SIFA ZA BANDA BORA LA KUKU Ukiamua kufuga katika banda kwa njia mbili zilizoelezwa awali utatakiwa kujenga banda lenye sifa zitakazokidhi mahitaji ya msingi ya kuku. Banda bora la kuku linatakiwa kuwa kama ifuatavyo: Liwe jengo imara ❖ Pasiwe na sehemu zilizo wazi kwenye msingi na kati ya ukuta na paa. ❖ Banda lijengwe na vifaa vinavyopatikana katika mazingira yako ili liwe na gharama utakayoweza kumudu. ❖ Unaweza kutumia matofali ya udongo, udongo, miti, fito,n.k. Ukitumia fito au mabanzi ondoa maganda ili kuthibiti mchwa. ❖ Jengo mara litazuia maadui kama…
Month: February 2024
MABANDA BORA YA KUKU (new) I Mshindo media
MABANDA BORA YA KUKU Ujenzi wa mabanda bora ya kuku ni miongoni mwa mambo ya msingi kabisa katika ufugaji bora wa kuku wawe ni wa asili au wale walioboreshwa. Hata hivyo si kila mtindo wa ujenzi unafaa, kwahiyo ujenzi huo ni lazima uzingatie mahitaji halisi ili ufugaji huo uweze kutoa matokeo bora yanayotarajiwa na mfugaji. Mambo muhimu katika ujenzi wa banda la kuku ni; 1. Liingize hewa safi wakati wote. 2. Liwe kavu daima. 3. Liwe nafasi ya kutosha. 4. Liwe la gharama nafuu lakini la kudumu. 5. Lizuie kuingia wanyama na wadudu hatari kwa…
Banda Bora la Kuku (new) – Mshindo Media.
UJENZI WA BANDA BORA YA KUKU : MANUFAA YA KUWAJENGEA KUKU BANDA LA KISASA 1. Hulinda kuku dhidi ya Hali mbaya ya Hewa2. Huepusha kuku kudonoana3. Huwa epusha kuku dhidi ya wezi na wanyama wakali4. Huepusha kuku kuwa na huzuni ENEOUnapochagua eneo la kujenga banda la kuku, hakikisha kuwa banda hilo halitizami upepo unapotokea, ni lazima liwe karibu na nyumbani, na lisiwe sehemu ambayo maji yanatuama VIFAAMfugaji ni lazima alenge kutumia vifaa imara na vya kudumu ili maradi kuhakikisha banda lina kaa mda mrefu SAKAFUSakafu ya nyumba ya kuku inaweza kutengenezwa…
Banda Bora la Kuku (new) I Mshindo media
Banda bora la Kuku Manufaa ya kuwajengea kuku banda la kisasa1. Hulinda kuku dhidi ya Halimbaya ya Hewa2. Huepusha kuku kudonoana3. Huwa epusha kuku dhidi ya wezi na wanyama wakali4. Heepusha kuku kuwa ha uzuni ENEOUnapochagua eneo la kujenga banda la kuku, hakikisha kuwa banda hilo halitizami upepo unapotokea, ni lazima liwe karibu na nyumbani, na lisiwe sehemu ambayo maji yanatuama VIFAAMfugaji ni lazima alenge kutumia vifaa imara na vya kudumu ili maradi kuhakikisha banda lina kaa mda mrefu SAKAFUSakafu ya nyumba ya kuku inaweza kutengenezwa kwa sementi endapo mfugaji…
Usafi wa mabanda ya kuku na magonjwa ya virus (new)
DAWA MABANDA KABLA YA KUINGIZA KUKU· Ondoa mbolea na vitu vyote vilivyotumika(mifuko ya chakula,makopo n.k) na kuitupa mbali kabisa na mabanda· Anza kusafisha dari harafu kuta na kumalizia na sakafu· Lowesha vyombo vya kunyweshea maji na kulishia chakula na vifaa vyote vinavyotumika ndani ya mabanda kwenye dawa aina ya virutec kwa muda wa nusu saa harafu suuza na maji ya kawaida kabla ya kupiga dawa ya kuulia wadudu warukao na watambaao ndani nan je ya banda Kumbuka; Kuweka virutec kwenye footbath mlangoni kabla ya kuleta vifaranga Magonjwa yamegawanyika katika makundi mawili…
