Kiota ni sehemu ambayo kuku utaga mayai , kuatamia na kutotoa VIFARANGA Aina za viota (type of nest) 1.Kiota kilichotengenezwa na kuku mwenyewe Ambapo kuku mwenyewe uchagua mahali pa kutagia na kuhifadhi mayai2.Kiota kilichoandaliwa na MFUGAJI Aina ya viota hivi uandaliwa na MFUGAJI katika njia stahiki ili kuweza kupata mazao imara MAHITAJI YA MUHIMU KATIKA KIOTA Boksi la karatasi Mbao Nyasi Nguo ya Aina pamba Ukubwa wa KIOTA inatakiwa uwe unamwezesha kukaa na kujigeuza Hii maana yake ni inatakiwa uwe na sentimita 35 upana sentimita 35 na urefu sentimita 35…
Category: Mayai
JINSI YA KUCHAGUA MATETEA YANAYOWEZA KUATAMIA MAYAI (new) I Mshindo Media
Yaweza kutokea baadhi ya kuku wakawa watagaji wazuri wa mayai lakini hawapendi kuatamia. Katika hali hiyo ni vyema wakachaguliwa kuku (mitetea) wengine ili kuatamia mayai yao kwa uanguaji mzuri. UTARATIBU UFUATAO UTATUMIKA Tafuta mtetea aliyefikia umri wa kutaga au kuku aliyekwishawahi kutotoa. Tafuta mawe matatu ya mviringo au viazi mbatata vya ukubwa wa yai au vibao vilivyochongwa kwa umbile la yai au mayai yasiyo na mbegu (mayai viza, au ya kuku wa kisasa). Muwekee kuku huyo mayai bandia yasiyopungua matatu kwenye kiota wakati wa usiku na umfungie humo usiku kucha…
UTOTOLESHAJI WA MAYAI (new) I Mshindo Media
Kuna malalamiko makubwa sana kutoka kwa wafugaji kwenda kwa wauzaji wa mayai ya kutotolesha hasa kuhusu mayai kuto kutotoleshwa kwa kiwango kinacho tarajiwa. Zijue sababu kuu za mayai kushindwa kutotolesheka 👉👈 Yai kuto kurutubishwa, iwapo tetea atataga yai bila kupandwa na jogoo ni kwa 100% yai halita totolesheka Suluhu Weka jogoo kwa uwiano huu unaoshauriwa Tetea 8-10 kwa jogoo mmoja na uhakikishe jogoo anapanda tetea. 👉 👈 Hair line cracks (nyufa zisizo onekana kwa macho kwenye yai 👆Kwa kawaida kuku hutaga mayai yenye ganda gumu, hivo iwapo mayai yatagongana sana wakati…
Ufugaji Bora wa kuku (new) I Mshindo Media.
MAMBO MUHIMU KUZINGATIA KATIKA UFUGAJI WA KUKU.Unapotaka kujikita katika suala la ufugaji wa kuku ipo haja kubwa ya kuweza kufikiria ni kwanama gani utaweza kuwa mfugaji bora wa kuku, Hii ni kwa wote, wafugaji na wanaotaka kuanza kufuga. Unapotaka kuanza ufugaji unatakiwa uanze na ufugaji mdogo hata kama una mtaji mkubwa. Kwa kufanya hivi itakusaidia kupata uzoefu katika nyanja zifuatazo: 1. Utunzaji.Kwa kuanza na kiasi kidogo itakusaidia kujua ni ukubwa gani unafaa kwa kuku wangapi, ukiwa na kuku wangapi utalisha chakula kiasi gani, pia utapata uzoefu wa chanjo muhimu zinazohitajika…
Sababu za mayai kushindwa kutotolesheka/poor hatcherbility (new) I Mshindo Media
Kuna malalamiko makubwa sana kutoka kwa wafugaji kwenda kwa wauzaji wa mayai ya kutotolesha hasa kuhusu mayai kuto kutotoleshwa kwa kiwango kinacho tarajiwa. Yai kuto kurutubishwa, iwapo tetea atataga yai bila kupandwa na jogoo ni kwa 100% yai halita totolesheka Weka jogoo kwa uwiano huu unaoshauriwa Tetea 8-10 kwa jogoo mmoja na uhakikishe jogoo anapanda tetea. Hair line cracks (nyufa zisizo onekana kwa macho kwenye yai Kwa kawaida kuku hutaga mayai yenye ganda gumu, hivo iwapo mayai yatagongana sana wakati kuku wakitaga linaweza lisipasuke ila linaweka nyufa za ndani ambazo utaziona…
MBINU ZA KUATAMIA MAYAI MENGI KWA NJIA ZA ASILI (new)
Kwa kawaida kuku huanza kutetea(Kutoa mlio wa ishara ya kutaga) anapofikisha miezi sita hadi minane. Hivyo ni vyema viota viandaliwe mapema wakiwa na umri wa miezi mitano. Kuku anapoanza kutaga akifikisha mayai matatu mfugaji anashauriwa kuondoa kila yai linalozidi hayo matatu kila siku linapotagwa na kuliweka alama ya tarehe au namba kwa kutumia penseli ili kumfanya kuku aendelee kutaga kwa lengo la kufikisha mayai 15 mpaka 20. Mayai yanayoondolewa yawekwe kwenye chombo kikavu kinachopitisha hewa ni vizuri pia kuweka mchanga ndani ya chombo hicho. Hakikisha ya fuatayo.Sehemu iliyochongoka iwe chini…
Sababu 10 Za Kuku Kupunguza Utagaji Mayai (new) | Mshindo media.
Kupungua kwa mayai yanayo zalishwa kwa siku katika shamba lako la kuku watagao mayai ni dalili moja wapo inayo onesha kwamba kunatatizo katika kundi lako la kuku. Kulingana na utafiti ulio fanywa na shirika la FAO una onesha kwamba kwa kawaida kuku aliye fikia umri wa miezi mitano au sita nakuendelea inatakiwa atage yai moja kila baada ya saa 24 hadi 26, kwa maana hiyo kila siku kuku wako inatakiwa atage yai moja. Kama vile tunavyo kuwa makini kufuatilia kinyesi cha kuku kugundua kama kuku anaumwa au anatatizo vivyo hivyo…
MAMBO MUHIMU SANA KWENYE INCUBATORS (new) | Mshindo media
Incubators ni Mashine zinazo tumika kutotoreshea viumbe mbali mabali hasa Ndege. AINA ZA INCUBATORS Forced Air IncubatorStill Air Incubators FORCED AIR INCUBATOR Forced Air Incubators ni mashine yenye Feni kwa ajili ya kutawanya joto ndani ya incubators STILL AIR INCUBATORS Hii ni mashine siyo kuwa na fane IPI NZURI? Inashauriwa kutumia/kununua Forced Air Incubators ndo bora kabisa na haitakusmbua na hatahivyo kwa incubator kubwa karibia zote ni Fored air, na mara nyingi ndogo ndo still air AINZA INCUBATOR KWENYE OPERATION Manual Automatic MANUAL INCUBATORS Hizi hutumia mikono katika kugeuuza mayai…