MAGONJWA YA MIFUGO (WANYAMA) HATARISHI KWA AFYA YA BINAADAMU :
Zoonotic Diseases: Disease Transmitted from Animals to Humans. A zoonosis (zoonotic disease or zoonoses -plural) is an infectious disease that is transmitted between species from animals to humans (or from humans to animals)
Vijidudu vingi viletavyo magonjwa ni Host specific yaani husababisha aina moja au mbili ya wanyama kama Theileria parva: ng’ombe tu na cowdria ruminantia: wanyama wote wanaokula majani (ruminants)
Vijidudu vingine huleta athari kwa kundi (makundi) kubwa la wanyama akiwemo binaadamu kama vile Salmonella sp Escherichia coli na Mycobacyterium tuberculosis
Yafuatayo ni baadhi ya magonjwa (Vijidudu) ya mifugo (wanyama) ambayo pia huwashambulia binadamu
UGONJWA | CHANZO | HUENEZWA NA | UGONJWA KWA BINADAMU | JINSI YA KUEPUKA | |
1 | Kimeta (Anthrax) | Wanyama wenyevijidudu | Nyama ya mzoga/ wagonjwa | – Homa– Kuharisha– Vifo | Kutokula mizoga na wanyama wagonjwa |
2 | Beef measlep (Tapeworms,tegu) | Wanyama wenyevijidudu | Nyama | – Tegu (Tapeworms) | – Nyama ikaguliwe– Nyama ichemshwe na iokwe vizuri |
3 | Rabies (Kichaa cha umbwa) | Wanyama wenyevijidudu | Kuumwa na mbwa wenye kichaa | – Hydrophobia– Paralysis | Chanjo kwa mbwa |
4 | Echinococcus-Tegu mbwa (tapeworms) | Wanyama wenyevijidudu | Mayai kupitia mikononi, chakula | – Hydrated disease– Kuvimba ini, macho– Kuharibika ubongo | – Mbwa wapewe dawa za minyoo– Kuondoa kinyesi cha mbwa mara moja |
5 | Salmonellosis | Vijidudu kwenye nyama, mayai na maji vijiduduKwenye nyama, mayai namaji | – Typhoid | – Kujiepusha kula mayai kutoka pathogen free flocks– Usafi wa mayai– Meat inspection | |
6 | Colibacillosis | Vijidudu kwenye maji, vinyesi vya wanyama | – Kuharisha | – Kuchemsha maji, maziwa | |
7 | Mastitis (Kuvimba chuchu) | Kunywa maziwa | – Scarlet fever (Soar throat)– Mafundofundo shingoni | – Kuchemsha maziwa | |
8 | Brucellosis (kutupa mimba) | Kunywa maziwa | – Homa ya vipindi– undulated fever– Malta disease | – Kuchemsha maziwa | |
9 | Homa ya kasuku (Parrotfever) Avian chemydian | Kuvuta hewa | – Pneumonia– Kuharibu mimba (wanawake) | – Kuvaa nose musk wakati wa huduma |