Ushawahi kujiuliza Ama kusikia mtu akisema, “ Mbona nimechanja na Kuku wangu bado wakaugua na Kufa!”Ama Mganga/Daktari analaumiwa “Mbona Mbwa/paka wangu ameugua na Chanjo ulitoa?” Kabla ya kupata hayo majibu tujiulize kwanza CHANJO ni NINI? Chanjo ni maandalizi ya kibailojia ambayo hutoa kingamwili(ulinzi) dhidi ya ugonjwa fulani, Kinga hiyo huwa ya Muda fulani au Maisha yote. Chanjo kwa kawaida ni vijidudu(Antigen) hai ama mfu ambavyo vinavyosababisha ugonjwa huo ila huwa Vimefubaishwa ili kutokuleta madhara katika mwili na hutolewa katika kiwango ambacho huweza kuamsha kinga ya mwili dhidi ya ugonjwa husika.Mfano.…
Day: January 17, 2024
Dume Bora kwa Uzalishaji Ng’ombe wa Maziwa (new) I Mshindo Media.
Dume Bora kwa Ufugaji Ng’ombe wa Maziwa. Tunaangalia uchaguzi wa dume mzuri kwa uzalishaji wa ng’ombe wa maziwa, pamoja na aina ya malisho ambayo mfugaji anaweza kuyatumia kuweza kukabiliana na changamoto ya malisho kwa ng’ombe. Wafugaji wengi wamekuwa wakipata ng’ombe wanaozalisha kidogo na kwa kiwango cha chini kutokana na kuangalia ukubwa wa gharama ya mbegu wakidhania kuwa ndiyo upatikanaji wa ng’ombe bora. Vinasaba husaidia kwa kiwango kikubwa katika kupata ng’ombe mzuri wa maziwa. Kuwepo kwa ongezeko la uzalishaji wa maziwa hutegemeana na vitu viwili ambavyo ni kuboresha mifugo kwa kufanya…
Umuhimu wa Chanjo kwa Mifugo (new) I Mshindo Media.
Umuhimu wa Utoaji Chanjo kwa Mifugo: Tiba au kinga kwa chanjo iligunduliwa na mwanasayansi mwingereza, Bw. Edward Jenner ambaye katika karne ya 18 aligundua kwamba wahudumu wa ng’ombe katika maeneo fulani hawakupatwa na ugonjwa wa ndui (Small pox) kwa vile ng’ombe hao walikuwa na ugonjwa wa ndui ya ng’ombe (Cowpox).– Chanjo siyo dawa kama antibiotic, sulphonamate na kadhalika, bali ni ‘’mkorogo’’ maalum wenye vijidudu (microorganisms) ambavyo husababisha ugonjwa husika, lakini vimepunguzwa ukali wake kusudi visilete madhara kwa mtu au mnyama aliyechanjwa.– Chanjo husababisha mwili wa mnyama kuandaa ’’askari’’ waitwao antibodies…
MWONGOZO WA KUKU WA MAYAI (new) I Mshindo Media
MWONGOZO WA KUKU WA MAYAI. 👉Kuku wa mayai, hawa ni kuku ambao vinasaba vyao huwawezesha kutaga mayai mengi kwa muda watakao fugwa Zipo aina nyingi za kuku wa mayai hapa nitataja baadhi 👆Hy-line, Isa brown, Bavon brown, Lohman brown, Rhode Island n.k Yapo mambo kadhaa ya kuzingatia kwa kuku wa mayai 👏ENEO 👉Idadi ya kuku kwa mita moja mraba ni kuku 7-8 ndio inayo shauriwa sana kitaalamu kwa ukuaji na kuzunguka 👉Vyombo vya chakula na maji Belly drinker 1 kuku 60-80 Chicken /feeder drinker kubwa Lita 20 kuku 50-60 Chicken drinker/feeder…
UFUGAJI WA BROILERS/ KUKU WA NYAMA (new) I Mshindo Media
