Kuna malalamiko makubwa sana kutoka kwa wafugaji kwenda kwa wauzaji wa mayai ya kutotolesha hasa kuhusu mayai kuto kutotoleshwa kwa kiwango kinacho tarajiwa. Yai kuto kurutubishwa, iwapo tetea atataga yai bila kupandwa na jogoo ni kwa 100% yai halita totolesheka Weka jogoo kwa uwiano huu unaoshauriwa Tetea 8-10 kwa jogoo mmoja na uhakikishe jogoo anapanda tetea. Hair line cracks (nyufa zisizo onekana kwa macho kwenye yai Kwa kawaida kuku hutaga mayai yenye ganda gumu, hivo iwapo mayai yatagongana sana wakati kuku wakitaga linaweza lisipasuke ila linaweka nyufa za ndani ambazo utaziona…
Category: Kuku wa Mayai
Sababu 10 Za Kuku Kupunguza Utagaji Mayai (new) | Mshindo media.
Kupungua kwa mayai yanayo zalishwa kwa siku katika shamba lako la kuku watagao mayai ni dalili moja wapo inayo onesha kwamba kunatatizo katika kundi lako la kuku. Kulingana na utafiti ulio fanywa na shirika la FAO una onesha kwamba kwa kawaida kuku aliye fikia umri wa miezi mitano au sita nakuendelea inatakiwa atage yai moja kila baada ya saa 24 hadi 26, kwa maana hiyo kila siku kuku wako inatakiwa atage yai moja. Kama vile tunavyo kuwa makini kufuatilia kinyesi cha kuku kugundua kama kuku anaumwa au anatatizo vivyo hivyo…