Banda Bora la Kuku (new) I Mshindo media

Banda bora la Kuku

Manufaa ya kuwajengea kuku banda la kisasa
1. Hulinda kuku dhidi ya Halimbaya ya Hewa
2. Huepusha kuku kudonoana
3. Huwa epusha kuku dhidi ya wezi na wanyama wakali
4. Heepusha kuku kuwa ha uzuni

ENEO
Unapochagua eneo la kujenga banda la kuku, hakikisha kuwa banda hilo halitizami upepo unapotokea, ni lazima liwe karibu na nyumbani, na lisiwe sehemu ambayo maji yanatuama

VIFAA
Mfugaji ni lazima alenge kutumia vifaa imara na vya kudumu ili maradi kuhakikisha banda lina kaa mda mrefu

SAKAFU
Sakafu ya nyumba ya kuku inaweza kutengenezwa kwa sementi endapo mfugaji ana uwezo, lakini ata sakafu ya udongo inafaa ili mradi tu water table isiwe karibu ili kuepusha unyevu unyevu kwenye matandiko 

MATANDIKO
Nilazima kuweka matandio katika sakafu ya banda la kuku. Sehemu ambayo kukuwakubwa wanaweza kutagia. Ni vizuri kutumia maranda, na si Pumba zinazo tokana na mbao
Kuku wanaweza kula pumba za mbao. Kwa kuku wanaohatamia, vipande vidogo na vilaini vya miti na makapi kama vile pumba za mpunga zinaweza kutumika

UWAZI
Banda la kuku nilazima liwe na uwezo wakipitisha Hewa muda wote na inapendeza zaidi hewa iweinapita kutoka nyuma kwenda mbele kwaiyo una takiwa kuwa makini kwenye ku Position banda lako
Kwa sehemu za joto uwazi ni lazima uwe mkubwa, lakini kwa sehemu zenye baridi sana wakaki wa usiku ni vizuri kufunika sehemu za wazi kwa kutumia magunia

MWANGA
Nilazima kuwe na mwanga wa kutosha, unaweza pia kutumia mabati ya kupitisha mwanga

Kwa upande wangu mm ndio najua hayo, kama unacha kuongezea una ruhusiwa

Share Now

Related posts