MWONGOZO WA UFUGAJI WA KUKU WA NYAMA/BROILERS Biashara ya kuku imejikita katika uwanja mpana sana kwa kutegemea aina za kuku, kwa maeneo mengi ya mjini Kuku wa nyama wamekua wakiuzika sana Japo kwa bei isiyo rafiki kwa mfugaji 👉Kwa maeneo mengi wafugaji wamekua wakifuga wakitarajia kuuza kuku kuanzia siku ya 28-30, au kama watachelewa sana basi wasizidi siku 35, japo wapo wengine ambao huuza mapema zaidi ya hapo au kwa kuchelewa kutokana na sababu tofauti tofauti. 👆Mambo ya kuzingatia ili broilers waweze kukua ipasavyo. 👉 Chakula 👆Kwa ukuaji wa haraka wa…
HIZI NDIZO DAWA ZA ASILI KWA KUKU (new) I Mshindo Media
Madawa ya Asili yatokanayo na Mimea yanayosaidia katika Tiba na Kinga za Maradhi mbalimbali ya Kuku . Sehemu za mimea zinaweza kuwa: Majani, Magome, Mbegu, Maua au Matunda . Umuhimu wa kutumia tiba zenye asili ya mimea: • Hupatikana kwa urahisi. • Ni rahisi kutumia. • Gharama nafuu. • Zinatibu vizuri zikitumika vizuri • Hazina madhara. C. Baadhi ya Mimea inayotibu Maradhi ya Kuku: 1. Mwarobaini (Majani, Mizizi, Magome): Hutibu magonjwa yafuatayo: • Typhoid. • Kuzuia Kideri. • Kuhara. • Mafua. • Vidonda. 2. Shubiri Mwitu (Aloe vera): Chukua majani…
Njia tofauti za kufuga kuku. Faida Na Hasara Zake (new) I Mshindo Media
Mambo yanayomfanya mfugaji kuamua atumie njia fulani ya kufuga ni pamoja na uwezo wa kugharamia shughuli ya ufugaji wa kuku na ukubwa wa eneo alilonalo la kufugia. Katika sehemu hii utajifunza njia tatu za kufuga kuku ambazo ni: 1. Kufuga huria Kuku huachwa wenyewe kujitafutia chakula na maji. Njia hii inatumika zaidi kufuga kuku wa kienyeji. Mara chache sana mfugaji huwapatia kuku chakula cha ziada. Kwa ufugaji huu lazima kuwe na eneo kubwa la kutosha kuku kuzunguka na kutafuta chakula. Kuku hulala eneo lisilo rasmi kama vile jikoni, kwenye kiambata n.k.…
JINSI YA KULEA VIFARANGA (new) I Mshindo Media
SOMO:KULEA VIFARANGAUnayapata hapa kupitia Website yako pendwa Hapa SEHEMU YA 1: BANDA BORA LA VIFARANGA Habari ya uzima ndugu mfugaji! Huu ni mwanzo wa somo la kulea vifaranga , tutajifunza ujenzi wa banda la vifaranga, vitu vya muhimu katika banda la vifaranga, kujiandaa kupokea vifaranga, chanjo na dawa, sababu za vifo kwa vifaranga , lishe bora kwa vifaranga, na jinsi ya kudhibiti vifo nk. Mwanzo huu ,sehemu ya kwanza tutajifunza ujenzi wa banda la vifaranga/ vitu vya muhimu katika banda la vifaranga. Nyumba Ya Kulelea Vifaranga Ukipenda kujenga nyumba ya vifaranga itafaa ujue …
ULEAJI WA VIFARANGA WA KIENYEJI KWA NJIA YA KISASA (new)
UFUGAJI WA KUKU JINSI YA KUTUNZA VIFARANGA WIKI 1-5 Kuku ni ndege wafugwao na binadamu wengi kwa ajiliya matumizi mbalaimbali ya binadamu. Mara nyingi hutumika kwa ajili ya kitoweo na kwa biashara pia. Wafugaji wengi hupenda kufuga kuku maana ni mwepesi kumtunza na hana garama kubwa za utunzaji ukilinganisha na wanyama wengine wafugwao. leo tutaangali jinsi ya kuwalea vifaranga had wafae kuwa kuku wakubwa; Nyumba ya vifaranga; nyumba ya vifaranga inatakiwa kuwa karibu na nyumba ya kuishi ili uweze kuwaangalia vifaranga kwa ukaribu zaidi, ijengwe kwenye sehemu iliyotulia kulingana na…