UTOTOLESHAJI WA MAYAI (new) I Mshindo Media
Kuna malalamiko makubwa sana kutoka kwa wafugaji kwenda kwa wauzaji wa mayai ya kutotolesha hasa kuhusu mayai kuto kutotoleshwa kwa kiwango kinacho tarajiwa. Zijue sababu kuu za mayai kushindwa kutotolesheka Yai kuto kurutubishwa, iwapo tetea atataga yai bila kupandwa na jogoo ni kwa 100% yai halita totolesheka Suluhu Weka jogoo kwa uwiano huu unaoshauriwa Tetea 8-10 kwa jogoo mmoja na uhakikishe jogoo anapanda tetea. Hair line cracks (nyufa zisizo onekana kwa macho kwenye yai Kwa kawaida kuku hutaga mayai yenye ganda gumu, hivo iwapo mayai yatagongana sana wakati…
Ufugaji Bora wa kuku (new) I Mshindo Media.
MAMBO MUHIMU KUZINGATIA KATIKA UFUGAJI WA KUKU.Unapotaka kujikita katika suala la ufugaji wa kuku ipo haja kubwa ya kuweza kufikiria ni kwanama gani utaweza kuwa mfugaji bora wa kuku, Hii ni kwa wote, wafugaji na wanaotaka kuanza kufuga. Unapotaka kuanza ufugaji unatakiwa uanze na ufugaji mdogo hata kama una mtaji mkubwa. Kwa kufanya hivi itakusaidia kupata uzoefu katika nyanja zifuatazo: 1. Utunzaji.Kwa kuanza na kiasi kidogo itakusaidia kujua ni ukubwa gani unafaa kwa kuku wangapi, ukiwa na kuku wangapi utalisha chakula kiasi gani, pia utapata uzoefu wa chanjo muhimu zinazohitajika…
Sababu za mayai kushindwa kutotolesheka/poor hatcherbility (new) I Mshindo Media
Kuna malalamiko makubwa sana kutoka kwa wafugaji kwenda kwa wauzaji wa mayai ya kutotolesha hasa kuhusu mayai kuto kutotoleshwa kwa kiwango kinacho tarajiwa. Yai kuto kurutubishwa, iwapo tetea atataga yai bila kupandwa na jogoo ni kwa 100% yai halita totolesheka Weka jogoo kwa uwiano huu unaoshauriwa Tetea 8-10 kwa jogoo mmoja na uhakikishe jogoo anapanda tetea. Hair line cracks (nyufa zisizo onekana kwa macho kwenye yai Kwa kawaida kuku hutaga mayai yenye ganda gumu, hivo iwapo mayai yatagongana sana wakati kuku wakitaga linaweza lisipasuke ila linaweka nyufa za ndani ambazo utaziona…
MBINU ZA KUATAMIA MAYAI MENGI KWA NJIA ZA ASILI (new)
Kwa kawaida kuku huanza kutetea(Kutoa mlio wa ishara ya kutaga) anapofikisha miezi sita hadi minane. Hivyo ni vyema viota viandaliwe mapema wakiwa na umri wa miezi mitano. Kuku anapoanza kutaga akifikisha mayai matatu mfugaji anashauriwa kuondoa kila yai linalozidi hayo matatu kila siku linapotagwa na kuliweka alama ya tarehe au namba kwa kutumia penseli ili kumfanya kuku aendelee kutaga kwa lengo la kufikisha mayai 15 mpaka 20. Mayai yanayoondolewa yawekwe kwenye chombo kikavu kinachopitisha hewa ni vizuri pia kuweka mchanga ndani ya chombo hicho. Hakikisha ya fuatayo.Sehemu iliyochongoka iwe chini…
Sababu 10 Za Kuku Kupunguza Utagaji Mayai (new) | Mshindo media.
