MAGONJWA YA NG’OMBE. Sifa za mnyama mwenye afyai. Mchangamfu wakati wote macho maang’avu huku mkia na masikio vikimsaidiakufukuza inziii. Kula na kucheua, kunywa maji vizuri kila sikuiii. Kuonyesha ushirikiano na kutembea pamoja kwenye kundiiv. Kutembea vizuriv. Anastuka na kukimbia anapostuliwa na mnyama hatari anapomkaribia kama vilembwa mwitu, fisi, chui, simba.vi. Mwili wake una uwezo mkubwa wa kukibadili chakula anachokula kutoa mazao yakutosha kama vile maziwa.vii. Anaonekana mwenye nguvu na kwa wale wanaoendelea kukuna wanaongezekauzito kwa muda mfupiviii. Kwa mnyama anayekamuliwa mara kwa mara kupiga kelele za kumtafuta mtotowake,kiwele huwa kimejaa…