RATIBA ZA CHANJO KWA KUKU TOKA VIFARANGA (new) I Mshindo Media

 RATIBA ZA UTOAJI CHANJO Wakati wa kutayarisha mpango wa kuchanja kuku kwa ajili ya kinga dhidi ya magonjwa, kuna vipengele vikuu sita Ambavyo unatakiwa uvifahamu na kuvizingatia. Vipengele hivyo ni kama ifuatavyo: 1. Vifaranga vinavyoanguliwa kwa pamoja: Iwapo una kundi zaidi ya moja la vifaranga wanaoanguliwa, Weka utaratibu wa chanjo ambao utapunguza uwezekano wa magonjwa kuenea shambani. Hivyo basi, Hakikisha vifaranga na kuku wote wanapata chanjo kwa pamoja. 2. Umri wa kuchanja kuku: Kwa kuku ambao wanatarajiwa kutaga mayai au kuwa kuku wazazi, chanjo nyingi hutolewa si zaidi ya mwezi…

Mbinu za Utunzaji wa Vifaranga vya Kuku (new)

Kuna vitu vya msingi katika uleaji wa vifaranga vya kuku. Uleaji huu hutofautiana kati ya vifaranga wa kuku wa mayai, kienyeji na kuku wa nyama katika chakula na chanjo kwa ujumla MATAYARISHO ·         Banda liwe imara kuepuka wizi na wanyama wasumbufu kama ngoja, paka, mbwa, mwewe, na kecheche. ·         Banda liwe linaweza kuingiza hewa ya kutosha na kavu isiyo na unyevunyevu. ·         kabla ya kuingiza safisha banda nje na ndani kwa kutumia dawa ya kuua vijidudu vya magonjwa. Paka chokaa kuta za ndani na hakikisha banda haliwi na joto Kali, baridi kuingiza, mbua…

Vifaranga kutoka Brooder mpaka wakubwa (new) I Mshindo Media

Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kulea vifaranga yameorodheshwa na kuelezewa kwa kina hapa chini.BANDA BORAVifaranga hawahitaji eneo kubwa sana katika majuma manne ya kwanza. Nafasi inayohitajika kwa kukadiria ni meta 1 ya mraba kwa vifaranga 16.Kwa mfano nyumba yenye meta 10 za mraba inatosha kutunzia vifaranga 160 hadi wanapofikisha umri wa majuma manne. Vipimo vya nyumba yenye eneo kama hili inaweza kuwa na hatua 5 kwa 4. Utajenga banda kutegemea na eneo ulio nalo. VYOMBO KATIKA NYUMBA YA KULELEA VIFARANGA(1) KITALU/BROODER/BRUDA:Bruda ya kukuzia vifaranga inatakiwa iwe ya mduara isiyopinda mahali…

JINSI YA KULEA VIFARANGA VYA KUKU (new) I Mshindo media

JINSI YA KULEA VIFARANGA VYA KUKU Karibu mpenzi msomaji wa MSHINDO MEDIA , leo hii napenda kuwaletea soma la jinsi ya kulea vifaranga vya kuku, hivyo tusiache kua nasi ili kujifunza mengi zaidi. Na tutaanza na jinsi ya kujenga nyumba ya vifaranga, hivyo ukitaka kujenga nyumba ya vifaranga nilazima uzingatie yafuatayo. Nyumba ya vifaranga nilazima ijengwe karibu na nyumba ya muangalizi hii ni kwaajiri ya kuweza kuwa karibu kwa uangalizi zaidi. Nyumba ijengwe hatua 20 au zaidi mbali na nyumba ya kuku wakubwa hii nikwaajili ya kupunguza maambukizi ya magonjwa. Nyumba ya vifaranga…

MAMBO YA KUZINGATIA KWA VIFARANGA SIKU 30 MPAKA 60 (new) I Mshindo Media

………………………………….. 🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓  Yapo mambo muhimu ya kuzingatia siku  za mwanzo kwa vifaranga wako ili wakue vyema na kukuletea matokeo chanya.  ✔️ Banda liwe Safi na liwe linatosha kwa vifaranga kulingana na square meters pendekezwa.  Wasibanane kwani huweza kuleta ukuaji usio sawia na kupelekea vifaranga  🐓 kudumaa . 🐓kudonoana hovyo . 🐓kulaliana . 🐓kuambukizana. magonjwa kirahisi.  ✔️Chakula kiwe bora na chenye virutubisho vyote muhimu kwa vifaranga kama vile protin, wanga, carbohydrates nk   Pia kiwe na madini ya kutosha kama vile DCP, Chokaa, mifupa nk,  Epuka kujichanganyia Chakula kiholela kwani inaweza kupelekea…

Uleaji wa vifaranga vya kuku (new)

SOMO:KULEA VIFARANGA Unayapata hapa kupitia Website yako pendwa Hapa SEHEMU YA 1: BANDA BORA LA VIFARANGA Habari ya uzima ndugu mfugaji! Huu ni mwanzo wa somo la kulea vifaranga , tutajifunza ujenzi wa banda la vifaranga, vitu vya muhimu katika banda la vifaranga, kujiandaa kupokea vifaranga, chanjo na dawa, sababu za vifo kwa vifaranga , lishe bora kwa vifaranga, na jinsi ya kudhibiti vifo nk. Mwanzo huu ,sehemu ya kwanza tutajifunza ujenzi wa banda la vifaranga/ vitu vya muhimu katika banda la vifaranga Nyumba Ya Kulelea Vifaranga Ukipenda kujenga nyumba ya vifaranga itafaa…

