KUKU WA ASILI Ufugaji wa kuku wa asili ni nyenzo muhimu katika kupambana na wimbi la umasikini kwa kuongeza kipato cha kaya. Hata hivyo, pamoja na soko la uhakika, bado ufugaji kuku haujaweza kutumika ipasavyo kupambana na umaskini unaowakabili Watanzania wengi. Ni mazoea kwa jamii nyingi hapa Tanzania kufuga kuku wa asili kama sehemu ya mila na desturi zao. Kuku wa asili amekuwa akifugwa bila ya kupatiwa huduma muhimu kama makaazi bora, chakula cha ziada, tiba, kinga za magonjwa mbali mbali. Muhtasari huu unatoa muongozo wa ufugaji wa kuku wa…
Author: Mshindo Media
Fahamu zaidi ufugaji wa mbuzi (new) I Mshindo Media
Mbuzi na kondoo ni wanyama ambao wanaweza kufugwa kwa gharama nafuu pia ni wavumilivu wa ukame na maradhi tofauti na ngo’mbe kwa kua wana umbile dogo wanaweza kufugwa katika eneo dogo na nguvu kazi ndogo na hata kwa wenye kipato kidogo. Katika makala hii Mkulima Mbunifu inangazia kuhusu ufugaji wa Mbuzi. Makala kama hii inaweza kua umeshasoma, ila kwaajili maombi ya wasomaji wa jarida hili tutatilia mkazo uzalishaji, ukuzaji na lishe. Uzalishaji Mbuzi wenye afya huingia joto mara kwa mara, na huweza kuwa na watoto wapatao watatu kila baada ya miaka miwili.…
MUHTASARI WA UFUGAJI KUKU I Mshindo Media (new)
1: Maandalizi ya banda la kuku, Fagia, deki kwa maji, pulizia dawa/disinfection (Th4, V rid,Farm guard nk). Acha banda likae zaidi ya siku 7 baada ya kutoa kuku wakubwa kabla ya kuingiza kuku wengine. Andaa vifaa vyote muhimu kwa ajili ya kupokea kuku wapya vikae bandani angalau siku 3 kabla ya kupokea vifaranga. Andaa sehemu ya kulelea vifaranga, weka vyanzo vya joto tayari kabla vifaranga hawajafika(Usikurupuke kuweka wakati vifaranga wameshafika). 2: Maandalizi ya chakula na maji Hakikisha maji, chakula kwaajili ya kuku wako yapo bandani au sehemu ya karibu muda…
UFUGAJI BORA WA SAMAKI I Mshindo Media (new)
MBINU MUHIMU WAKATI WA UANZISHAJI UFUGAJI WA SAMAKI SIFA ZA ENEO LA KUFUGIA SAMAKI UTENGENEZAJI WA BWAWA LA SAMAKI Zipo namna mbalimbali za utengenezaji wa bwawa la samaki, kulingana na aina ya bwawa lenyewe, Hali ya uchumi, wingi wa samaki watakaofugwa pamoja na aina ya samaki watakaofugwa.Zifuatazo ni Aina za mabwawa ya kufugia samaki. 1.Bwawa la kuchimba udongo bila kujengea “Earthen Pond”. UANDAAJI NA UPANDIKIZAJI WA VIFARANGA AU MBEGU ZA SAMAKI KATIKA BWAWA LAKO Kabla ya kuvisafirisha vifaranga kutoka kwenye bwawa wanaloishi ni vema vikatolewa na kuwekwa kwenye vibwawa vidogo…
Record Keeping (new) | Definition, Importance & Usage
What is ‘RecordKeeping’? Recordkeeping is a primary stage in accounting that entails keeping a record of monetary business transactions, knowing the correct picture of assets-liabilities, profits, loss, etc. In addition, it assists in maintaining control of the expenses to minimize the expenditure and have important information for legal and tax purposes. In other words, a recordkeeping system is the backbone of any company’s financial structure. To keep records is simply to collect relevant information that can help you to take good decisions and to keep track of activities, production and important events…
Essential Drugs for Specific Purposes in the livestock treatment
Drugs for livestock care Drugs are allowed in organic farming as per veterinary recommendations but alternative medicine is preferred. Preventive use of drugs is forbidden and antibiotics can be used a limited times, with a double withdrawal time. Animal health care is still not sufficiently developed that we can keep livestock healthy without veterinary drugs. In Europe and the USA great progress has been made towards the use of homeopathic veterinary medicine which in many instances has shown its applicability to certain health problems. In Africa ethnoveterinary solutions are also commonly used…
Animal nutrition and feed rations