Kupungua kwa mayai yanayo zalishwa kwa siku katika shamba lako la kuku watagao mayai ni dalili moja wapo inayo onesha kwamba kunatatizo katika kundi lako la kuku. Kulingana na utafiti ulio fanywa na shirika la FAO una onesha kwamba kwa kawaida kuku aliye fikia umri wa miezi mitano au sita nakuendelea inatakiwa atage yai moja kila baada ya saa 24 hadi 26, kwa maana hiyo kila siku kuku wako inatakiwa atage yai moja. Kama vile tunavyo kuwa makini kufuatilia kinyesi cha kuku kugundua kama kuku anaumwa au anatatizo vivyo hivyo…
MAMBO MUHIMU SANA KWENYE INCUBATORS (new) | Mshindo media
Incubators ni Mashine zinazo tumika kutotoreshea viumbe mbali mabali hasa Ndege. AINA ZA INCUBATORS Forced Air IncubatorStill Air Incubators FORCED AIR INCUBATOR Forced Air Incubators ni mashine yenye Feni kwa ajili ya kutawanya joto ndani ya incubators STILL AIR INCUBATORS Hii ni mashine siyo kuwa na fane IPI NZURI? Inashauriwa kutumia/kununua Forced Air Incubators ndo bora kabisa na haitakusmbua na hatahivyo kwa incubator kubwa karibia zote ni Fored air, na mara nyingi ndogo ndo still air AINZA INCUBATOR KWENYE OPERATION Manual Automatic MANUAL INCUBATORS Hizi hutumia mikono katika kugeuuza mayai…
Mchanganyiko wa Chakula cha kuku (new) | Mshindo Media.
LISHE YA KUKU:Ili kuku waweze kuishi, kukua vizuri, kunenepa na kutaga mayai mengi ni lazima wale chakula kingi na chenye ubora unaotakiwa. Uwingi na ubora wa lishe ya kuku unaweza kuainishwa katika makundi ya vyakula kama ifuatavyo:1. Vyakula vya kutia nguvu2. Vyakula vya kujenga mwili3. Vyakula vya kuimarisha mifupa4. Vyakula vya kulinda mwili5. Maji.MAKUNDI YA VYAKULA:Vyakula vya kutia nguvu: Vyakula vya mifugo vifuatavyo vinawekwa katika kundi hili;a. Pumba za mahindi, pumba laini za mpunga, na, pumba laini za…
CHAKULA CHA VIFARANGA WA KIENYEJI (new) I Mshindo Media
JINSI YA KUCHANGANYA CHAKULA CHA VIFARANGA WA KIENYEJI MIEZI MIWILI YA MWANZO. Unga wa dona wa nafaka kama mahindi au mtama 40kg Pumba za mtama au mahindi au uwele 27kg Mashudu ya alizeti au ufuta, au pamba au karanga n.k. 20kg Unga wa mifupa au chokaa ya kuku (DCP) 2.25kg Dagaa au mabaki ya samaki (sangara fish meal) 10kg Chumvi ya jikoni 0.5 Virutubisho (Broiler premix) 0.25 JUMLA = 100kgs. Huu mchanganyiko ni wa vifaranga kuanzia siku 1 hadi miezi miwili. JINSI YA KUCHANGANYA CHAKULA CHA KUKU WA KIENYEJI, .…
JINSI YA KUZALISHA AZOLLA KWA CHAKULA CHA KUKU (new)
Habari Ndugu Mfugaji popote pale ulipo na mfuatiliaji wa website yetu, Jifunze jinsi ya kuzalisha azolla kwa chakula cha kuku na Mshindo media.Kwa maeneo mengi sana hapa nchini imekuwa changamoto hupatikanaji pamoja na bei za vyakula vya kuku, na watu wengi wamekuwa wakipata wakati mgumu na kufanya ufugaji kuwa na changamoto nyingi na hata kuhahirisha kufanya ufugaji. Bali sasa vitambue vyakula ambavyo mfugaji unaweza zalisha katika mazingira yake kwa lengo la kulisha kuku wake.Vifuatavyo ni vyanzo vya chakula ambavyo vyaweza tumika kulisha kuku. – MMEA WA AZOLA. Huu ni mmea ambao hukua ndani…