Jinsi ya kulea vifaranga/kuku wa kienyeji (new) I Mshindo Media

MAFUNZO MBALI MBALI RAHISI NA HALISI KWA MFUGAJI  ULISHAJI 👉Lisha kuku muda mmoja kila siku, usibadilishe badilishe ratiba 👉Usibadilishe badilishe chakula 👉Usiwapunje wala kuzidisha chakula 👉Wawekee vyombo vya kutosha 👉Maji yawepo muda wote 👉Vyombo vya maji visafishwe kila siku   UOKOTAJI WA MAYAI  👉Panga ratiba maalumu ya kuokota mayai, mfn SAA 7:30/Am, saa 10:30 Am, saa 1:30 Pm, saa 4:30 Pm, funga report. 👉Safisha viota vya kuku, kuondoa vinyesi kila asubuhi na ongeza matandazo mayai yasipasuke 👉Okota mayai na yaweke kwenye Trey upande uliochongoka utazame chini, na upande butu uwe juu 👉Weka mayai sehemu salama isiyo na joto jingi 👉Mayai ya kutotolesha…

KANUNI SAHIHI YA ULEAJI WA VIFARANGA VYA KUKU (new)

Habari za wakati huu ndugu wasomaji na wafuatiliaji wa blog yetu,leo tutaangalia namna ya kulea vifaranga. Zifutazo ni hatua mbali mbali za maandalizi na mapokezi ya vifaranga. 1.MAANDALIZI YA BANDA Banda ni jambo la kwanza kwa mfugaji yoyote.banda la kuku huweza kujengwa kwa matofali,mbao,au hata miti na matope. mfano wa banda la matofali lenye dirisha kubwa. Banda la kuku linatakiwa liwe safi wakati wote. 1.Sifa za banda la kuku Lipitishe mwanga wa kutosha Lisiwe na nafasi ya wadudu hatari na hata wanyama kupita Liwe karibu na makazi ya mfugaji Sakafu…

KULEA VIFARANGA VYA KUKU (new)

MFUGAJI KARIBU KATIKA SOMO HILI LA LEOMambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kulea vifaranga yameorodheshwa na kuelezewa kwa kina hapa chini. BANDA BORAVifaranga hawahitaji eneo kubwa sana katika majuma manne ya kwanza. Nafasi inayohitajika kwa kukadiria ni meta 1 ya mraba kwa vifaranga 16. Kwa mfano nyumba yenye meta 10 za mraba inatosha kutunzia vifaranga 160 hadi wanapofikisha umri wa majuma manne. Vipimo vya nyumba yenye eneo kama hili inaweza kuwa na hatua 5 kwa 4. Utajenga banda kutegemea na eneo ulio nalo. VYOMBO KATIKA NYUMBA YA KULELEA VIFARANGA (1) KITALU/BROODER/BRUDA:Bruda ya…

HATUA ZA KULEA VIFARANGA (new) I Mshindo Media

Habari ya uzima ndugu mfugaji! Huu ni mwanzo wa somo la kulea vifaranga , tutajifunza ujenzi wa banda la vifaranga, vitu vya muhimu katika banda la vifaranga, kujiandaa kupokea vifaranga, chanjo na dawa, sababu za vifo kwa vifaranga , lishe bora kwa vifaranga, na jinsi ya kudhibiti vifo nk. Mwanzo huu ,sehemu ya kwanza tutajifunza ujenzi wa banda la vifaranga/ vitu vya muhimu katika banda la vifaranga. Nyumba Ya Kulelea Vifaranga Ukipenda kujenga nyumba ya vifaranga itafaa ujue  yafuatayo:-  _ Nyumba ya vifaranga iwe karibu na nyumba yako mwenyewe ili…

CHAKULA CHA VIFARANGA WA KIENYEJI (new) I Mshindo Media

JINSI YA KUCHANGANYA CHAKULA CHA VIFARANGA  WA KIENYEJI   MIEZI MIWILI YA MWANZO. Unga wa dona wa nafaka kama mahindi au mtama 40kg Pumba za mtama au mahindi au uwele 27kg Mashudu ya alizeti au ufuta, au pamba au karanga n.k. 20kg Unga wa mifupa au chokaa ya kuku (DCP) 2.25kg Dagaa au mabaki ya samaki (sangara fish meal) 10kg Chumvi ya jikoni 0.5 Virutubisho (Broiler premix) 0.25 JUMLA = 100kgs. Huu mchanganyiko ni wa vifaranga kuanzia siku 1 hadi miezi miwili. JINSI YA KUCHANGANYA CHAKULA CHA KUKU WA KIENYEJI, .…

JINSI YA KULEA VIFARANGA (new) I Mshindo Media

SOMO:KULEA VIFARANGAUnayapata hapa kupitia Website yako pendwa Hapa SEHEMU YA 1: BANDA BORA LA VIFARANGA Habari ya uzima ndugu mfugaji! Huu ni mwanzo wa somo la kulea vifaranga , tutajifunza ujenzi wa banda la vifaranga, vitu vya muhimu katika banda la vifaranga, kujiandaa kupokea vifaranga, chanjo na dawa, sababu za vifo kwa vifaranga , lishe bora kwa vifaranga, na jinsi ya kudhibiti vifo nk. Mwanzo huu ,sehemu ya kwanza tutajifunza ujenzi wa banda la vifaranga/ vitu vya muhimu katika banda la vifaranga. Nyumba Ya Kulelea Vifaranga Ukipenda kujenga nyumba ya vifaranga itafaa ujue …