Enzymes are proteins that help speed up metabolism, or the chemical reactions in our bodies,They build some substances and break others down. All living things have enzymes. Our bodies naturally produce enzymes. But enzymes are also in manufactured products and food. An enzyme is a biological catalyst and is almost always a protein. It speeds up the rate of a specific chemical reaction in the cell Several types of enzymes are commonly used in poultry feeding programmes, either individually or in combination. Each enzyme has a specific role in feed digestion: Enzymes Composition…
Day: January 16, 2024
Chakula Bora cha Ng’ombe wa Maziwa (new)- Mshindo Media.
Wape ng’ombe wako lishe kamili, yenye nguvu, protini, na vitamin pamoja na maji ya kutosha. Kulisha ng’ombe kwa kutumia aina yoyote ya malisho haitoshi kukuhakikishia ng’ombe anakuwa na afya nzuri na kutoa maziwa ya kutosha. Kama ilivyo kwa binadamu, ng’ombe anahitaji mlo kamili. Malisho ni lazima yawe na uwiano sahihi wa viungo. Mifugo inahitaji chakula kitakachowapa nguvu, protini, madini, na vitamin ili kujenga miili yao, kuzalisha maziwa, na kuzaliana. Wanyama wadogo wanahitaji virutubisho vya kutosha, ili wakuwe na kuongeza uzito. Ng’ombe wa maziwa wanahitaji virutubisho zaidi ili kuweza kuzalisha maziwa…
FAHAMU AINA YA NG’OMBE BORA WA MAZIWA (new)
Fahamu ni aina gani ya ng’ombe wa maziwa ni bora zaidi kufuga kwa lengo la kuzalisha. Uzalishaji wa maziwa ni biashara nzuri sana na ya kuvutia ambayo huwa na faida nyingi na humfanya mfugaji kuridhika hasa kwa yule anayependa kazi hii. Hata hivyo, ni lazima kuanza kwa kuweka msingi imara hata kabla ya kufikiria ni aina gani ya mbegu utaichukua kwa ajili ya kufuga. Ni vizuri kufahamu kuwa, usimamizi ni moja ya jambo muhimu sana ambalo likifanyiwa uzembe linaweza hata kumbadilisha ng’ombe wa maziwa kuwa na uzalishaji duni kama ngo’mbe…
UGONJWA WA MAFUA YA KUKU I Mshindo Media (new)
#UFAHAMU UGONJWA WA MAFUA YA KUKU Ni ugonjwa unaoitwa infectious coryza huenezwa na bacteria. anaeitwa (hemophilus paragallinarum). Ugonjwa huu hushambulia kuku aina zote. Na usipo kuwa makini kwenye usafi wa banda na vyombo , kuruhusu watu kuingia ovyo bandani au kuku wa jirani kuja kuingia kwenye banda lako; ugonjwa huu unaweza shambulia kuku wako kwa kila wiki. #DALILI ZA UGONJWA HUU _Kuvimba uso chini na nyuma ya macho. _Kupumua kwa shida na kukoroma _Kutoka makamasi puani, _ Mdomoni kuwa na hali ya mterezo _Macho kuvimba _Kushindwa kula. _Kupiga chafya ,…
Ufugaji Bora wa Kuku wa Kienyeji/asili (new)
KUKU WA ASILI Ufugaji wa kuku wa asili ni nyenzo muhimu katika kupambana na wimbi la umasikini kwa kuongeza kipato cha kaya. Hata hivyo, pamoja na soko la uhakika, bado ufugaji kuku haujaweza kutumika ipasavyo kupambana na umaskini unaowakabili Watanzania wengi. Ni mazoea kwa jamii nyingi hapa Tanzania kufuga kuku wa asili kama sehemu ya mila na desturi zao. Kuku wa asili amekuwa akifugwa bila ya kupatiwa huduma muhimu kama makaazi bora, chakula cha ziada, tiba, kinga za magonjwa mbali mbali. Muhtasari huu unatoa muongozo wa ufugaji wa kuku wa…
Fahamu zaidi ufugaji wa mbuzi (new) I Mshindo Media
Mbuzi na kondoo ni wanyama ambao wanaweza kufugwa kwa gharama nafuu pia ni wavumilivu wa ukame na maradhi tofauti na ngo’mbe kwa kua wana umbile dogo wanaweza kufugwa katika eneo dogo na nguvu kazi ndogo na hata kwa wenye kipato kidogo. Katika makala hii Mkulima Mbunifu inangazia kuhusu ufugaji wa Mbuzi. Makala kama hii inaweza kua umeshasoma, ila kwaajili maombi ya wasomaji wa jarida hili tutatilia mkazo uzalishaji, ukuzaji na lishe. Uzalishaji Mbuzi wenye afya huingia joto mara kwa mara, na huweza kuwa na watoto wapatao watatu kila baada ya miaka miwili.…
MUHTASARI WA UFUGAJI KUKU I Mshindo Media (new)
1: Maandalizi ya banda la kuku, Fagia, deki kwa maji, pulizia dawa/disinfection (Th4, V rid,Farm guard nk). Acha banda likae zaidi ya siku 7 baada ya kutoa kuku wakubwa kabla ya kuingiza kuku wengine. Andaa vifaa vyote muhimu kwa ajili ya kupokea kuku wapya vikae bandani angalau siku 3 kabla ya kupokea vifaranga. Andaa sehemu ya kulelea vifaranga, weka vyanzo vya joto tayari kabla vifaranga hawajafika(Usikurupuke kuweka wakati vifaranga wameshafika). 2: Maandalizi ya chakula na maji Hakikisha maji, chakula kwaajili ya kuku wako yapo bandani au sehemu ya karibu muda…
UFUGAJI BORA WA SAMAKI I Mshindo Media (new)
MBINU MUHIMU WAKATI WA UANZISHAJI UFUGAJI WA SAMAKI SIFA ZA ENEO LA KUFUGIA SAMAKI UTENGENEZAJI WA BWAWA LA SAMAKI Zipo namna mbalimbali za utengenezaji wa bwawa la samaki, kulingana na aina ya bwawa lenyewe, Hali ya uchumi, wingi wa samaki watakaofugwa pamoja na aina ya samaki watakaofugwa.Zifuatazo ni Aina za mabwawa ya kufugia samaki. 1.Bwawa la kuchimba udongo bila kujengea “Earthen Pond”. UANDAAJI NA UPANDIKIZAJI WA VIFARANGA AU MBEGU ZA SAMAKI KATIKA BWAWA LAKO Kabla ya kuvisafirisha vifaranga kutoka kwenye bwawa wanaloishi ni vema vikatolewa na kuwekwa kwenye vibwawa vidogo…