Wild mushroom cure for poultry diseasesChicken is one of the most commonly done projects with different people,ncluding farmers and pastors, and those who do other activities. One of the challenges that have been faced with regular talk is the disease that affects chickens, without the breeders aware of what to do. There are various ways to treat chickens, including natural and non-native. One of the most natural remedies for chicken is by using a famous wild carpet like Aloe Vera. The plant that you have been treating with treating various…
Year: 2024
Animal Structures and their Functions (new)
Introduction: Bones meet each other at joints or articulations. Some of these articulations unite the bones firmly while others allow movement. Bones are united by the following: a) dense connective tissues forming fibrous joints e.g. radius and ulna; b) a cartilage forming cartilaginous joints e.g. between sternebrae, pelvic symphysis or the mandibles; c) a fluid-filled cavity intervenes between the bones forming synovial joints.a + b are relatively immovable and are termed synarthroses while ( c ) is freely moveable and is termed diarthrosis. FIBROUS JOINTS 1. Syndesmosis – the uniting material is connective tissue and if it is extensive as between radius and ulna it is called interosseous membrane. 2. Suture – special type of…
Four types of dairy cattle breeds and its nature
The 4 most common cattle dairy breeds Thinking of starting a dairy farm? One of the things in your mind is probably which breed of dairy cattle to keep.The following are the most common breeds of dairy cows Friesian Originated from Europe. It is white and black.Can also be red and white in colour. Low butter/ fat content.High milk production.Meat production is also high.Average live weight is 600kg. Source:www.animalscience.careGuernsey Bred on the channel island of Guernsey. Brown in colour. Milk production is moderate. High butterfat content of 5%.Cow weighs 400-500kg.High-protein content in milk. Source:www.animalscience.careAyrshireOriginated…
List of notifiable disease over the world
LIST OF NOTIFIABLE LIVESTOCK DISEASES OF TANZANIA MAINLAND LIST A LIST B LIST C Foot and mouth (FMD) Anthrax (A) Blackleg Vesicular stomatitis (VS) Heart water Tetanus Rinderpest(RP) Rabies (R) Internal salmonelossis PPR Anaplasmosis Coccidiosis CBPP Bovine babesiosis BVD/MD Lump skin disease (LSD) Bovine brucellosis Enterotoxaemia Rift valley fever (RVF) Bovine tuberculosis Swine erysipelas Blue tongue (BT) Dermatophylosis Infectious coryaza Sheep and goat pox(S&G P) Haemorhagic septicemia Avian encephalitis African horse sickness(AHS) Theilerosis Avian salmonelossis African swine fever(ASF) Trypanosomiasis Avian leucosis Newcastle disease(NC) Bovine malignant catarrh CCPP Scrape Fowl pox(FP) Gumboro(G)…
BAKTERIA KWA KUKU (new) I Mshindo Media
