GHARAMA UFUGAJI WA KUKU WA NYAMA Katika ufugaji inawenzekana umekuwa ukiona Miradi ya watu jinsi ilivyo mikubwa. Unapenda sana kutembelea katika miradi mbalimbali, pia na wewe unawazo la kufuga lakini unashindwa kujua ni mtaji sh ngapi utakao tosha kuanzia mradi wa ufugaji kuku. Ndugu sio lazima wewe kuanzisha mradi Mkubwa kama unayo iona ya wengine. Hao mpaka kufikia hapo wamechukua muda kidogo na wamekutana na changamoto nyingi. Hivyo hata kwa mtaji mdogo kabisa unaweza azisha mradi wako wa ufugaji kuku na baada ya muda nawewe utakuja kutembelewa katika mradi wako.Katika…