DAWA ZA ASILI ZA KUTIBU MAGONJWA TOFAUTI YA KUKU (new) I Mshindo Media

DAWA ZA ASILI ZA KUTIBU MAGONJWA TOFAUTI YA KUKU
Zipo dawa tofauti za asili zinazopatikana kirahisi kwenye mazingira ya vijijini ambazo zina uwezo wa kutibu magonjwa ya kuku. Katika mada hii taelezea baadhi ya dawa hizo.

Dawa ya kutibu Homa ya Matumbo “Fowl Typhoid” ni Kitunguu swaumu

Kuandaa
•Chukua robo kilo ya vitunguu swaumu
•toa maganda.
•Kisha twanga
•changanya na maji kiasi cha lita moja
•chuja na kuwapa maji yake kwa muda wa juma moja.
……………………………………………………………………………………………………………………………………….

Share Now

Related posts