Bacteria Ni vimelea ambavyo havionekani kwa macho yakwaida , bakteria wengi uishi katika mimea na wanyama waliohai au waliokufa Bakteria wanaosababisha homa upatikana katika miili ya kuku KUPITIA vinyesi vyao , mucus , chakula , maji Aidha bakteria upatikana sehemu zenye mazingira machafu (unyevunyevu na joto) Magonjwa muhimu yanayosabishwa na bakteria ni ! Homa kali ya matumbo Kipindupindu cha kuku Kuhara Choo cheupe Mafua makali NB:Ni vema uhakikishe unakiga kuku wako DHIDI ya magonjwa ya bakteria kwa kusafisha banda na vyombo vya chakula Magonjwa mengi ya BAKTERIA uwa na dawa/tiba…
RATIBA ZA CHANJO KWA KUKU TOKA VIFARANGA (new) I Mshindo Media
RATIBA ZA UTOAJI CHANJO Wakati wa kutayarisha mpango wa kuchanja kuku kwa ajili ya kinga dhidi ya magonjwa, kuna vipengele vikuu sita Ambavyo unatakiwa uvifahamu na kuvizingatia. Vipengele hivyo ni kama ifuatavyo: 1. Vifaranga vinavyoanguliwa kwa pamoja: Iwapo una kundi zaidi ya moja la vifaranga wanaoanguliwa, Weka utaratibu wa chanjo ambao utapunguza uwezekano wa magonjwa kuenea shambani. Hivyo basi, Hakikisha vifaranga na kuku wote wanapata chanjo kwa pamoja. 2. Umri wa kuchanja kuku: Kwa kuku ambao wanatarajiwa kutaga mayai au kuwa kuku wazazi, chanjo nyingi hutolewa si zaidi ya mwezi…
Mbinu za Utunzaji wa Vifaranga vya Kuku (new)
Kuna vitu vya msingi katika uleaji wa vifaranga vya kuku. Uleaji huu hutofautiana kati ya vifaranga wa kuku wa mayai, kienyeji na kuku wa nyama katika chakula na chanjo kwa ujumla MATAYARISHO · Banda liwe imara kuepuka wizi na wanyama wasumbufu kama ngoja, paka, mbwa, mwewe, na kecheche. · Banda liwe linaweza kuingiza hewa ya kutosha na kavu isiyo na unyevunyevu. · kabla ya kuingiza safisha banda nje na ndani kwa kutumia dawa ya kuua vijidudu vya magonjwa. Paka chokaa kuta za ndani na hakikisha banda haliwi na joto Kali, baridi kuingiza, mbua…
Vifaranga kutoka Brooder mpaka wakubwa (new) I Mshindo Media
Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kulea vifaranga yameorodheshwa na kuelezewa kwa kina hapa chini.BANDA BORAVifaranga hawahitaji eneo kubwa sana katika majuma manne ya kwanza. Nafasi inayohitajika kwa kukadiria ni meta 1 ya mraba kwa vifaranga 16.Kwa mfano nyumba yenye meta 10 za mraba inatosha kutunzia vifaranga 160 hadi wanapofikisha umri wa majuma manne. Vipimo vya nyumba yenye eneo kama hili inaweza kuwa na hatua 5 kwa 4. Utajenga banda kutegemea na eneo ulio nalo. VYOMBO KATIKA NYUMBA YA KULELEA VIFARANGA(1) KITALU/BROODER/BRUDA:Bruda ya kukuzia vifaranga inatakiwa iwe ya mduara isiyopinda mahali…
JINSI YA KULEA VIFARANGA VYA KUKU (new) I Mshindo media
JINSI YA KULEA VIFARANGA VYA KUKU Karibu mpenzi msomaji wa MSHINDO MEDIA , leo hii napenda kuwaletea soma la jinsi ya kulea vifaranga vya kuku, hivyo tusiache kua nasi ili kujifunza mengi zaidi. Na tutaanza na jinsi ya kujenga nyumba ya vifaranga, hivyo ukitaka kujenga nyumba ya vifaranga nilazima uzingatie yafuatayo. Nyumba ya vifaranga nilazima ijengwe karibu na nyumba ya muangalizi hii ni kwaajiri ya kuweza kuwa karibu kwa uangalizi zaidi. Nyumba ijengwe hatua 20 au zaidi mbali na nyumba ya kuku wakubwa hii nikwaajili ya kupunguza maambukizi ya magonjwa. Nyumba ya vifaranga…
