BAKTERIA KWA KUKU (new) I Mshindo Media

Bacteria Ni vimelea ambavyo havionekani kwa macho yakwaida , bakteria wengi uishi katika mimea na wanyama waliohai au waliokufa  Bakteria wanaosababisha homa upatikana katika miili ya kuku KUPITIA vinyesi vyao , mucus , chakula , maji  Aidha bakteria upatikana sehemu zenye mazingira machafu (unyevunyevu na joto)  Magonjwa muhimu yanayosabishwa na bakteria ni !  Homa kali ya matumbo  Kipindupindu cha kuku Kuhara Choo cheupe Mafua makali NB:Ni vema uhakikishe unakiga kuku wako DHIDI ya magonjwa ya bakteria kwa kusafisha banda na vyombo vya chakula Magonjwa mengi ya BAKTERIA uwa na dawa/tiba…

RATIBA ZA CHANJO KWA KUKU TOKA VIFARANGA (new) I Mshindo Media

 RATIBA ZA UTOAJI CHANJO Wakati wa kutayarisha mpango wa kuchanja kuku kwa ajili ya kinga dhidi ya magonjwa, kuna vipengele vikuu sita Ambavyo unatakiwa uvifahamu na kuvizingatia. Vipengele hivyo ni kama ifuatavyo: 1. Vifaranga vinavyoanguliwa kwa pamoja: Iwapo una kundi zaidi ya moja la vifaranga wanaoanguliwa, Weka utaratibu wa chanjo ambao utapunguza uwezekano wa magonjwa kuenea shambani. Hivyo basi, Hakikisha vifaranga na kuku wote wanapata chanjo kwa pamoja. 2. Umri wa kuchanja kuku: Kwa kuku ambao wanatarajiwa kutaga mayai au kuwa kuku wazazi, chanjo nyingi hutolewa si zaidi ya mwezi…

Mbinu za Utunzaji wa Vifaranga vya Kuku (new)

Kuna vitu vya msingi katika uleaji wa vifaranga vya kuku. Uleaji huu hutofautiana kati ya vifaranga wa kuku wa mayai, kienyeji na kuku wa nyama katika chakula na chanjo kwa ujumla MATAYARISHO ·         Banda liwe imara kuepuka wizi na wanyama wasumbufu kama ngoja, paka, mbwa, mwewe, na kecheche. ·         Banda liwe linaweza kuingiza hewa ya kutosha na kavu isiyo na unyevunyevu. ·         kabla ya kuingiza safisha banda nje na ndani kwa kutumia dawa ya kuua vijidudu vya magonjwa. Paka chokaa kuta za ndani na hakikisha banda haliwi na joto Kali, baridi kuingiza, mbua…

Vifaranga kutoka Brooder mpaka wakubwa (new) I Mshindo Media

Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kulea vifaranga yameorodheshwa na kuelezewa kwa kina hapa chini.BANDA BORAVifaranga hawahitaji eneo kubwa sana katika majuma manne ya kwanza. Nafasi inayohitajika kwa kukadiria ni meta 1 ya mraba kwa vifaranga 16.Kwa mfano nyumba yenye meta 10 za mraba inatosha kutunzia vifaranga 160 hadi wanapofikisha umri wa majuma manne. Vipimo vya nyumba yenye eneo kama hili inaweza kuwa na hatua 5 kwa 4. Utajenga banda kutegemea na eneo ulio nalo. VYOMBO KATIKA NYUMBA YA KULELEA VIFARANGA(1) KITALU/BROODER/BRUDA:Bruda ya kukuzia vifaranga inatakiwa iwe ya mduara isiyopinda mahali…

JINSI YA KULEA VIFARANGA VYA KUKU (new) I Mshindo media

JINSI YA KULEA VIFARANGA VYA KUKU Karibu mpenzi msomaji wa MSHINDO MEDIA , leo hii napenda kuwaletea soma la jinsi ya kulea vifaranga vya kuku, hivyo tusiache kua nasi ili kujifunza mengi zaidi. Na tutaanza na jinsi ya kujenga nyumba ya vifaranga, hivyo ukitaka kujenga nyumba ya vifaranga nilazima uzingatie yafuatayo. Nyumba ya vifaranga nilazima ijengwe karibu na nyumba ya muangalizi hii ni kwaajiri ya kuweza kuwa karibu kwa uangalizi zaidi. Nyumba ijengwe hatua 20 au zaidi mbali na nyumba ya kuku wakubwa hii nikwaajili ya kupunguza maambukizi ya magonjwa. Nyumba ya vifaranga…

MAMBO YA KUZINGATIA KWA VIFARANGA SIKU 30 MPAKA 60 (new) I Mshindo Media

………………………………….. 🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓  Yapo mambo muhimu ya kuzingatia siku  za mwanzo kwa vifaranga wako ili wakue vyema na kukuletea matokeo chanya.  ✔️ Banda liwe Safi na liwe linatosha kwa vifaranga kulingana na square meters pendekezwa.  Wasibanane kwani huweza kuleta ukuaji usio sawia na kupelekea vifaranga  🐓 kudumaa . 🐓kudonoana hovyo . 🐓kulaliana . 🐓kuambukizana. magonjwa kirahisi.  ✔️Chakula kiwe bora na chenye virutubisho vyote muhimu kwa vifaranga kama vile protin, wanga, carbohydrates nk   Pia kiwe na madini ya kutosha kama vile DCP, Chokaa, mifupa nk,  Epuka kujichanganyia Chakula kiholela kwani inaweza kupelekea…

Uleaji wa vifaranga vya kuku (new)

SOMO:KULEA VIFARANGA Unayapata hapa kupitia Website yako pendwa Hapa SEHEMU YA 1: BANDA BORA LA VIFARANGA Habari ya uzima ndugu mfugaji! Huu ni mwanzo wa somo la kulea vifaranga , tutajifunza ujenzi wa banda la vifaranga, vitu vya muhimu katika banda la vifaranga, kujiandaa kupokea vifaranga, chanjo na dawa, sababu za vifo kwa vifaranga , lishe bora kwa vifaranga, na jinsi ya kudhibiti vifo nk. Mwanzo huu ,sehemu ya kwanza tutajifunza ujenzi wa banda la vifaranga/ vitu vya muhimu katika banda la vifaranga Nyumba Ya Kulelea Vifaranga Ukipenda kujenga nyumba ya vifaranga itafaa…