Feeding Ration for Animal Maintainance (new) I Mshindo Media

Feeding of indigenous chicken is of importance in order to increase production of meat and eggs.A lack of feed and water will reduce resistance to disease, parasites and mortality. Under a free-range chicken production system with temporarily confinement during planting season and at night, you can supply grains, by-products of grains or tubers besides the green forage and seeds they collect during scavenging.With a variety of feeds (plants and insects), requirements for minerals, trace-elements and vitamins are likely to be met.Water should be available at all times.Young chicken should be fed…

Chakula cha ng’ombe wa maziwa (new)

CHAKULA CHA NG’OMBE KUONGEZA UZALISHAJI WA MAZIWA Wape ng’ombe wako lishe kamili, yenye nguvu, protini, na vitamin pamoja na maji ya kutosha. Kulisha ng’ombe kwa kutumia aina yoyote ya malisho haitoshi kukuhakikishia ng’ombe anakuwa na afya nzuri na kutoa maziwa ya kutosha. Kama ilivyo kwa binadamu, ng’ombe anahitaji mlo kamili. Malisho ni lazima yawe na uwiano sahihi wa viungo. Mifugo inahitaji chakula kitakachowapa nguvu, protini, madini, na vitamin ili kujenga miili yao, kuzalisha maziwa, na kuzaliana. Wanyama wadogo wanahitaji virutubisho vya kutosha, ili wakuwe na kuongeza uzito. Ng’ombe wa maziwa…