LISHE YA KUKU NA KUCHANGANYA CHAKULA (new) I Mshindo media

LISHE YA KUKU: Ili kuku waweze kuishi, kukua vizuri, kunenepa na kutaga mayai mengi ni lazima wale chakula kingi na chenye ubora unaotakiwa. Uwingi na ubora wa lishe ya kuku unaweza kuainishwa katika makundi ya vyakula kama ifuatavyo: 1.      Vyakula vya kutia nguvu 2.      Vyakula vya kujenga mwili 3.      Vyakula vya kuimarisha mifupa 4.      Vyakula vya kulinda mwili 5.      Maji. Makundi ya vyakula: Vyakula vya mifugo vifuatavyo vinawekwa katika kundi hili;a.       Pumba za mahindi, pumba laini za mpunga, na, pumba laini za ngano.b.      Nafaka kama vile mtama , chenga za mahindi ,chenga za mchele, uwele , na ulezic.       Mimea ya…

Kutengeneza Chakula cha Mifugo kwa Teknolojia ya Hydroponic (new) I Mshindo Media.

TEKNOLOJIA YA HYDROPONICS. Sehemu ya Kwanza: Hydroponic ni nini? Ni mbinu ya kukuza mimea kwa kutumia mchanganyiko wa virutubisho vya madini katika maji bila kutumia udongo. Mchakato huu huchukua siku 6 hadi tisa kukamilika.Kilo moja ya mbegu huzalisha wastani wa kilo 6 hadi kumi za majani na mizizi. Faida za Teknolojia.i. Malisho huzalishwa ndani ya muda mfupi katika eneo dogo. Mfano; eneo la 4X3 mita huweza kutoa malisho sawa na ekari 2.ii. Chakula hiki hulika chote kwa mifugo. Wanakula najani yote pamoja na mizizi. Hakuna upotevu wa chakula.iii. Mahitaji ya maji…

Contagious ecthyma (new) I Mshindo Media

Ugonjwa huu una majina mengi ya kitaalamu: contagious pustular dermatitis, contagious ecthyma, infectious labial dermatitis, ecthyma contagiosum, thistle disease and scabby mouth. –huu ugonjwa unaowapata mbuzi na kondoo, husababishwa na virusi vinavyoitwa parapox virus. Virusi hivi huishi kwenye mazingira kama kuta za banda, vyombo vya chakula, kwenye malisho n.k na huweza kukaa mwezi, mwaka na zaidi.  Uenezwaji Virusi hawa humpata mnyama kupitia sehemu zilizo wazi kwa kuumia kama kidonda na mara nyingi huwapata mbuzi sababu wanapenda kula miba inayo pelekea kupata majeraha sehemu za mdomo. -pia watoto wa mbuzi wanao…

ZINGATIA HAYA KABLA YA KUANZA MRADI WA UFUGAJI WA KUKU (new) I Mshindo Media

1.Zingatia kanuni na USHAURI bora juu ya ufugaji wako 2.Chagua mbegu bora ya kuku inayoendana na soko lako  3.Fikiria njia za kutatua CHANGAMOTO ulizozibaini katika UFUGAJI 4.Fanya uchunguzi wa soko la kuku wako kabla ya kuagiza  5.Piga hesabu ya UWEKEZAJI wako wa mradi kuanzia mwanzo hadi mwisho  6.Hakikisha umepata maelekezo sahii juu ya ufugaji kabla ya kuanza kufuga Chakula Cha Kuku Kuna vitu vitano muhimu vinavyotaijika kwa kuku ili awe na afya bora. Navyo ni kama vifuatavyo, 1. PROTININi aina ya vyakula ambavyo kazi yake kubwa ni kukuza mwili navyo ni kama…

