new) I Mshindo Media
1.Zingatia kanuni na USHAURI bora juu ya ufugaji wako 2.Chagua mbegu bora ya kuku inayoendana na soko lako 3.Fikiria njia za kutatua CHANGAMOTO ulizozibaini katika UFUGAJI 4.Fanya uchunguzi wa soko la kuku wako kabla ya kuagiza 5.Piga hesabu ya UWEKEZAJI wako wa mradi kuanzia mwanzo hadi mwisho 6.Hakikisha umepata maelekezo sahii juu ya ufugaji kabla ya kuanza kufuga Chakula Cha Kuku Kuna vitu vitano muhimu vinavyotaijika kwa kuku ili awe na afya bora. Navyo ni kama vifuatavyo, 1. PROTININi aina ya vyakula ambavyo kazi yake kubwa ni kukuza mwili navyo ni kama…
Ufugaji bora wa mbuzi (new) I Mshindo Media
UFUGAJI BORA WA MBUZI Mbuzi ni wanyama ambao wanaweza kufugwa kwa gharama nafuu pia ni wavumilivu wa ukame na maradhi tofauti na ngo’mbe kwa kua wana umbile dogo wanaweza kufugwa katika eneo dogo na nguvu kazi ndogo na hata kwa wenye kipato kidogo.Mbuzi  wanaweza kufugwa kwa ajili ya nyama/maziwa/ngozi/sufi na mazaomengine kama mbolea kwa matumizi ya familia na kuongeza kipato. NAMNA BORA YA UFUGAJI:-Wafugwe kwenye banda boraChagua kulingana na sifa zao na lengo la ufugaji(uzalishaji)nyama/maziwa/sufi.Walishwe chakula sahihi kulingana na umriKuzingtia ushauri wa mtaalamu wa mifugo hasahasa namna ya udhibiti wa…
MBINU KUMI ZA KUFUGA KUKU KWA MATOKEO BORA ZAIDI (new) I Mshindo Media
Habari za wakati huu ndugu msomaji wa makala zetu na mfugaji wa kuku.Ni imani yetu kuwa uko sawa kabisa na mradi wako unaenda kama ulivyotegemea.Kama mambo hayaendi sawa basi endelea kuwasiliana nasi tusaidiane kukabiliana na changamoto unazopitia na kushauriana zaidi.Leo tungependa kutoa elimu mujarabu juu mbinu sahihi za kufuga kuku ili mfugaji aweze kupata matokeo mazuri katika ufugaji wake. 1. Mtaji; Kabla hujaamua aina ya kuku wa kufuga ni vema ukabaini hali yako kifedha. Maana kuku hutofautiana katika ufugaji kwa gharama zao. Hivyo ni lazima ukajua kiasi ulichonacho kulingana na kuku…
JINSI YA KUCHAGUA MATETEA YANAYOWEZA KUATAMIA MAYAI
Yaweza kutokea baadhi ya kuku wakawa watagaji wazuri wa mayai lakini hawapendi kuatamia. Katika hali hiyo ni vyema wakachaguliwa kuku (mitetea) wengine ili kuatamia mayai yao kwa uanguaji mzuri. UTARATIBU UFUATAO UTATUMIKA Tafuta mtetea aliyefikia umri wa kutaga au kuku aliyekwishawahi kutotoa. Tafuta mawe matatu ya mviringo au viazi mbatata vya ukubwa wa yai au vibao vilivyochongwa kwa umbile la yai au mayai yasiyo na mbegu (mayai viza, au ya kuku wa kisasa). Muwekee kuku huyo mayai bandia yasiyopungua matatu kwenye kiota wakati wa usiku na umfungie humo usiku kucha…