MAMBO YA KUZINGATIA KWA VIFARANGA SIKU 30 MPAKA 60 (new) I Mshindo Media
………………………………….. 🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓 Yapo mambo muhimu ya kuzingatia siku za mwanzo kwa vifaranga wako ili wakue vyema na kukuletea matokeo chanya. ✔️ Banda liwe Safi na liwe linatosha kwa vifaranga kulingana na square meters pendekezwa. Wasibanane kwani huweza kuleta ukuaji usio sawia na kupelekea vifaranga 🐓 kudumaa . 🐓kudonoana hovyo . 🐓kulaliana . 🐓kuambukizana. magonjwa kirahisi. ✔️Chakula kiwe bora na chenye virutubisho vyote muhimu kwa vifaranga kama vile protin, wanga, carbohydrates nk Pia kiwe na madini ya kutosha kama vile DCP, Chokaa, mifupa nk, Epuka kujichanganyia Chakula kiholela kwani inaweza kupelekea…
Uleaji wa vifaranga vya kuku (new)
SOMO:KULEA VIFARANGA Unayapata hapa kupitia Website yako pendwa Hapa SEHEMU YA 1: BANDA BORA LA VIFARANGA Habari ya uzima ndugu mfugaji! Huu ni mwanzo wa somo la kulea vifaranga , tutajifunza ujenzi wa banda la vifaranga, vitu vya muhimu katika banda la vifaranga, kujiandaa kupokea vifaranga, chanjo na dawa, sababu za vifo kwa vifaranga , lishe bora kwa vifaranga, na jinsi ya kudhibiti vifo nk. Mwanzo huu ,sehemu ya kwanza tutajifunza ujenzi wa banda la vifaranga/ vitu vya muhimu katika banda la vifaranga Nyumba Ya Kulelea Vifaranga Ukipenda kujenga nyumba ya vifaranga itafaa…
Jinsi ya kulea vifaranga/kuku wa kienyeji (new) I Mshindo Media
MAFUNZO MBALI MBALI RAHISI NA HALISI KWA MFUGAJI ULISHAJI 👉Lisha kuku muda mmoja kila siku, usibadilishe badilishe ratiba 👉Usibadilishe badilishe chakula 👉Usiwapunje wala kuzidisha chakula 👉Wawekee vyombo vya kutosha 👉Maji yawepo muda wote 👉Vyombo vya maji visafishwe kila siku UOKOTAJI WA MAYAI 👉Panga ratiba maalumu ya kuokota mayai, mfn SAA 7:30/Am, saa 10:30 Am, saa 1:30 Pm, saa 4:30 Pm, funga report. 👉Safisha viota vya kuku, kuondoa vinyesi kila asubuhi na ongeza matandazo mayai yasipasuke 👉Okota mayai na yaweke kwenye Trey upande uliochongoka utazame chini, na upande butu uwe juu 👉Weka mayai sehemu salama isiyo na joto jingi 👉Mayai ya kutotolesha…
KANUNI SAHIHI YA ULEAJI WA VIFARANGA VYA KUKU (new)
Habari za wakati huu ndugu wasomaji na wafuatiliaji wa blog yetu,leo tutaangalia namna ya kulea vifaranga. Zifutazo ni hatua mbali mbali za maandalizi na mapokezi ya vifaranga. 1.MAANDALIZI YA BANDA Banda ni jambo la kwanza kwa mfugaji yoyote.banda la kuku huweza kujengwa kwa matofali,mbao,au hata miti na matope. mfano wa banda la matofali lenye dirisha kubwa. Banda la kuku linatakiwa liwe safi wakati wote. 1.Sifa za banda la kuku Lipitishe mwanga wa kutosha Lisiwe na nafasi ya wadudu hatari na hata wanyama kupita Liwe karibu na makazi ya mfugaji Sakafu…
KULEA VIFARANGA VYA KUKU (new)
