MAFUNZO MBALI MBALI RAHISI NA HALISI KWA MFUGAJI ULISHAJI 👉Lisha kuku muda mmoja kila siku, usibadilishe badilishe ratiba 👉Usibadilishe badilishe chakula 👉Usiwapunje wala kuzidisha chakula 👉Wawekee vyombo vya kutosha 👉Maji yawepo muda wote 👉Vyombo vya maji visafishwe kila siku UOKOTAJI WA MAYAI 👉Panga ratiba maalumu ya kuokota mayai, mfn SAA 7:30/Am, saa 10:30 Am, saa 1:30 Pm, saa 4:30 Pm, funga report. 👉Safisha viota vya kuku, kuondoa vinyesi kila asubuhi na ongeza matandazo mayai yasipasuke 👉Okota mayai na yaweke kwenye Trey upande uliochongoka utazame chini, na upande butu uwe juu 👉Weka mayai sehemu salama isiyo na joto jingi 👉Mayai ya kutotolesha…
Day: February 9, 2024
KANUNI SAHIHI YA ULEAJI WA VIFARANGA VYA KUKU (new)
Habari za wakati huu ndugu wasomaji na wafuatiliaji wa blog yetu,leo tutaangalia namna ya kulea vifaranga. Zifutazo ni hatua mbali mbali za maandalizi na mapokezi ya vifaranga. 1.MAANDALIZI YA BANDA Banda ni jambo la kwanza kwa mfugaji yoyote.banda la kuku huweza kujengwa kwa matofali,mbao,au hata miti na matope. mfano wa banda la matofali lenye dirisha kubwa. Banda la kuku linatakiwa liwe safi wakati wote. 1.Sifa za banda la kuku Lipitishe mwanga wa kutosha Lisiwe na nafasi ya wadudu hatari na hata wanyama kupita Liwe karibu na makazi ya mfugaji Sakafu…
KULEA VIFARANGA VYA KUKU (new)
MFUGAJI KARIBU KATIKA SOMO HILI LA LEOMambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kulea vifaranga yameorodheshwa na kuelezewa kwa kina hapa chini. BANDA BORAVifaranga hawahitaji eneo kubwa sana katika majuma manne ya kwanza. Nafasi inayohitajika kwa kukadiria ni meta 1 ya mraba kwa vifaranga 16. Kwa mfano nyumba yenye meta 10 za mraba inatosha kutunzia vifaranga 160 hadi wanapofikisha umri wa majuma manne. Vipimo vya nyumba yenye eneo kama hili inaweza kuwa na hatua 5 kwa 4. Utajenga banda kutegemea na eneo ulio nalo. VYOMBO KATIKA NYUMBA YA KULELEA VIFARANGA (1) KITALU/BROODER/BRUDA:Bruda ya…
HATUA ZA KULEA VIFARANGA (new) I Mshindo Media
Habari ya uzima ndugu mfugaji! Huu ni mwanzo wa somo la kulea vifaranga , tutajifunza ujenzi wa banda la vifaranga, vitu vya muhimu katika banda la vifaranga, kujiandaa kupokea vifaranga, chanjo na dawa, sababu za vifo kwa vifaranga , lishe bora kwa vifaranga, na jinsi ya kudhibiti vifo nk. Mwanzo huu ,sehemu ya kwanza tutajifunza ujenzi wa banda la vifaranga/ vitu vya muhimu katika banda la vifaranga. Nyumba Ya Kulelea Vifaranga Ukipenda kujenga nyumba ya vifaranga itafaa ujue yafuatayo:- _ Nyumba ya vifaranga iwe karibu na nyumba yako mwenyewe ili…
UJENZI WA MABANDA YA KUKU I Mshindo Media
MANUFAA YA KUWAJENGEA KUKU BANDA LA KISASA 1. Hulinda kuku dhidi ya Hali mbaya ya Hewa 2. Huepusha kuku kudonoana 3. Huwa epusha kuku dhidi ya wezi na wanyama wakali 4. Huepusha kuku kuwa na huzuni ENEO Unapochagua eneo la kujenga banda la kuku, hakikisha kuwa banda hilo halitizami upepo unapotokea, ni lazima liwe karibu na nyumbani, na lisiwe sehemu ambayo maji yanatuama VIFAA Mfugaji ni lazima alenge kutumia vifaa imara na vya kudumu ili maradi kuhakikisha banda lina kaa mda mrefu SAKAFU Sakafu ya nyumba ya kuku inaweza kutengenezwa…