Ufugaji bora wa mbuzi (new) I Mshindo Media

UFUGAJI BORA WA MBUZI Mbuzi ni wanyama ambao wanaweza kufugwa kwa gharama nafuu pia ni wavumilivu wa ukame na maradhi tofauti na ngo’mbe kwa kua wana umbile dogo wanaweza kufugwa katika eneo dogo na nguvu kazi ndogo na hata kwa wenye kipato kidogo.Mbuzi  wanaweza kufugwa kwa ajili ya nyama/maziwa/ngozi/sufi na mazaomengine kama mbolea kwa matumizi ya familia na kuongeza kipato. NAMNA BORA YA UFUGAJI:-Wafugwe kwenye banda boraChagua kulingana na sifa zao na lengo la ufugaji(uzalishaji)nyama/maziwa/sufi.Walishwe chakula sahihi kulingana na umriKuzingtia ushauri wa mtaalamu wa mifugo hasahasa namna ya udhibiti wa…

Ugonjwa wa ndui dalili zake na namna ya kuepuka (new) I Mshindo Media

NDUI. NDUI ni maambukizi ya virusi yanayoenea polepole ambayo huathiri aina nyingi za ndege, pamoja na aina zote za kibiashara za kuku. Inatokea kwa fomu ya mvua na kavu. Fomu ya mvua ina sifa ya alama katika mdomo na njia ya juu ya kupumua. Fomu kavu inadhihirishwa na vidonda vya ngozi-kama ngozi ambayo inakua kwa scabs nene. Ugonjwa huo unaweza kutokea katika umri wowote wa ndege, wakati wowote. Vifo kawaida sio muhimu isipokuwa kuhusika kwa kupumua ni kali. NDUI inaweza kusababisha unyogovu, kupunguza hamu ya kula na ukuaji duni au…

MBINU KUMI ZA KUFUGA KUKU KWA MATOKEO BORA ZAIDI (new) I Mshindo Media

Habari za wakati huu ndugu msomaji wa makala zetu na mfugaji wa kuku.Ni imani yetu kuwa uko sawa kabisa na mradi wako unaenda kama ulivyotegemea.Kama mambo hayaendi sawa basi endelea kuwasiliana nasi tusaidiane kukabiliana na changamoto unazopitia na kushauriana zaidi.Leo tungependa kutoa elimu mujarabu juu mbinu  sahihi za kufuga kuku ili mfugaji aweze kupata matokeo mazuri katika ufugaji wake. 1. Mtaji; Kabla hujaamua aina ya kuku wa kufuga ni vema ukabaini hali yako kifedha. Maana kuku hutofautiana katika ufugaji kwa gharama zao. Hivyo ni lazima ukajua kiasi ulichonacho kulingana na kuku…

Abortions Caused by Bacteria (new)

Abortions Caused by Bacteria: Brucellosis, Salmonella, Leptospirosis, Vibriosis Brucellosis Summary In some countries Brucellosis has been eradicated or brought under control by a programe of blood testing, slaughter and heifer vaccination. However in most parts of East Africa there has been no control or vaccination and Brucellosis is common in both humans and animals.Brucellosis in humans resemble Malaria, and is often mistaken as such unless identified through laboratory testing. Cure of Brucellosis in humans is a very long drawn out and expensive administration of antibiotics and much better avoided by controlling…

Abortion and Stillbirth (new)

Introduction A very common cause of abortion is Brucellosis, which can also infect humans. Brucellosis is an infectious disease caused by the Brucella bacteria. There are many other infectious abortions. But most labs in the country/region routinely only diagnose few causes of abortion other than Brucella (e.g. caused by bacteria or parasites such as Campylobacter, Trichomonas). However, close observation and submitting a full history together with the samples will help alert the lab on the possible involvement of other abortion agents (e.g. Rift Valley Fever). An abortion is referred to as an elective or voluntary abortion…

Silent heat I Meaning,Diagnosis,Signs & Treatment (new)

Silent Heat What is a Silent Heat? A suboestrus or silent heat in cattle, is defined as the lack of behavioural oestrus symptoms, although the genital organs undergo normal cyclical changes. The incidence of silent heat varies from 10% to 40% between different herds Silent heat is the term used when a cow which has already shown heat signs shows them again after 6 weeks or later. The regular heat period at 3 weeks is often referred to as the silent heat. The heat signs might have been weak and therefore…

Freemartinism (new)

Freemartinism This is one of the most common reproductive abnormalities, mainly congenital, affecting female cattle. It occurs when both male and female conceptus are present in the same uterus. In cattle there is a tendency for the placenta of twin fetuses to merge, thereby causing the circulatory system of the twins to become interconnected. This often affects the development of the female sex organs of the female twin probably due to the androgens of the male blood circulation.  Freemartinism is the most commonly recognized noninflammatory condition resulting in infertility involving the tubular reproductive…