Introduction Animal nutrition entails the study of the composition and characteristics of the material consumed by the animal, the manner in which this material is metabolised (converted, utilised, and excreted) in the digestive tract and body cells of monogastric animals (pigs, broilers, layers), ruminants (sheep, cattle, goats), … Livestock keeping in all its ventures is a major source of incomes all over Kenya, from the most productive to nearly desert areas, and for all livestock keepers livestock feeding and nutrition is a major concern. Inadequate nutrition is a major cause of low…
Calf rearing and Management
A good social life in good health – a goal for young animals Introduction The aim of calf rearing is to produce strong, healthy, well grown calves that will continue to develop steadily after weaning. The calf rearing period covers the time from birth to 12 weeks of age. It is an important goal in organic farming to give all animals good living conditions, also the young animals – and maybe in particular the young ones: it is a precondition for becoming a good milking cow that the cow had a good life and…
Disease Prevention- Definition & Control (Ticks, Wounds, Vaccination)
Disease prevention is a procedure through which individuals, particularly those with risk factors for a disease, are treated in order to prevent a disease from occurring. Prevention of diseases is always both better and cheaper than treatment. Treatment normally begins either before signs and symptoms of the disease occur, or shortly thereafter. Even if vaccines and other preventive measures may seem expensive, they are in the long run much cheaper than loosing animals or letting animals suffer and loose condition and buying expensive drugs – not to mention the fees of the vets.…
What things to consider when choosing to keep animals
Introduction Emphasis on integration Organic livestock husbandry is based on the harmonious relationship between land, plants and livestock, respect for the physiological and behavioral needs of livestock and the feeding of good-quality organically grown feedstuffs. (IFOAMs Norms for Organic Production (2012); General Principle for Animal Management, p. 42) Integration of animals into crop producing farms is fundamental for many types of organic farms. In temperate and arid zones, animal husbandry plays an important role in the recycling of nutrients, while it is often less emphasized in the humid tropics. The caring, training, and…
MAGONJWA YA MIFUGO HATARISHI KWA AFYA YA BINADAMU/ZOONOTIC DISEASES I Mshindo Media
MAGONJWA YA MIFUGO (WANYAMA) HATARISHI KWA AFYA YA BINAADAMU : Zoonotic Diseases: Disease Transmitted from Animals to Humans. A zoonosis (zoonotic disease or zoonoses -plural) is an infectious disease that is transmitted between species from animals to humans (or from humans to animals) Vijidudu vingi viletavyo magonjwa ni Host specific yaani husababisha aina moja au mbili ya wanyama kama Theileria parva: ng’ombe tu na cowdria ruminantia: wanyama wote wanaokula majani (ruminants) Vijidudu vingine huleta athari kwa kundi (makundi) kubwa la wanyama akiwemo binaadamu kama vile Salmonella sp Escherichia coli na Mycobacyterium tuberculosis Yafuatayo ni baadhi ya magonjwa…
FAHAMU MAGONJWA YA KUKU,DALILI NA TIBA ZAKE I Mshindo Media
Magonjwa ya kuku ni maradhi yanayoathiri afya ya kuku na kusumbua wafugaji wengi wa kuku, hasa wafugaji wadogowadogo. Kuku, kama walivyo viumbehai wengine, hupatwa na magonjwa mbalimbali. Kwa kuwa kuku ni mifugo ya binadamu, hivyo ni jukumu la mfugaji kutatua tatizo linapotokea ambalo hujumuisha afya ya mfugo wake – kuku. Makala hii inaelezea baadhi ya magonjwa ya kuku yanayowakabili wafugaji wengi na baadhi ya njia za kupunguza au kujilinda na magonjwa haya 1. Ugonjwa wa Mdondo: Ugonjwa huu huathiri kuku katika umri wowote na unapoingia kwenye kundi huweza kuua idadi kubwa ya kuku hao hadi kufikia asilimia tisini. Ndege wakubwa hustahimili kidogo kuliko wale wadogo kwasababu…
