VIOTA VYA KUKU /chicken nest (new) I Mshindo Media

Kiota ni sehemu ambayo kuku utaga mayai , kuatamia na kutotoa VIFARANGA Aina za viota (type of nest) 1.Kiota kilichotengenezwa na kuku mwenyewe  Ambapo kuku mwenyewe uchagua mahali pa kutagia na kuhifadhi mayai2.Kiota kilichoandaliwa na MFUGAJI Aina ya viota hivi uandaliwa na MFUGAJI katika njia stahiki ili kuweza kupata mazao imara MAHITAJI  YA MUHIMU KATIKA KIOTA Boksi la karatasi Mbao  Nyasi  Nguo ya Aina pamba Ukubwa wa KIOTA inatakiwa uwe unamwezesha kukaa na kujigeuza  Hii maana yake ni inatakiwa uwe na sentimita 35 upana sentimita 35 na urefu sentimita 35…

Mbinu za Utunzaji wa Vifaranga vya Kuku (new)

Kuna vitu vya msingi katika uleaji wa vifaranga vya kuku. Uleaji huu hutofautiana kati ya vifaranga wa kuku wa mayai, kienyeji na kuku wa nyama katika chakula na chanjo kwa ujumla MATAYARISHO ·         Banda liwe imara kuepuka wizi na wanyama wasumbufu kama ngoja, paka, mbwa, mwewe, na kecheche. ·         Banda liwe linaweza kuingiza hewa ya kutosha na kavu isiyo na unyevunyevu. ·         kabla ya kuingiza safisha banda nje na ndani kwa kutumia dawa ya kuua vijidudu vya magonjwa. Paka chokaa kuta za ndani na hakikisha banda haliwi na joto Kali, baridi kuingiza, mbua…

Vifaranga kutoka Brooder mpaka wakubwa (new) I Mshindo Media

Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kulea vifaranga yameorodheshwa na kuelezewa kwa kina hapa chini.BANDA BORAVifaranga hawahitaji eneo kubwa sana katika majuma manne ya kwanza. Nafasi inayohitajika kwa kukadiria ni meta 1 ya mraba kwa vifaranga 16.Kwa mfano nyumba yenye meta 10 za mraba inatosha kutunzia vifaranga 160 hadi wanapofikisha umri wa majuma manne. Vipimo vya nyumba yenye eneo kama hili inaweza kuwa na hatua 5 kwa 4. Utajenga banda kutegemea na eneo ulio nalo. VYOMBO KATIKA NYUMBA YA KULELEA VIFARANGA(1) KITALU/BROODER/BRUDA:Bruda ya kukuzia vifaranga inatakiwa iwe ya mduara isiyopinda mahali…

Jinsi ya kulea vifaranga/kuku wa kienyeji (new) I Mshindo Media

MAFUNZO MBALI MBALI RAHISI NA HALISI KWA MFUGAJI  ULISHAJI 👉Lisha kuku muda mmoja kila siku, usibadilishe badilishe ratiba 👉Usibadilishe badilishe chakula 👉Usiwapunje wala kuzidisha chakula 👉Wawekee vyombo vya kutosha 👉Maji yawepo muda wote 👉Vyombo vya maji visafishwe kila siku   UOKOTAJI WA MAYAI  👉Panga ratiba maalumu ya kuokota mayai, mfn SAA 7:30/Am, saa 10:30 Am, saa 1:30 Pm, saa 4:30 Pm, funga report. 👉Safisha viota vya kuku, kuondoa vinyesi kila asubuhi na ongeza matandazo mayai yasipasuke 👉Okota mayai na yaweke kwenye Trey upande uliochongoka utazame chini, na upande butu uwe juu 👉Weka mayai sehemu salama isiyo na joto jingi 👉Mayai ya kutotolesha…

KULEA VIFARANGA VYA KUKU (new)

MFUGAJI KARIBU KATIKA SOMO HILI LA LEOMambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kulea vifaranga yameorodheshwa na kuelezewa kwa kina hapa chini. BANDA BORAVifaranga hawahitaji eneo kubwa sana katika majuma manne ya kwanza. Nafasi inayohitajika kwa kukadiria ni meta 1 ya mraba kwa vifaranga 16. Kwa mfano nyumba yenye meta 10 za mraba inatosha kutunzia vifaranga 160 hadi wanapofikisha umri wa majuma manne. Vipimo vya nyumba yenye eneo kama hili inaweza kuwa na hatua 5 kwa 4. Utajenga banda kutegemea na eneo ulio nalo. VYOMBO KATIKA NYUMBA YA KULELEA VIFARANGA (1) KITALU/BROODER/BRUDA:Bruda ya…

UTOTOLESHAJI WA MAYAI (new) I Mshindo Media

Kuna malalamiko makubwa sana kutoka kwa wafugaji kwenda kwa wauzaji wa mayai ya kutotolesha hasa kuhusu mayai kuto kutotoleshwa kwa kiwango kinacho tarajiwa.  Zijue sababu kuu za mayai kushindwa kutotolesheka  👉👈 Yai kuto kurutubishwa, iwapo tetea atataga yai bila kupandwa na jogoo ni kwa 100% yai halita totolesheka   Suluhu Weka jogoo kwa uwiano huu unaoshauriwa Tetea 8-10 kwa jogoo mmoja na uhakikishe jogoo anapanda tetea.  👉 👈 Hair line cracks (nyufa zisizo onekana kwa macho kwenye yai  👆Kwa kawaida kuku hutaga mayai yenye ganda gumu, hivo iwapo mayai yatagongana sana wakati…