Epivag I Meaning,Signs &Treatment (new)

Epivag Common Names: Infectious epididymitis, Cervici-vaginitis A disease characterized by vaginitis in cows and epididymitis in bulls occurs sporadically in eastern and southern Africa, where it is referred to as epivag Epivag is a rare chronic venereal infection of cattle probably caused by a virus. It occurs in East and Southern Africa. In the 1930s the disease was rampant in Eastern and Southern Africa, prompting the creation of the world’s first national AI service to control it in Kenya. It has now become sporadic and reports are unusual.  The infection…

Pyometra | Causes, Symptoms & Treatment (new)

Pyometra This condition is due to an accumulation of pus in the uterus and can occur after chronic endometritis or may result from the death of an embryo or fetus with subsequent infection by Corynobacterium pyogenes bacteria. The situation may persist undetected for some time and may be confused for pregnancy.  Pyometra is a serious and potentially life-threatening infection of the uterus that causes it to fill with bacteria and pus. Many dogs with a pyometra have vaginal discharge and may feel very sick with a poor appetite, lethargy, vomiting and sometimes increased thirst or…

Endometritis in Dairy Cows Causes,Clinical Signs and Management (new)

Endometritis This is the inflammation of the endometrium (internal lining and mucus membrane of the uterus). It occurs as a result of an infection by microorganisms. Infection normally occurs during mating or around labour and delivery by such organisms as Campylobacter fetus (See Brucellosis) or Trichomonas fetus (See Leptospirosis) and other opportunistic bacteria like the Corynobacterium pyogenes, E. coli and Fusobacterium necrophorum. Endometritis often occurs following difficult or abnormal labour or delivery and/or retained placenta.  Endometritis is a localized inflammation of uterine wall and usually a cause for bovine infertility.The causal organisms usually reach the uterus at coitus, insemination, parturition…

Anoestrus (new) I Mshindo Media

Causes of infertility Causes of infertility can be very many. Below some of the more common ones: Anoestrus Anoestrus is a condition where some cows do not show heat signs for a long time after calving. In this case, no ovulation takes place. The condition can be caused by an infection or inflammation of the uterus and underfeeding of the cow, especially with minerals.  Anoestrus. Cows in anoestrus show no heat activity, because the process of follicle development does not lead to ovulation. Anoestrus is normal in the post-partum cow, but most dairy…

Milk fever (new) I Mshindo Media

Milk fever is a condition of mature dairy cows that occurs a few days before, but mostly immediately after calving. It is common in imported high yielding dairy cows, especially Friesian or Channel Island breeds such as Jersey or Guernsey. Milk fever does not occur in indigenous cows. Milk fever is caused by low calcium levels in the body due to the sudden onset of lactation at calving. The nutritional status of the cow in the dry period is known to influence the risk of the disease. Diets low in dry matter such as lush pastures and diets with high calcium during dry…

Retained Placenta: Signs, Cause, Symptoms& Treatment (new)

After giving birth cows sometimes do not drop the afterbirth (placenta) immediately. This can cause problems as decaying placenta tissue can cause a serious bacterial infection of the cow and if untreated the cow can even die. Normally expulsion takes place within 3-8 hours after delivery of the calf.  Retained placenta is a common complication after calving; if the cow doesn’t shed those membranes within about 12 -24 hours, it’s considered to be “retained.” Call a veterinarian after 12 hours to judge the situation and watch your cow closely. dont remove…

Birth and Reproduction complications (new) I Mshindo Media

Introduction There are various diseases and abnormalities that affect the reproductive system of domestic animals. These diseases commonly result in early embryonic deaths, abortions, mummification and infertility.  Following the infectious disease, animals may end up with other related conditions such as Endrometitis and Pyometra. All these result in lost income to the farmer as the animals may be unable to give birth again. Brucellosis and Q-fever are also highly contagious, and may transfer to people causing agonizing pain and sickness and very expensive medication, so paying close attention to the reproductive health of your animals is…