MANUFAA YA KUWAJENGEA KUKU BANDA LA KISASA 1. Hulinda kuku dhidi ya Hali mbaya ya Hewa 2. Huepusha kuku kudonoana 3. Huwa epusha kuku dhidi ya wezi na wanyama wakali 4. Huepusha kuku kuwa na huzuni ENEO Unapochagua eneo la kujenga banda la kuku, hakikisha kuwa banda hilo halitizami upepo unapotokea, ni lazima liwe karibu na nyumbani, na lisiwe sehemu ambayo maji yanatuama VIFAA Mfugaji ni lazima alenge kutumia vifaa imara na vya kudumu ili maradi kuhakikisha banda lina kaa mda mrefu SAKAFU Sakafu ya nyumba ya kuku inaweza kutengenezwa…
Category: Banda
UJENZI WA MABANDA YA KUKU (new) I Mshindo Media
UJENZI WA MABANDA YA KUKU MANUFAA YA KUWAJENGEA KUKU BANDA LA KISASA 1. Hulinda kuku dhidi ya Hali mbaya ya Hewa 2. Huepusha kuku kudonoana 3. Huwa epusha kuku dhidi ya wezi na wanyama wakali 4. Huepusha kuku kuwa na huzuni ENEO Unapochagua eneo la kujenga banda la kuku, hakikisha kuwa banda hilo halitizami upepo unapotokea, ni lazima liwe karibu na nyumbani, na lisiwe sehemu ambayo maji yanatuama VIFAA Mfugaji ni lazima alenge kutumia vifaa imara na vya kudumu ili maradi kuhakikisha banda lina kaa mda mrefu SAKAFU Sakafu ya…
KUPUNGUZA MLIPUKO WA MAGONJWA KWA KUKU (new) I Mshindo Media
Bila kupoteza muda banda lakuku linalofaa linatakiwa liwe na yafuatayo:- Banda liruhusu hewa ya kutosha kuingia na kutoka pia mwanga wa kutosha.Kama umeezekea bati hakikisha pawe na miti karibu na banda ili irahisishe mzunguko wa hewa maana bati huchemka sana wakati wa mchana.*Lisiruhusu jua kupenya ndani ya banda wakati wa mchana.waweza weka kuta ndefu za banda ziwe mashariki magharibi.*weka majivu ndani ya banda au tumia dawa za kuua wadudu kama utitiri,siafu,utitiri waweza tumia Akheri powder,ultra vin,seven nk*banda walau liwe na kuta fupi zenye kina cha mita 1.8 KUPUNGUZA MLIPUKO WA…
BANDA LA KUKU WA KIENYEJI (new) I Mshindo Media
UFUGAJI WA KUKU: BANDA LA KUKU WAKIENYEJI Sifa za banda bora la Kuku. Banda bora la kuku linatakiwa kuwa kama ifuatavyo: Liwe jengo imara • Pasiwe na sehemu zilizo wazi kwenye msingi na kati ya ukuta na paa. • Banda lijengwe na vifaa vinavyopatikana katika mazingira yako ili liwe na gharama utakayoweza kumudu. • Unaweza kutumia matofali ya udongo, udongo, miti, fito,n.k. Ukitumia fito au mabanzi ondoa maganda ili kuthibiti mchwa. • Jengo mara litazuia maadui kama panya, vicheche, paka, nyoka na wezi kuingia ndani ya banda na kuwadhuru au kuwaiba kuku. Liwe rahisi…
SIFA ZA BANDA BORA LA KUKU (new) I Mshindo media
