UTENGENEZAJI WA CHAKULA CHA KUKU (broilers)
Chakula hiki utengenewza kati namna ya kumsaidia kifaranga aweze kumeza vizuri na hivyo hutakiwa kuwa katika punje punje ndogo ndogo.
Hata kama utanunua pumba, ni vema kuzipitisha kwenye mashine ili ziwe laini zaidi.
Broiler starter
Aina ya vyakula Kiasi (kgs)
Unga wa dona wa nafaka kama mahindi au mtama 40
Pumba za mtama au mahindi au uwele 27
Mashudu ya alizeti au ufuta, au pamba au karanga n.k. 20
Unga wa mifupa au chokaa ya kuku (DCP) 2.25
Dagaa au mabaki ya samaki (sangara fish meal) 10
Chumvi ya jikoni 0.5
Virutubisho (Broiler premix) 0.25
Total 100kgs.
Chakula cha kumalizia (finishers)
Aina ya vyakula Kiasi (kgs)
Mahindi yaliyobarazwa au mtama au uwele 31
Pumba za mtama au mahindi au uwele 38
Mashudu ya alizeti au ufuta, au pamba au karanga n.k. 18
Unga wa mifupa au chokaa ya kuku (DCP) 2.25
Dagaa au mabaki ya samaki (fish meal) 13
Chumvi ya jikoni 0.5
Virutubisho (Broiler premix) 0.25Total 100kgs.
……………………………………………………………………………………………….