VIOTA VYA KUKU /chicken nest (new) I Mshindo Media

Kiota ni sehemu ambayo kuku utaga mayai , kuatamia na kutotoa VIFARANGA

Aina za viota (type of nest)

1.Kiota kilichotengenezwa na kuku mwenyewe 

Ambapo kuku mwenyewe uchagua mahali pa kutagia na kuhifadhi mayai2.Kiota kilichoandaliwa na MFUGAJI

Aina ya viota hivi uandaliwa na MFUGAJI katika njia stahiki ili kuweza kupata mazao imara

MAHITAJI  YA MUHIMU KATIKA KIOTA

Boksi la karatasi

Mbao 

Nyasi 

Nguo ya Aina pamba

Ukubwa wa KIOTA inatakiwa uwe unamwezesha kukaa na kujigeuza 

Hii maana yake ni inatakiwa uwe na sentimita 35 upana sentimita 35 na urefu sentimita 35

…………………………………………………………………………………………………….

Share Now

Related posts