UJENZI WA MABANDA YA KUKU (new) I Mshindo Media
UJENZI WA MABANDA YA KUKU MANUFAA YA KUWAJENGEA KUKU BANDA LA KISASA 1. Hulinda kuku dhidi ya Hali mbaya ya Hewa 2. Huepusha kuku kudonoana 3. Huwa epusha kuku dhidi ya wezi na wanyama wakali 4. Huepusha kuku kuwa na huzuni ENEO Unapochagua eneo la kujenga banda la kuku, hakikisha kuwa banda hilo halitizami upepo unapotokea, ni lazima liwe karibu na nyumbani, na lisiwe sehemu ambayo maji yanatuama VIFAA Mfugaji ni lazima alenge kutumia vifaa imara na vya kudumu ili maradi kuhakikisha banda lina kaa mda mrefu SAKAFU Sakafu ya…
KUPUNGUZA MLIPUKO WA MAGONJWA KWA KUKU (new) I Mshindo Media
Bila kupoteza muda banda lakuku linalofaa linatakiwa liwe na yafuatayo:- Banda liruhusu hewa ya kutosha kuingia na kutoka pia mwanga wa kutosha.Kama umeezekea bati hakikisha pawe na miti karibu na banda ili irahisishe mzunguko wa hewa maana bati huchemka sana wakati wa mchana.*Lisiruhusu jua kupenya ndani ya banda wakati wa mchana.waweza weka kuta ndefu za banda ziwe mashariki magharibi.*weka majivu ndani ya banda au tumia dawa za kuua wadudu kama utitiri,siafu,utitiri waweza tumia Akheri powder,ultra vin,seven nk*banda walau liwe na kuta fupi zenye kina cha mita 1.8 KUPUNGUZA MLIPUKO WA…
BANDA LA KUKU WA KIENYEJI (new) I Mshindo Media
UFUGAJI WA KUKU: BANDA LA KUKU WAKIENYEJI Sifa za banda bora la Kuku. Banda bora la kuku linatakiwa kuwa kama ifuatavyo: Liwe jengo imara • Pasiwe na sehemu zilizo wazi kwenye msingi na kati ya ukuta na paa. • Banda lijengwe na vifaa vinavyopatikana katika mazingira yako ili liwe na gharama utakayoweza kumudu. • Unaweza kutumia matofali ya udongo, udongo, miti, fito,n.k. Ukitumia fito au mabanzi ondoa maganda ili kuthibiti mchwa. • Jengo mara litazuia maadui kama panya, vicheche, paka, nyoka na wezi kuingia ndani ya banda na kuwadhuru au kuwaiba kuku. Liwe rahisi…
SIFA ZA BANDA BORA LA KUKU (new) I Mshindo media
SIFA ZA BANDA BORA LA KUKU Ukiamua kufuga katika banda kwa njia mbili zilizoelezwa awali utatakiwa kujenga banda lenye sifa zitakazokidhi mahitaji ya msingi ya kuku. Banda bora la kuku linatakiwa kuwa kama ifuatavyo: Liwe jengo imara ❖ Pasiwe na sehemu zilizo wazi kwenye msingi na kati ya ukuta na paa. ❖ Banda lijengwe na vifaa vinavyopatikana katika mazingira yako ili liwe na gharama utakayoweza kumudu. ❖ Unaweza kutumia matofali ya udongo, udongo, miti, fito,n.k. Ukitumia fito au mabanzi ondoa maganda ili kuthibiti mchwa. ❖ Jengo mara litazuia maadui kama…
MABANDA BORA YA KUKU (new) I Mshindo media
MABANDA BORA YA KUKU Ujenzi wa mabanda bora ya kuku ni miongoni mwa mambo ya msingi kabisa katika ufugaji bora wa kuku wawe ni wa asili au wale walioboreshwa. Hata hivyo si kila mtindo wa ujenzi unafaa, kwahiyo ujenzi huo ni lazima uzingatie mahitaji halisi ili ufugaji huo uweze kutoa matokeo bora yanayotarajiwa na mfugaji. Mambo muhimu katika ujenzi wa banda la kuku ni; 1. Liingize hewa safi wakati wote. 2. Liwe kavu daima. 3. Liwe nafasi ya kutosha. 4. Liwe la gharama nafuu lakini la kudumu. 5. Lizuie kuingia wanyama na wadudu hatari kwa…
Banda Bora la Kuku (new) – Mshindo Media.
