AFRICAN SWINE FEVER/HOMA YA NGURUWE I Mshindo Media

Homa ya nguruwe (African swine fever) ni ugonjwa unaosababisha vifo vingi kwa nguruwe duniani kote. ugonjwa huu unasambaa kwa haraka sana. Dalili za ugonjwaUgonjwa huu hushambulia na kuvuruga mfumo wa mzunguko wa damu, njia ya kupitisha chakula na njia ya kupumulia. unaweza kuziona dalili zake kuanzia siku tano hadi kumi na tano. Ugonjwa ukiwa mkali sana nguruwe wanaweza kufa hata kabla ya ugonjwa kuonekana.  Dalili za haraka ni nguruwe kukosa hamu ya kula na kupata homa kali kwa bahati nzuri mfugaji wa nguruwe anaweza kugundua vifo vya ghafla kwenye nguruwe…

Nguruwe: Magonjwa Yanayoshambulia Nguruwe na Tiba Zake

Magonjwa yanayoshambulia nguruwe yana tiba pia ni mengi kama ilivyo kwa wanyama wengine yanavyotokea lakini kuna magonjwa katika ufugaji wa nguruwe lazima uyajue pamoja na tiba zake kwakua ndio yanayo jitokeza mara kwa mara ANAPHRODISIAS Pale nguruwe anaposhindwa kuingia kwenye joto.hapa nguruwe anakua haingii kwenye joto hii inaweza kusababishwa Na uzito mdogo kutokana na kuwalisha chakula kisicho tosha au kisicho na virutubisho, uzito ulio zidi, upungufu wa madini, minyoo kwenye utumbo, magonjwa sugu. LEPTOSPIROSIS Dalili ya ugonjwa huu ni homa, kuhara,kukojoa damu na kupolomosha mimba kwa hatua ya mwisho na…

ZIJUE DALILI ZA MNYAMA MGONJWA I Mshindo media

Mnyama mgonjwa hutambulika kwa dalili kuu zifuatazo: Badiliko la tabia â€“ Mnyama mgonjwa hana uchangamfu. Wanyama wengine huwa wakali hawapendi kusogelewa, hulia ovyo ovyo. Kama ni mbwa hubweka kupita kiasi.Mwenendo â€“  Kutembea bila mpangilio, kupenda kulala chini, kulala chini bila kuamka, huchechemea au kuvuta miguu, kukimbia ovyo bila kufukuzwa ZIJUE DALILI ZA MNYAMA MGONJWAHali ya mwili –  Kudhoofu/Kukosa nguvu, Kukonda: mbavu, mifupa kuonekana, manyoya kunyooka au kusimama.Ulaji wa chakula –  Kupungua kwa hamu ya kula, Kutotaka kula kabisa (Anorexia) Kula vitu visivyo vya kawaida, kama mifupa, udongo, manyoya (Kuku) watoto wadogo. Kutapika mara kwa…