DAWA MABANDA KABLA YA KUINGIZA KUKU
·
Ondoa mbolea na vitu vyote vilivyotumika(mifuko ya chakula,makopo n.k) na kuitupa mbali kabisa na mabanda·
Anza kusafisha dari
harafu kuta na kumalizia na sakafu·
Lowesha vyombo vya kunyweshea maji na
kulishia chakula na vifaa vyote vinavyotumika ndani ya mabanda kwenye dawa aina ya virutec kwa muda wa nusu saa harafu suuza na maji ya kawaida kabla ya kupiga dawa ya kuulia wadudu warukao na watambaao ndani nan je ya banda
Kumbuka; Kuweka virutec kwenye footbath mlangoni kabla ya kuleta vifaranga
Magonjwa yamegawanyika katika makundi mawili
- Fowl Tyfoid
- Paratyphoid
- Colibacillosis
- Infectious coryza(Mafua)
- Coccidiosis
- Mycoplasmosis
Newcastle (Mdondo)
Gumboro
Ugonjwa | Dalili | Chanjo/Tiba |
Newcastle Disease(Mdondo) | Vifo vingi vya ghaflaKuharishaHutokea wakati wowote baada ya wiki mbili | Chanjo siku 7 rudia baada ya siku21 na baada ya wiki 12 |
Gumboro | Vifo vya ghaflaKukunja mbawa chini kujikusanya pamojaKuharisha nyeupeUgonjwa hutokea kuanzia wiki ya 2 mpaka 18 | Canjo siku ya 10 mpaka 14Rudia siku ya 28 na 42 kwa kuku wa mayai |
Avian Leukosis Complex | Marecks humpata kuku kuanzia umri wa wiki tatu lakin mara nyingi ni wiki ya 12-24Dalili ni;kupooza mabawa,miguu kuvimba na kufa na kuvimba miguu maini wengu na figo | Tiba ni Fruquin 1ml/2lita kwa siku tatuNutrivet 5g/20lita |
Typhoid | Vifo vya kuku mmoja mmoja | Tiba ni Fruquin 0.5-1ml/lita kwa siku tatuNutrivet 5g/20lita |
………………………………………………………………………………………………………………………………………..