UJENZI WA BANDA BORA YA KUKU : MANUFAA YA KUWAJENGEA KUKU BANDA LA KISASA 1. Hulinda kuku dhidi ya Hali mbaya ya Hewa2. Huepusha kuku kudonoana3. Huwa epusha kuku dhidi ya wezi na wanyama wakali4. Huepusha kuku kuwa na huzuni ENEOUnapochagua eneo la kujenga banda la kuku, hakikisha kuwa banda hilo halitizami upepo unapotokea, ni lazima liwe karibu na nyumbani, na lisiwe sehemu ambayo maji yanatuama VIFAAMfugaji ni lazima alenge kutumia vifaa imara na vya kudumu ili maradi kuhakikisha banda lina kaa mda mrefu SAKAFUSakafu ya nyumba ya kuku inaweza kutengenezwa…
Banda Bora la Kuku (new) I Mshindo media
Banda bora la Kuku Manufaa ya kuwajengea kuku banda la kisasa1. Hulinda kuku dhidi ya Halimbaya ya Hewa2. Huepusha kuku kudonoana3. Huwa epusha kuku dhidi ya wezi na wanyama wakali4. Heepusha kuku kuwa ha uzuni ENEOUnapochagua eneo la kujenga banda la kuku, hakikisha kuwa banda hilo halitizami upepo unapotokea, ni lazima liwe karibu na nyumbani, na lisiwe sehemu ambayo maji yanatuama VIFAAMfugaji ni lazima alenge kutumia vifaa imara na vya kudumu ili maradi kuhakikisha banda lina kaa mda mrefu SAKAFUSakafu ya nyumba ya kuku inaweza kutengenezwa kwa sementi endapo mfugaji…
Usafi wa mabanda ya kuku na magonjwa ya virus (new)
DAWA MABANDA KABLA YA KUINGIZA KUKU· Ondoa mbolea na vitu vyote vilivyotumika(mifuko ya chakula,makopo n.k) na kuitupa mbali kabisa na mabanda· Anza kusafisha dari harafu kuta na kumalizia na sakafu· Lowesha vyombo vya kunyweshea maji na kulishia chakula na vifaa vyote vinavyotumika ndani ya mabanda kwenye dawa aina ya virutec kwa muda wa nusu saa harafu suuza na maji ya kawaida kabla ya kupiga dawa ya kuulia wadudu warukao na watambaao ndani nan je ya banda Kumbuka; Kuweka virutec kwenye footbath mlangoni kabla ya kuleta vifaranga Magonjwa yamegawanyika katika makundi mawili…
UTOTOLESHAJI WA MAYAI (new) I Mshindo Media
Kuna malalamiko makubwa sana kutoka kwa wafugaji kwenda kwa wauzaji wa mayai ya kutotolesha hasa kuhusu mayai kuto kutotoleshwa kwa kiwango kinacho tarajiwa. Zijue sababu kuu za mayai kushindwa kutotolesheka 👉👈 Yai kuto kurutubishwa, iwapo tetea atataga yai bila kupandwa na jogoo ni kwa 100% yai halita totolesheka Suluhu Weka jogoo kwa uwiano huu unaoshauriwa Tetea 8-10 kwa jogoo mmoja na uhakikishe jogoo anapanda tetea. 👉 👈 Hair line cracks (nyufa zisizo onekana kwa macho kwenye yai 👆Kwa kawaida kuku hutaga mayai yenye ganda gumu, hivo iwapo mayai yatagongana sana wakati…
Ufugaji Bora wa kuku (new) I Mshindo Media.
MAMBO MUHIMU KUZINGATIA KATIKA UFUGAJI WA KUKU.Unapotaka kujikita katika suala la ufugaji wa kuku ipo haja kubwa ya kuweza kufikiria ni kwanama gani utaweza kuwa mfugaji bora wa kuku, Hii ni kwa wote, wafugaji na wanaotaka kuanza kufuga. Unapotaka kuanza ufugaji unatakiwa uanze na ufugaji mdogo hata kama una mtaji mkubwa. Kwa kufanya hivi itakusaidia kupata uzoefu katika nyanja zifuatazo: 1. Utunzaji.Kwa kuanza na kiasi kidogo itakusaidia kujua ni ukubwa gani unafaa kwa kuku wangapi, ukiwa na kuku wangapi utalisha chakula kiasi gani, pia utapata uzoefu wa chanjo muhimu zinazohitajika…