MJUE SUNGURA NA UFUGAJI BORA I Mshindo Media
UTANGULIZI Kabla hujaamua kufuga sungura hakikisha ya kwamba umejitoa na una muda wa kuwahudumia wanyama waha, ufugaji wao si rahisi kama vile ukifuga paka au mbwa, sungura wanahitaji uangalizi na hasa kwenye usafi kwa sababu ni rahisi kwao kupata maradhi yatokanayo na mazingira mabaya na machafu. MABANDA Kuna aina mbili za mabanda ya kufugia kwanza ni yale ya kuwafungia ndani muda wote bila kutoka nje na ya pili ni ile ya pili ni nusu nusu yaani wanakuwa na mabanda na wanaweza kutoka nje kwenye ua maalum, katika aina zote mbili ni muhimu…
Organic animal husbandry: Breeding, housing and feeding
Breeding in Organic Farming Principles and Methods Breeds are adapted to local conditions (General Principle under 5.4, Breeds and Breeding, IFOAMs Norms 2012). Breeding animals which are strong and robust and adapted to the local conditions is a strategy which is important both for health promotion and disease prevention. Traditional breeds of farm animals may be a good starting point for organic animal breeding. Animals can be improved by selection of individuals specially adapted to their natural organic conditions. They can be crossbred with suitable new breeds, thus achieving animals with the desired positive aspects of both…
Animal health promotion, welfare and disease prevention (new)
Factors influencing animal health and wellbeing Health is a dynamic and ongoing process in all living individuals, which is coping with and responding to all the things we meet in the surrounding, which potentially could influence us. Disease causing germs, parasites and numerous stress factors are present in the lives of both humans and animals. All living organisms have an immune system which should be supported to cope with these germs. All forms of stress and pressure can disturb this. Organic animal husbandry puts its focus on improving the living conditions…
Chakula na Malisho Bora kwa Ng’ombe wa Maziwa I Mshindo media
Kuna njia nyingi ambazo wakulima wanaweza kupata pesa kutokana na ufugaji wa ng’ombe wa maziwa. Unaweza kutengeneza pesa kutokana na kuuza samadi, ndama wako, na muhimu kabisa uzalizaji wa maziwa mengi.Kuwekeza kwenye ng’ombe wa maziwa kwanza unahitaji kuorodhesha gharama zote utakazokumbana nazo. Hizi ni pamoja na : Bei ya ng’ombe mwenye kutarajia ndama itategemea na kumbukumbu ya kuzalisha na maziwa. Mara tu ng’ombe anapopata ndama na kuanza kukama maziwa, unaanza kutengeneza pesa. Kwa mfano, kama ng’ombe wako anatoa wastani wa lita 20 kwa siku, unaweza kuuza lita moja kwa KSH…
LISHE YA KUKU NA KUCHANGANYA CHAKULA (new) I Mshindo media
LISHE YA KUKU: Ili kuku waweze kuishi, kukua vizuri, kunenepa na kutaga mayai mengi ni lazima wale chakula kingi na chenye ubora unaotakiwa. Uwingi na ubora wa lishe ya kuku unaweza kuainishwa katika makundi ya vyakula kama ifuatavyo: 1. Vyakula vya kutia nguvu 2. Vyakula vya kujenga mwili 3. Vyakula vya kuimarisha mifupa 4. Vyakula vya kulinda mwili 5. Maji. Makundi ya vyakula: Vyakula vya mifugo vifuatavyo vinawekwa katika kundi hili;a. Pumba za mahindi, pumba laini za mpunga, na, pumba laini za ngano.b. Nafaka kama vile mtama , chenga za mahindi ,chenga za mchele, uwele , na ulezic. Mimea ya…
Kutengeneza Chakula cha Mifugo kwa Teknolojia ya Hydroponic (new) I Mshindo Media.
TEKNOLOJIA YA HYDROPONICS. Sehemu ya Kwanza: Hydroponic ni nini? Ni mbinu ya kukuza mimea kwa kutumia mchanganyiko wa virutubisho vya madini katika maji bila kutumia udongo. Mchakato huu huchukua siku 6 hadi tisa kukamilika.Kilo moja ya mbegu huzalisha wastani wa kilo 6 hadi kumi za majani na mizizi. Faida za Teknolojia.i. Malisho huzalishwa ndani ya muda mfupi katika eneo dogo. Mfano; eneo la 4X3 mita huweza kutoa malisho sawa na ekari 2.ii. Chakula hiki hulika chote kwa mifugo. Wanakula najani yote pamoja na mizizi. Hakuna upotevu wa chakula.iii. Mahitaji ya maji…