SIFA ZA BANDA BORA LA KUKU Ukiamua kufuga katika banda kwa njia mbili zilizoelezwa awali utatakiwa kujenga banda lenye sifa zitakazokidhi mahitaji ya msingi ya kuku. Banda bora la kuku linatakiwa kuwa kama ifuatavyo: Liwe jengo imara ❖ Pasiwe na sehemu zilizo wazi kwenye msingi na kati ya ukuta na paa. ❖ Banda lijengwe na vifaa vinavyopatikana katika mazingira yako ili liwe na gharama utakayoweza kumudu. ❖ Unaweza kutumia matofali ya udongo, udongo, miti, fito,n.k. Ukitumia fito au mabanzi ondoa maganda ili kuthibiti mchwa. ❖ Jengo mara litazuia maadui kama…
MABANDA BORA YA KUKU (new) I Mshindo media
MABANDA BORA YA KUKU Ujenzi wa mabanda bora ya kuku ni miongoni mwa mambo ya msingi kabisa katika ufugaji bora wa kuku wawe ni wa asili au wale walioboreshwa. Hata hivyo si kila mtindo wa ujenzi unafaa, kwahiyo ujenzi huo ni lazima uzingatie mahitaji halisi ili ufugaji huo uweze kutoa matokeo bora yanayotarajiwa na mfugaji. Mambo muhimu katika ujenzi wa banda la kuku ni; 1. Liingize hewa safi wakati wote. 2. Liwe kavu daima. 3. Liwe nafasi ya kutosha. 4. Liwe la gharama nafuu lakini la kudumu. 5. Lizuie kuingia wanyama na wadudu hatari kwa…
Banda Bora la Kuku (new) – Mshindo Media.
UJENZI WA BANDA BORA YA KUKU : MANUFAA YA KUWAJENGEA KUKU BANDA LA KISASA 1. Hulinda kuku dhidi ya Hali mbaya ya Hewa2. Huepusha kuku kudonoana3. Huwa epusha kuku dhidi ya wezi na wanyama wakali4. Huepusha kuku kuwa na huzuni ENEOUnapochagua eneo la kujenga banda la kuku, hakikisha kuwa banda hilo halitizami upepo unapotokea, ni lazima liwe karibu na nyumbani, na lisiwe sehemu ambayo maji yanatuama VIFAAMfugaji ni lazima alenge kutumia vifaa imara na vya kudumu ili maradi kuhakikisha banda lina kaa mda mrefu SAKAFUSakafu ya nyumba ya kuku inaweza kutengenezwa…
Banda Bora la Kuku (new) I Mshindo media
Banda bora la Kuku Manufaa ya kuwajengea kuku banda la kisasa1. Hulinda kuku dhidi ya Halimbaya ya Hewa2. Huepusha kuku kudonoana3. Huwa epusha kuku dhidi ya wezi na wanyama wakali4. Heepusha kuku kuwa ha uzuni ENEOUnapochagua eneo la kujenga banda la kuku, hakikisha kuwa banda hilo halitizami upepo unapotokea, ni lazima liwe karibu na nyumbani, na lisiwe sehemu ambayo maji yanatuama VIFAAMfugaji ni lazima alenge kutumia vifaa imara na vya kudumu ili maradi kuhakikisha banda lina kaa mda mrefu SAKAFUSakafu ya nyumba ya kuku inaweza kutengenezwa kwa sementi endapo mfugaji…
Usafi wa mabanda ya kuku na magonjwa ya virus (new)
DAWA MABANDA KABLA YA KUINGIZA KUKU· Ondoa mbolea na vitu vyote vilivyotumika(mifuko ya chakula,makopo n.k) na kuitupa mbali kabisa na mabanda· Anza kusafisha dari harafu kuta na kumalizia na sakafu· Lowesha vyombo vya kunyweshea maji na kulishia chakula na vifaa vyote vinavyotumika ndani ya mabanda kwenye dawa aina ya virutec kwa muda wa nusu saa harafu suuza na maji ya kawaida kabla ya kupiga dawa ya kuulia wadudu warukao na watambaao ndani nan je ya banda Kumbuka; Kuweka virutec kwenye footbath mlangoni kabla ya kuleta vifaranga Magonjwa yamegawanyika katika makundi mawili…