MFUGAJI KARIBU KATIKA SOMO HILI LA LEOMambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kulea vifaranga yameorodheshwa na kuelezewa kwa kina hapa chini. BANDA BORAVifaranga hawahitaji eneo kubwa sana katika majuma manne ya kwanza. Nafasi inayohitajika kwa kukadiria ni meta 1 ya mraba kwa vifaranga 16. Kwa mfano nyumba yenye meta 10 za mraba inatosha kutunzia vifaranga 160 hadi wanapofikisha umri wa majuma manne. Vipimo vya nyumba yenye eneo kama hili inaweza kuwa na hatua 5 kwa 4. Utajenga banda kutegemea na eneo ulio nalo. VYOMBO KATIKA NYUMBA YA KULELEA VIFARANGA (1) KITALU/BROODER/BRUDA:Bruda ya…
HATUA ZA KULEA VIFARANGA (new) I Mshindo Media
Habari ya uzima ndugu mfugaji! Huu ni mwanzo wa somo la kulea vifaranga , tutajifunza ujenzi wa banda la vifaranga, vitu vya muhimu katika banda la vifaranga, kujiandaa kupokea vifaranga, chanjo na dawa, sababu za vifo kwa vifaranga , lishe bora kwa vifaranga, na jinsi ya kudhibiti vifo nk. Mwanzo huu ,sehemu ya kwanza tutajifunza ujenzi wa banda la vifaranga/ vitu vya muhimu katika banda la vifaranga. Nyumba Ya Kulelea Vifaranga Ukipenda kujenga nyumba ya vifaranga itafaa ujue yafuatayo:- _ Nyumba ya vifaranga iwe karibu na nyumba yako mwenyewe ili…
UJENZI WA MABANDA YA KUKU I Mshindo Media
MANUFAA YA KUWAJENGEA KUKU BANDA LA KISASA 1. Hulinda kuku dhidi ya Hali mbaya ya Hewa 2. Huepusha kuku kudonoana 3. Huwa epusha kuku dhidi ya wezi na wanyama wakali 4. Huepusha kuku kuwa na huzuni ENEO Unapochagua eneo la kujenga banda la kuku, hakikisha kuwa banda hilo halitizami upepo unapotokea, ni lazima liwe karibu na nyumbani, na lisiwe sehemu ambayo maji yanatuama VIFAA Mfugaji ni lazima alenge kutumia vifaa imara na vya kudumu ili maradi kuhakikisha banda lina kaa mda mrefu SAKAFU Sakafu ya nyumba ya kuku inaweza kutengenezwa…
UJENZI WA MABANDA YA KUKU (new) I Mshindo Media
UJENZI WA MABANDA YA KUKU MANUFAA YA KUWAJENGEA KUKU BANDA LA KISASA 1. Hulinda kuku dhidi ya Hali mbaya ya Hewa 2. Huepusha kuku kudonoana 3. Huwa epusha kuku dhidi ya wezi na wanyama wakali 4. Huepusha kuku kuwa na huzuni ENEO Unapochagua eneo la kujenga banda la kuku, hakikisha kuwa banda hilo halitizami upepo unapotokea, ni lazima liwe karibu na nyumbani, na lisiwe sehemu ambayo maji yanatuama VIFAA Mfugaji ni lazima alenge kutumia vifaa imara na vya kudumu ili maradi kuhakikisha banda lina kaa mda mrefu SAKAFU Sakafu ya…
KUPUNGUZA MLIPUKO WA MAGONJWA KWA KUKU (new) I Mshindo Media
Bila kupoteza muda banda lakuku linalofaa linatakiwa liwe na yafuatayo:- Banda liruhusu hewa ya kutosha kuingia na kutoka pia mwanga wa kutosha.Kama umeezekea bati hakikisha pawe na miti karibu na banda ili irahisishe mzunguko wa hewa maana bati huchemka sana wakati wa mchana.*Lisiruhusu jua kupenya ndani ya banda wakati wa mchana.waweza weka kuta ndefu za banda ziwe mashariki magharibi.*weka majivu ndani ya banda au tumia dawa za kuua wadudu kama utitiri,siafu,utitiri waweza tumia Akheri powder,ultra vin,seven nk*banda walau liwe na kuta fupi zenye kina cha mita 1.8 KUPUNGUZA MLIPUKO WA…