JIFUNZE KUTENGENEZA CHAKULA CHA KUKU NG’OMBE,NGURUWE NA KUKU KWA TEKNOLOJIA YA HYDROPONICS (new) I Mshindo Media
SEHEMU YA KWANZA Tumerahisisha zaidi maelezo na kuifanya iakisi mazingira harisi ya mfugaji wa kitanzania Hydroponic ni nini? Ni mbinu ya kukuza mimea kwa kutumia mchanganyiko wa virutubisho vya madini katika maji bila kutumia udongo. Mchakato huu huchukua siku 6 hadi tisa kukamilika. Kilo moja ya mbegu huzalisha wastani wa kilo 6 hadi kumi za majani na mizizi. Faida za Teknolojia hii i. Malisho huzalishwa ndani ya muda mfupi katika eneo dogo.mfano eneo la 4X3 mita huweza kutoa malisho sawa na ekari 2. ii. Chakula hiki hulika chote kwa mifugo.…
CHAKULA CHA KUKU WA KIENYEJI/CHOTARA (new) I Mshindo Media
JINSI YA KUCHANGANYA CHAKULA CHA VIFALANGA WA KIENYEJI MIEZI MIWILI YA MWANZO Unga wa dona wa nafaka kama mahindi au mtama 40kgPumba za mtama au mahindi au uwele 27kgMashudu ya alizeti au ufuta, au pamba au karanga n.k. 20kgUnga wa mifupa au chokaa ya kuku (DCP) 2.25kgDagaa au mabaki ya samaki (sangara fish meal) 10kgChumvi ya jikoni 0.5Virutubisho (Broiler premix) 0.25JUMLA = 100kgs. Huu mchanganyiko ni wa vifaranga kuanzia siku 1 hadi miezi miwili. NJINSI YA KUCHANGANYA CHAKULA CHA KUKU WA KIENYEJI, . WA MIEZI 3 MPAKA WA 4. Mahindi…
JINSI YA KUTENGENEZA CHAKULA CHA SAMAKI (new)
Mfugaji anaweza kupunguza gaharama za kununua chakula kwa ajili ya samaki, kwa kutengeneza chakula mwenyewe kwa kutumia malighafi ulizo nazo katika eneo lako. Tumia resheni rahisi ambayo itakupatia chakula cha kutosha na kwa gharama nafuu. Mahitaji 1. Pumba ya mahindi sadolini 1. 2. Pumba ya ngano au mpunga sadolini 1. 3. Dagaa sadolini 1. 4. Kilo moja ya soya. 5. Robo kilo ya mashudu ya pamba au alizeti. Namna ya kuandaa 1. Changanya malighafi hizo kwa pamoja. 2. Saga hadi zilainike. 3. Kanda kama vile unga wa kutengenezea chapati. 4. …
Fahamu uzalishaji Azolla kwa ajiri ya mifugo yako (new)
Azolla Production JIFUNZE KUZALISHA AZOLLA KWAAJILI YA MIFUGO YAKO Unaweza tazama video hiyo apo juu.…. FAHAMU AZOLLA Azolla ni aina ya blue green algae ambayo huweza kulimwa na kustawi vizuri katika mabwawa,mito, madimbwi na mitaro inayotuhamisha maji kwa muda mrefu kazi yake kubwa hufyonza nitrogen kutoka kwenye hewa pia hukua haraka sana katika maji yaliyotuamaFaida za Azolla1. Hutumika kuongeza nitrogen kwenye udongo kwa kutumika katika utengenezaji wa mbolea vunde au kuyafanya kama matandazo shambani2. Hutumika kama chakula cha mifugo kwasababu ina kiwango kikubwa cha protein 25%-30% hutumiwa na ng’ombe, mbuzi,…